Did u knw? DPP Feleshi,TUNDU LISI na Ngeleja ni classmates

Ubungoubungo

JF-Expert Member
Jul 28, 2008
2,502
739
ndio nimegundua leo kuwa Ngeleja ni mwanasheria alimaliza sheria mwaka 1994 pale udsm akiwa na mh. Tundu Lisu, Dr.Eliezer Mbuki Feleshi (dpp)...
 
Kajifunze kwanza maana ya Learned Brothers then next time huwezi kuja na topic za kijinga.
 
Na Mwakyembe,Shivji,Kabudi walikuwa Mwalimu wao...sio issue hata Said Mwema ana class mates wake kibao tu pia wa hapo mlimani!
 
Tundu lisu alikuwa na nshala lugemeleza.nakumbuka siku moja advocate nshala alimtukana ngereja kama mwanasheria mwenzie na kusema'he is junior to me'. Akasema alimuacha darasan mwaka mmoja
 
Nilikuwa nimeshangaa tu jinsi siasa inavyoweza kuwasambaratisha watu waliokuwa classmates. hao wote walimaliza 1994 udsm law. if you don't care, why then did you write....that means you care for it very much.
Kajifunze kwanza maana ya Learned Brothers then next time huwezi kuja na topic za kijinga.
sikujua kama hii ni topic ya kijinga, either, mimi ni mjinga sijui kama hii ni topic ya kijnga, au wewe ni mjinga hujui kama topic hii si ya kijinga.

nilichokuwa nafurahia kuona hivyo ni namna siasa inavyoweza kutengenisha watu waliokuwa wanasoma pamoja. however, kati ya hao wote, naona labda dpp na Tundu lisu pekee ndo shule iliwasaidia, ila ngeleja naona alikuwa anakwepa vipindi. sikujua kama ngeleja ni learned bro.....
 
Back
Top Bottom