Birthday ya diamond demage hoteli ni kiboko | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Birthday ya diamond demage hoteli ni kiboko

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Simba Mkali, Oct 3, 2012.

 1. Simba Mkali

  Simba Mkali JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 574
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  5.JPG Dogo kafanya matusi makubwa, Wema alihudhuria, inadaiwea ndiye aliyemgharamia vitu kibao, wanawake wa mjini wale wanapenda sifa wote walikuwepo, jamani dogo atawamaliza au ndude yake ita-expire mapema.
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,639
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  picha tu hizo hata king majuto huwa anafanya..
   
 3. Simba Mkali

  Simba Mkali JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 574
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  Diamond & Wema.JPG Wema & Diamond kwenye pati hiyo.
   
 4. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #4
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 17,241
  Likes Received: 7,571
  Trophy Points: 280
  Huwa wanatibuana makusudi kwaajili ya kuuza sura gazetini.?
   
 5. kajojo

  kajojo JF-Expert Member

  #5
  Oct 3, 2012
  Joined: Jun 9, 2012
  Messages: 1,068
  Likes Received: 1,183
  Trophy Points: 280
  Mnh Makubwa, ila mama yake kesha pona.
   
 6. kajojo

  kajojo JF-Expert Member

  #6
  Oct 3, 2012
  Joined: Jun 9, 2012
  Messages: 1,068
  Likes Received: 1,183
  Trophy Points: 280
  Mnh Makubwa, ila mama yake kesha pona?
   
 7. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #7
  Oct 3, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 28,854
  Likes Received: 29,067
  Trophy Points: 280
  Huyu dada kwa kuforce mambo ndo mwenyewe.
  Nilishuhudia clouds tv wakionyesha show ya fiesta ambapo kabla ya diamond kupanda jukwaani huyu dada alikamata kipaza na kuwaomba mashabiki watamke jila la WEMA wakati diamond atakapokuja kuimba nyimbo yake ya NIMPENDE NANI.

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 8. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #8
  Oct 3, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,799
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Ila wema akizaa na diamond mtoto atakua na mdomo mzuri sana
   
 9. blogger

  blogger JF-Expert Member

  #9
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 1,888
  Likes Received: 274
  Trophy Points: 180
  dimond kuna watu anawalipa humu... si buree
   
 10. data

  data JF-Expert Member

  #10
  Oct 3, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 14,689
  Likes Received: 4,283
  Trophy Points: 280
  mkuu simba mkali wewe ndio dayamondi ehhhh..
  habari hii ina tija gani hapa JF
   
 11. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #11
  Oct 3, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,220
  Likes Received: 1,627
  Trophy Points: 280
  wasiwasi wangu ni hayo meno. Diamond kama vile ana meno 50 hivi?
  Ila udrama queen nao.ni kipaji cha kuzaliwa nacho nadhani.
   
 12. Simba Mkali

  Simba Mkali JF-Expert Member

  #12
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 574
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  Aaaaaah inawezekana wapo mkuu lakini siyo miye mleta thread hii, sijawanhi kula hata senti yake nyekundu.
   
 13. Simba Mkali

  Simba Mkali JF-Expert Member

  #13
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 574
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  Jamini ni Celebrity waKibongo au nimekosea na kuweaka sehemu isiyohusika? kama ndiyo hivyo naomba radhi waungwana kama nimewakera.
   
 14. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #14
  Oct 3, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  ukiboko wa hiyo "bath" day uko wapi?? nadhani ndio watu wanahitaji.
   
 15. Simba Mkali

  Simba Mkali JF-Expert Member

  #15
  Oct 4, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 574
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  Pole! Nimeweka picha chache lakini kuna picha nyingi na maelezo ambayo zinaonesha huo ukiboko, nimesema kwa uchache nimeonekana nampigia debe, sasa ningeleleza kila kitu kilivyokuwa ingekuwaje, nilijua kuna wakuu humu ndani watakuwa wanajua kilchotokea na kuchangia kwa undani zaidi.
   
 16. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #16
  Oct 4, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,114
  Likes Received: 2,220
  Trophy Points: 280
  Wanaendana!
   
 17. kibol

  kibol JF-Expert Member

  #17
  Oct 4, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 3,017
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  kwani kulitokea nini cha ajabu mkuu,embu tujuze???
   
 18. Simba Mkali

  Simba Mkali JF-Expert Member

  #18
  Oct 4, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 574
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  Diamdon 8.JPG View attachment 67054 Diamond 1.JPG Diamond 2.JPG Diamond 3.JPG Diamond 5.jpg Diamond 6.JPG Diamond 7.JPG Diamond 8.JPG Diamond 2.JPG Nadhani hizi ni baadhi ya picha zinazoweza kusema, lakini kwa kifupi tu watu waliogelea kunywa na kusaza, Wema alileta keki na pia Jokate alilileta keki lakini hakufika. vijana walistarehe vya kutosha
   
 19. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #19
  Oct 4, 2012
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,759
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Mwanamke mkorogo
   
 20. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #20
  Oct 4, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 33,797
  Likes Received: 8,377
  Trophy Points: 280
  Subili baada ya siku 3 utasikia Diamond kila show analipwa millioni 10 na anafanya show 3 kwa wiki, kwahiyo kila wiki anakunja millioni 30!! upambe mwingine hauna kichwa wala miguu.
   
Loading...