Baby Madaha: sijafiwa na mama mzazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baby Madaha: sijafiwa na mama mzazi

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Hashpower7113, Oct 16, 2012.

 1. Hashpower7113

  Hashpower7113 JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 452
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 80
  Siku chache baada ya kuenea taarifa kuwa Baby Madaha kuwa ameondokewa na mama mzazi, staa huyo amefunguka na kuweka mambo sawa kuwa aliyekufa sio mama yake mzazi kama walivyockia bali ni mama mdogo aitwaye Maimuna alisema baby madaha'mama yangu ni mzima wa afya na wala hana tatzo lolote la kiafya, hivyo watu wasielewe tofauti na kuwa mama angu mdogo alikuwa anaugua kwa muda mrefu sana mpaka pale alipokutwa na mauti octb 9 mwaka huu na kusafirishwa hadi musoma kwa mazishi'.

  Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
   
 2. don-oba

  don-oba JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 1,384
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kwahiyo anakana hajafiwa kisa sio mama mzazi?.
   
 3. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Ana nyimbo yake mpya nmeiona kwa Nick sina uhakika kama kashaipeleka tv..mambo ya promo aya kila mtu anarudi kivyake.
   
 4. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  Ni vizuri kuclarify maana ikitokea bahati mbaya mama mzazi kaaga dunia ataumbiaje umma uliopkea taarifa potofu?
   
 5. mpenda pombe

  mpenda pombe JF-Expert Member

  #5
  Oct 17, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,188
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Umri unamtupa sasa...
   
 6. dada white

  dada white JF-Expert Member

  #6
  Oct 17, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,233
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Maimuna?
   
Loading...