Vijana wa XXL wamsema vibaya mjukuu wa Ambua kuhusu mavazi yake usiku wa tuzo za Kili

mfukunyunzi

Senior Member
Mar 4, 2011
142
26
Kwenye facebook page ya Abdallah Hamis Ambua a.k.a mjukuu wa Ambua wa EA radio/tv inasomeka hivi; dah...!!
nasikia nimesemwa vibaya leo
kwenye radio.. wamenisema
vibaya kuhusu mavazi yangu
kwenye KILI MUSIC AWARDS
dah... Ila me hakimu wangu ni
MUNGU pekee coz yeye ndiye
mpangaji wa kila kitu kwenye huu
ulimwengu.. (MUNGU ndiye
mgawaji wa rizk na kila kizuri ama
kibaya kwa mwanadamu na yeye ndiye aliyeninyima hayo mavazi
mazuri mpaka nasemwa vibaya
tena na VIJANA wenzangu dah..!!)
 
stupid sasa hivi ndo vitu gani?????????????????????????????????????????????? who is ambua???? what is xxL?????:smash::smash:
 
Kwenye facebook page ya Abdallah Hamis Ambua a.k.a mjukuu wa Ambua wa EA radio/tv inasomeka hivi; dah...!!
nasikia nimesemwa vibaya leo
kwenye radio.. wamenisema
vibaya kuhusu mavazi yangu
kwenye KILI MUSIC AWARDS
dah... Ila me hakimu wangu ni
MUNGU pekee coz yeye ndiye
mpangaji wa kila kitu kwenye huu
ulimwengu.. (MUNGU ndiye
mgawaji wa rizk na kila kizuri ama
kibaya kwa mwanadamu na yeye ndiye aliyeninyima hayo mavazi
mazuri mpaka nasemwa vibaya
tena na VIJANA wenzangu dah..!!)

vitu vingine sio vya kuandika hapa
 
Abdallah Hamis Ambua: sidhani
kama itakuwa busara kaka lakini
ni watangazaji ambao
wanajulikana na ndio mana
walichanwa kwenye ANTI
VIRUS
 
Nimesikia kwenye redio wani leo asubuhi kuwa sharobaro tafsiri yake ni mwanamke mrembo au mwali aliyejipodoa vilivyo akiwa anasubiri mumewe.
 
XXL wa clouds lazima wa´mchukie Abdalla maana amekuwa tishio kwao kwa kipaji chake. Pia dogo habagui wanamuziki kwenye kipindi chake tofauti na clouds. Sasa clouds wakimsusa msanii flani, yeye Abdalla Ambua anamwinua kitu ambacho clouds FM wanapinga kwa nguvu zote.

Abdalla usikate tamaa, we all know that clouds FM tries to bring you down ili waendelee kutawala wanamuziki wa Tanzania.

Piga kazi, wacha maneno.
 
Back
Top Bottom