Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,054
- 6,281
napenda kuzibitisha saida karoli ni mzima wa afya. nimeongea kwa simu na watu wa kwao.kwanza yuko dar si visiwa vya goziba uko kagera. nimeona kwenye blog ya mjengwa kuwa saida kafariki tena kwa uzibitisho.pia blogs za tanzania muache tabia ya kucopy na kupaste bila kufanya utafiti muwe wabunifu. mim siwez waletea tangazo kwa mambo raini ya kucopy na kupaste. muache kusingizia watu vifo mkome sana. mnawapa presha ndugu zake kwa uzushi wenu. kucopy na kupaste bila uhakika ni ujinga kila mtu anataka kupost wa kwanza. acheni hizo mjengwa na wenzako