Ney Wa Mitego Matatani Basata!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ney Wa Mitego Matatani Basata!!!

Discussion in 'Celebrities Forum' started by King Kong III, Oct 23, 2012.

 1. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #1
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Ney wa mitego 2.JPG

  MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Ney wa Mitego, yupo kwenye hatihati ya kufungiwa na Baraza la Sanaa Tanzania (Basata) baada ya kuachia remix ya wimbo wake wa Nasema Nao iliyojaa matusi na maneno makali dhidi ya wasanii wenzake na watu mbalimbali, King Kong III anakujuza

  Kwa mujibu wa afisa mmoja wa Basata aliyeomba hifadhi ya jina lake kwani si msemaji rasmi, katika wimbo huo ulioanza kusikika mwishoni mwa wiki iliyopita, Ney wa Mitego ametumia lugha ya matusi na maneno yasiyo ya kistaarabu, huku akiwataja kwa majina watu aliowalenga, jambo ambalo ni kinyume na sheria za baraza hilo.

  Baada ya kupata nyepesi hizo kutoka Basata, King Kong III alimtafuta Ney wa Mitego ambaye alisema kuwa wimbo huo wa Nasema Nao Remix umevujishwa na watu asiowatambua bila idhini yake lakini akaeleza kuwa hajapokea taarifa yoyote kutoka Basata juu ya kufungiwa

  Baadhi ya Verses ya Wimbo huo ni:

  Verse I
  Tathmini inaonyesha ya kwamba heshima imeshuka
  Game limechemsha mziki moshi unafuka
  Ma Mcs wapo feki mashairi yao yananuka
  Wanategemea kubebwa wakiachiwa wanaanguka
  Leo ndio leo asemaye kesho muongo
  Hapa nasema nao nawavunja mpaka migongo
  Wasanii wa mikoani wote wameamia dar
  Hawataki kurudi makwao nabaki kuwashangaa
  rudini pande zenu tuachiane jiji letu
  Mking'angania sana tutawageuza wake zetu
  Ma mcs mmechakaa kama bibi nyakomba
  Mnataka beat ya kapuka mkate viuno kama longomba
  Hapa ni raha tu kama alivyosema AY
  Kama ngumu kuingia mie naipaka KY
  T kaa kati Ney kamata dimba
  Mie niachieni hapa mbele niwatupie ndingaaaaa


  Verse II
  Naitawala dsm kama vile ghetto kwangu
  Unamkuta demu wako na tatto ya sura yangu
  I hate police,im the man of the people
  Daudi Mwangosi kasimama mbele ya kristo
  Lawama za qchief eti chid kamroga
  suma mnazaleti na skendo ya ushoga
  Mkari kwenye cypher daily natema lecture
  Diamond kausika kumuua mganga wa nature
  Star bongo wana search na yule jaji msagaji
  Media ina wrong sight hii rap ndio mtaji
  Malaya kama shilole anaua watoto wadogo
  barnaba yound D Touch ,Ney wa mitego
  Mistari yangu imenipa mpaka mke
  Dunia ni yangu niacheni nikinukishe
  Chid katoboa pua mie ndio basha wake
  Ezekiel namjua umalaya ndio kazi yake


  Kuupata Wimbo Click HAPA
   
 2. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  hapo hajadanganya
   
 3. salito

  salito JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,365
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 180
  Ngoja nipite...
   
 4. M

  Mgaya D.W JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 966
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  Aisee vijana wa kileo hao!
   
 5. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  asante king kong kwa habari hii,du! jamaa sijui anajiamin nini,mi pia sijapenda chid alivyotoboa pua,kumbe Nay ndio bahasha wake mh! kali ya mwaka
   
 6. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  Huku ni kutafuta umaarufu kwa mgongo wa kudhalilisha wengine....

  Not good at all
   
 7. Mkuu rombo

  Mkuu rombo JF-Expert Member

  #7
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Aiseeee babaangu huyu jamaa alisha waambi b dazen awasalimie mashoga alafu leo anamwoji bangi mbaya san
   
 8. kbosho

  kbosho JF-Expert Member

  #8
  Oct 23, 2012
  Joined: Jun 4, 2012
  Messages: 12,505
  Likes Received: 3,314
  Trophy Points: 280
  kwa maneno hayo shilole anangoma?....
   
 9. N

  Neylu JF-Expert Member

  #9
  Oct 23, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 2,650
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Dah... Huu wimbo kwa kweli unastahili kufungiwa..!
   
 10. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #10
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Sina uhakika ila wote katembea nao yani katembea hadi na young D sawa na mwanae wa kwanza.
   
 11. r

  r2ga JF-Expert Member

  #11
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 527
  Likes Received: 394
  Trophy Points: 80
  Huyu msanii sijui nini kinamfanya anajiamini kiasi hiki..nimemuona akihojiwa Star Tv kipindi cha Bongo Beat hata hana wasiwasi.
   
 12. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #12
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  True Boy Mkong'oto jazz band na manzese army ndio tegemeo lake.
   
 13. Jayonepey

  Jayonepey JF-Expert Member

  #13
  Oct 23, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 320
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Mh! Kumbe Young D nae yumo!!!
   
 14. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #14
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  Huyu dogo anakaa manzese. anasema manzese haina rais madee anajiliwaza.
  Hizi ndo nyimbo zake za siku zote. mi namkubali.
  kuna sehemu anaimba "namuomba Mungu msichana anaye toa mimba nae afe hapo hapo". mia
   
 15. DULLAH B.

  DULLAH B. JF-Expert Member

  #15
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 674
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Da kweli lkn haufai kupigwa redioni.
   
 16. skendo

  skendo JF-Expert Member

  #16
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  jamaa yuko poa ila kusema wasanii wa mikoani waondke dar kachemka coz anajionesha km hajiamin tz m2 anaish popote.jiamini neema.haaaa!
   
 17. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #17
  Oct 23, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,301
  Likes Received: 953
  Trophy Points: 280
  Huko ni kujiamini kupita kiasi, matusi yote ya nini? Mm naona sawa wakimfungia.
   
 18. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #18
  Oct 23, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,005
  Likes Received: 3,189
  Trophy Points: 280
  Haya matusi naya Lusinde yapi yanaafadhali?!
  Wasitafute umaarufu wa kumfungia. Labda kama hawana kazi ndo wamfungie.
   
 19. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #19
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,143
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  kizazi hiki ipo kazi wajameni
   
 20. Ennie

  Ennie JF-Expert Member

  #20
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 7,145
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Tena sio ndogo.
   
Loading...