Mimi kufanya show ya kikosi tarehe 31 hata bendi na wasanii kibao wanashow zao usiku huo. Na zaidi mimi siwezi kuacha pesa wakati mziki ndio kazi yangu na silishwi na Jide wala Sugu maisha yangu...
Msiba wa jamaa umeonekana kama kuna kitu fulani kimejificha,nilisikiliza times leo hasubuhi nikasikia wanatangaza namba za simu ilia yeyote mwenye chochote aweze changia,pia nimesikia wanakamati...
Ccm inawatumia wasanii wa bongo kama toilet paper. Ccm wameshindwa kutoa msaada wowote pamoja na kwamba ngwair aliwasifia kwa tungo mahili wao na ccm yao. download na sikiliza huo wimbo HAPA kabla...
Jana nilikuwa Natweet na ndugu yangu Chahali,Kuhusu Ubalozi wa Tanzania RSA,na kuniambia Urasimu wa ubalozi huo sikuamini! Na Ubalozi unasema haumjui Msanii NGWAIR(jana)!!
LEO, Unashindwa hata...
Habari wapendwa wa jf.
Kwa walio wengi wetu tumeguswa na msiba wa msanii Albert Mangwea almaarufu kama mangwea. Katika kipindi hiki cha msiba usishangae kuona na hata kusikianyimbo ambazo zile...
Kamati hiyo imeundwa na inajumuisha Prof.J,TID,Lady Jaydee,P Funk,Inspector Haroun,Adam Juma,Mwana FA,J moo na wengineo. Ila sijawasikia wale wa kule upande wa pili wakitajwa kwenye kamati hiyo...
Mh,nasikiliza clouds apa millard yupo south hospital alipolazwa m to the p,nasikia ndugu zake wanapiga ung'eng'e millard na yes na no kila wakat mweh kumbe lugha imegoma.jamaa ni mmoja kati ya...
Report iliyo jaa kwenye blog mbalimbali za bongo hata jamii forums imegundulika kwamba ni fake yaani wamecopy na kupaste kutoka kwenye report ya doctor aliyo itoa baada ya msanii amy winehouse...
Msanii maarufu wa bongoflaviour Langa Kileo "Langa" ameyafananisha madawa haramu ya kulevya kuwa ni kama mwalimu mkuu kwani hukufundsha kila k2 ktk maisha.Langa ameyasema hayo ktk kipindi cha...
nimemsikiliza millady mbona ni mangwea wanamzungumzia tu na wanadai mwili kuja ni vigumu kidogo kwa sababu huko south hakuna ndugu na kusafirisha maiti si chini ya milioni nne za kibongo
Na Saleh Ally
MGOGORO wa kimuziki kati yamsanii Judith Wambura Mbibo Lady Jaydee na kituo kimoja cha redio umezidikuchukua kasi huku makundi mawili, kila moja likitengeneza ngome yake nakuamini...
RAFIKI WA MANGWEA M to The P NAYE AFARIKI DUNIA
-Pigo tena kwa muziki wa Bongo Fleva baada ya ripoti kusema, M To The P aliyekuwa na Mangwea jijini Johannesburg naye amefariki dunia.
Taarifa...
BAADA ya kutumia dawa za kuondoa sumu ya madawa ya kulevya mwilini mwake, aliyekuwa Mnenguaji wa Bendi ya Extra Bongo, Aisha Mbegu Madinda amegeuka kuwa muhamasishaji kwa mateja ambao bado...
Tune sasa hivi umsikie Lady Jaydee akitoa msimamo wake juu ya msiba wa mwanamziki mwenzake Mangwair.
Hii inakuja baada ya Mwana FA kuahirisha shoo yake ya the Finest iliyokuwa ifanyike ijumaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.