Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

HII KAULI ALIYO ITOA MWENYEWE KUTOKANA NA TUKIO HILO “kiukweli mimi kama Jacquline Wolper sina ubaya na mtu yeyote, ila nmeshangaa kuona watu nisiyo wajua kuja usiku wa manane na kunichomea gari...
0 Reactions
19 Replies
7K Views
Chris Brown (katikati) akiwa na washkaji zake Juzi Rihanna aliandaa party ya Halloween huko West Hollywood na kukaribisha mastaa kibao akiwemo swahiba wake Chris Brown. Chris ndiye aliyezua...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
MSANII anayeshikilia nafasi ya juu kwa sasa kwenye muziki wa kizazi kipya Tanzania Nasseb Abdul ‘Diamond’, inasemekana kuwa ameamua kutoa ya moyoni juu ya Wema Sepetu katika ngoma yake mpya ya...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Masikini Ray C, Unga umemharibia 'FUTURE'
0 Reactions
20 Replies
5K Views
kwenye shindano la miss Tanzania nilimuona mwanamuziki wa nyimbo za asili Wanne star akiimba nyimbo za kundi la Makhirikhiri ,sijaelewa kwanini alifanya hivyo,na sijui kama alizingatia sheria ya...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
AKATI msanii wa bongo movie Rayuu, picha zake zinazoonesha sehemu kubwa ya mwili wake na tattoo kuvunja mtandaoni, ishu hiyo sasa imechukua sura mpya baada ya kudaiwa amefukuzwa kwao na sasa...
0 Reactions
25 Replies
18K Views
producer aliyekuwa mashuhuri katika utengenezaji wa midundo ya mziki hapo bongo al maarufu kama dunga ivi yuko wapi jamani ? Nataka kufanya naye kazi ?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Tunamshukuru Mungu kwa kumwokoa Dotnatha. Kikubwa zaidi ni kwamba ndani ya mwezi mmoja wa wokovu wake keshatunga nyimbo tatu, na yuko mbioni kuachia album. My Take; Wokovu ni mzuri, lakini kutoa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Scandal inayohusiana na wimbo mpya wa Diamond ‘Nataka Kulewa’ imeendelea kuchukua sura mpya baada ya H.Baba leo kuuambia mtandao huu kuwa Diamond Platnumz ameanza kutuma watu wake ili waiibe flash...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Bibie Abti Ezekiel akiwa na wapambe wake na nguo maalum za kukatia mauno kwenye Ngoma ya Kibao kata Mauno yakizungushwa kabla ya kuchanganya Mauno yalipomkolea akalala chini na kuzungusha...
0 Reactions
40 Replies
33K Views
Haaaahaaaaaaaaaa mungu mkubwa kweli anaposema wawili wataunganika na kuwa kitu kimoja aijalishi we ni kituko kiasi gan mbele ya jamiii bado neno la mungu litasimama pale pale na hatimae aunt...
0 Reactions
31 Replies
17K Views
mwana dada kakamua si mchezo. mi nlijua yupo kwenye siasa tu kumbe hata kwenye mziki anabamba kinyama. kaza buti dada. mia
1 Reactions
30 Replies
5K Views
MAMA mzazi wa staa wa Bongo Fleva mwenye skendo ya kubwia madawa ya kulevya, Rehema Chalamila ‘Ray C’, Magret Mtweve ametoa tamko kali dhidi ya aliyekuwa mpenzi wa mwanae, Isaac Makuto ‘Lord...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
TBC1:kila J2 saa 3:30PM,Never miseeee!! Ukitaka ku-hang na selebu unayempenda ebu kodolea macho hicho kipindi na uweze jua jinsi ya kushiriki.
0 Reactions
23 Replies
6K Views
WAKATI ikidaiwa kuwa msanii wa muziki wa kizazi kipya Matonya, alifungiwa ndani kimapenzi na mmoja ya wasanii wa bongo movie na kulizwa shilingi za kitanzania milioni 6, sasa ameamua kuweka wazi...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Hashim Thabit: Enzi hizo tukiwa naye dodoma 90's yeye na mama yake walikuwa wakijikimu kimaisha kwa kuuza kahawa na kashata,hashim ndio aliyekuwa muuzaji,kweli maisha yana badirika,kwahyo vijana...
0 Reactions
36 Replies
8K Views
hata kusimama inaanza kuwa shida si upumzike na unataka uraisi 2015 tena jamani?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wanajamii Hivi karibuni kumeibuka wizi wa vifaa vya magari maeneo mbalimbali,especially jiji la Dar.Wizi huu umekuwa ukifanyika kwenya maeneo ya maegesho na hata majumbani nyakati tofauti tofauti...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mimi napata taabu sana kulielewa hili kwa maStar wa bongo, especially wanawake.... Hivi hamuoni kuwa mnajidhalilisha kwa kuonyesha nyeti zenu mbele ya kadamnasi, au msipofanya hivyo mtapunguza...
0 Reactions
16 Replies
7K Views
Back
Top Bottom