Peter Tosh's Family

mmbangifingi

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
2,839
559
Kuna anayefahamu ikiwa mmoja ya wanamuziki nguli wa Reggae The late Hubert Mctosh (Peter Tosh) aliacha mtoto/watoto? Nimekumbuka one of his greatest hit Equal Rights....."Everyone is crying about Peace,none of them cries about Justice" According to him,,Equal Rights and Justice amounts to Peace!!!
 
Yupo mtoto mkubwa tu anaitwa Andrew Tosh na ni mwanamuziki mashuhuri tu kwenye ulimwengu wa muziki wa Reggae.

Nafikiri anafanya kazi bila pressure maana kifedha atakuwa kakaa vizuri hasa ukichukulia mjomba wake ni nani.

Kwa baba kama jina linavyoonyesha na kwa Mama, ni mtoto wa dada yake Bunny Wailers ambaye alikuwa pamoja na Tosh, Bob Marley kwenye kundi la Bob Marley and the Wailers.

Last edited by a moderator:

Shukrani mkuu, so alipata mtoto mmoja tu? nimejaribu kumfuatilia sana sikuona kama jamaa "peter" aliwahi kuoa nika wander ikiwa hata alipata mtoto. Bunny Wailer nasikia aliamua kuwa mkulima tu!
 
Last edited by a moderator:
Alikuwa na watoto wengi na kuna habari zinasema alikuwa na watoto kama kumi hivi (10).

Majina yao ni kama Nabii, Tosh 1, Niambe, Michelle, Erone, Steve, Toby, Dave ..... ambao walizaliwa na mama tofauti na jamaa hakuja owa. Inawezekana pia na ugomvi wake na dini ulimfanya asitake kuowa kwani akiwa mdogo kanisani, alisikia haya maneno: "Dhambi zenu hata ziwe nyeusi kama ......, damu ya Yesu itazifanya kuwa nyeupe kama theruji".

Jamaa kujiangalia alivyo JARUO, akasepa kiaina kanisani na hakurudi tena na akakimbilia kuwa RASTAMAN.

Mcheck Tosh 1 akiwa kwenye Stage...

Last edited by a moderator:
Hii nimeiona kwenye YOUTUBE mtu kaandika ila sina uhakika nayo:

Peter tosh has 5 sons and 5 daughters!

Dave, Steve, Andrew, Nabii, Jawara, Michelle, Erone, Sheba, Tobi, Niambe!
 
Alikuwa na watoto wengi na kuna habari zinasema alikuwa na watoto kama kumi hivi (10).

Majina yao ni kama Nabii, Tosh 1, Niambe, Michelle, Erone, Steve, Toby, Dave ..... ambao walizaliwa na mama tofauti na jamaa hakuja owa. Inawezekana pia na ugomvi wake na dini ulimfanya asitake kuowa kwani akiwa mdogo kanisani, alisikia haya maneno: "Dhambi zenu hata ziwe nyeusi kama ......, damu ya Yesu itazifanya kuwa nyeupe kama theruji".

Jamaa kujiangalia alivyo JARUO, akasepa kiaina kanisani na hakurudi tena na akakimbilia kuwa RASTAMAN.

Mcheck Tosh 1 akiwa kwenye Stage...

Kwenye bold,,ni kweli Tosh alikuwa anaimba kwaya kanisani na dada/binamu yake hata hilo nililobold alitungia wimbo na akauimba japo bahati mbaya sikumbuki uliitwaje ule!!
 
Last edited by a moderator:
peter tosh hivi ni kweli huyu jamaa hakuuzulia mazishi ya bob kwa kuamini kwamba rastaman hafi bali anapotea...
 
peter tosh hivi ni kweli huyu jamaa hakuuzulia mazishi ya bob kwa kuamini kwamba rastaman hafi bali anapotea...

Inasemwa hivo,,kwamba hakuhudhuria, hata alipopelekewa taarifa,, was sitting somewhere akipata kitu,,"alionyeshwa piece of paper" iliyozungumzia death of Robert Nesta Marley,,ali ignore tu na kutamka "life cycle". But ni zaidi ya imani hiyo. Its believed ni Bifu/kinyongo alichokuwa nacho dhidi ya Bob rejea hata wimbo wake "I am the Toughest" inasadikiwa lilikuwa dongo kwa Bob ambaye hata hivo didnt care!
 
Mkuu Sikonge nashukuru sana kwa clip hiyo ya Andrew Tosh,kweli dogo ni chapa baba yake,sikuwa nafahamu kama Tosh aliacha kizazi,, hii ya chini unasema ni Tosh akiwa stage,,is it? naona kama jamaa tu kaamua kufanya play back,, maana hata kwenye pensi hapo,,Tosh alikuwa na matege flani hivi,, huyu jamaa kama sie!!!
 
Mkuu, huyo Tosh 1 ni mtoto wa Peter Tosh na anaitwa JAWARA ambapo utaona hata jina lake, pia lipo kwenye listi ya watoto wa Marehemu Peter Tosh.

Soma hapa: The Interview: Jawara McIntosh, a.k.a. Tosh 1

Tosh alikuwa MREFU sana na angelikuwa hapo, bazi angelikuwa kawazidi wote urefu.

Pia alikuwa akicheza KARATE na kuendesha ki-baiskeli cha tairi moja.....

normal_wailin_wailers_1964_bunny_bob_peter.jpg
PeterBobandRita.jpg

Picha 1: Bunny, Bob Marley and Tosh. Picha 2: Tosh, Rita Marley and Bob Marley.

Back
Top Bottom