Baby Madaha Afiwa na Mama Mzazi.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baby Madaha Afiwa na Mama Mzazi....

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Boflo, Oct 10, 2012.

 1. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  [h=3][/h]
  [​IMG]

  Msanii wa filamu na muziki wa kizazi kipya bongo Baby Madaha, yupo katika huzuni kubwa baada ya kumpoteza mama yake mazazi jana usiku baada ya kuumwa kwa muda.  Mwili wa marehemu unasafirishwa leo kupelekwa Musoma nyumbani kwao ambapo mipango yote na taratibu za kuzika zitajulikana huko.

  Mwandishi wa mtandao huu alizungumza na Madaha ingawa hakuweza kuzungumza sana zaidi ya kutokwa machozi huku akisema kuwa amempoteza mama yake kipenzi ambaye alikuwa akimsapoti kwenye vitu vingi ndani ya maisha yake.

  “Naumia sana lakini najua yote ni mipango ya Mungu kwani kila kitu kimepangwa, hivyo tunamuombea mama yetu aweze kwenda salama mbele za haki kwani sote hiyo ndiyo njia yetu,”
   
 2. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  rip mama madaha!
   
 3. M

  Mgaya D.W JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 966
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  Mwenyezi Mungu ampokee mbele ya uso wake mama madaha!pole baby madaha twafaham umepoteza nguzo muhimu ktk maisha,bt Mungu kamhitaji zaid kwa nia njema.
   
 4. S

  SHERRIE Member

  #4
  Oct 10, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 77
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  pole sana baby, hakuna kama mama. kaza moyo, maisha yaendelee.. r.i.p mama madaha.
   
 5. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #5
  Oct 10, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Sitaki kuamini hapo yupo msibani kwa mama yake na hiyo makeup! Pole zake kwa kufiwa.
   
 6. kalagabaho

  kalagabaho JF-Expert Member

  #6
  Oct 10, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,299
  Likes Received: 2,120
  Trophy Points: 280
  kumbe mkurya? sasa mbona mweupe?
   
 7. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #7
  Oct 11, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,094
  Likes Received: 1,264
  Trophy Points: 280
  ...aisee...pole sana bebi madaha...mungu akupe nguvu..
   
 8. dunia tunapita

  dunia tunapita JF-Expert Member

  #8
  Oct 12, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 398
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  pole mtoto
   
 9. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #9
  Oct 17, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,259
  Trophy Points: 280
  Hilo jicho amerembua ama ana kengeza?
   
 10. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #10
  Oct 19, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,371
  Likes Received: 629
  Trophy Points: 280
  Rip mama madaha
   
 11. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #11
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Mh pole kwa kufiwa. Muonekano wako unaniacha hooooooooooi, huu urembo wa bandia tabu.
   
Loading...