Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

  • Redirect
Msanii mkongwe wa mziki nchini Sam Wa Ukwe aliyetamba na nyimbo kadhaa Amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo. baada ya Kuugua kwa Muda mrefu. Bwana alitoa na Bwana ametoa Jina lake lihimidiwe...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
[emoji818] [emoji818] [emoji818]
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Woi DOGO LULU umetisher Unaolewa mara hii juzi juzi umetoka Jela?! Hongera sana DOGO, tunasubiri Picha my Sasa nani atamuoa Hamisa?! Kiru! Yajayo yanafurahisha mpo tayari?!
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
HAPPY MOTHER’S DAY|ZAWADI BORA KWA MAMA ZETU, DADA ZETU WENYE WATOTO NA WANAOTARAJIA KUPATA WATOTO. ILE MOVIE KALI KABSA KUTOKA KWA DADA YETU,AUNTY EZEKIEL SASA IPO KIGANJANI MWAKO.NI KUPITIA...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Kiba anapata promo aonekane yupo juu ili kumshusha mond, ni kama Kwa Kanumba na Ray tuliaminishwa ni washindan lakni Ray alikuw anatembelea huu ushindan kuonekana yupo juu lakin hamna kitu, ni...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Leo mawingu tv kumnadi msanii kuanzia vipindi vya asubui mpaka vya usiku na mapicha picha kwenye mitandao imekaaje? kisa tyu anaachia ngoma au ndio yale anayosema roma NGOMA INATOKA SEPTEMBER...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
What is you're name? My name is Alikiba... What brings u to our home? I've come to take the girl.. Hahahahahahahah...... Yan we hauna mpinzani Mr classical...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI! kwa namna ya pekee kabisa nawapa pole UVCCM na Green Guard kwa kufiwa na mwenzenu Agnes Masogange. Awali niliwapa pole wasanii tu nikawasahau ninyi nduguze muhimu...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Msanii wa Bongo Fleva, Jebby aliyewahi kutamba na wimbo "Swahiba", amefariki dunia leo mjini Dodoma, Msanii Afande Sele amethibitisha Rest in eternal peace jebby Source: #MwananchiUpdates
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Msanii za muziki wa Bongo Fleva, Dogo Janja akiwa msibani hapo. Baadhi ya waombolezaji wakiwa na nyuso za huzuni msibani hapo. Baadhi ya ndugu, jamaaa na marafiki wakiwa katika huzuni msibani...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Wana JF Msaniii Agness Masogange ameaga dunia Leo jijini Dar Es Salaam. Taarifa zaidi hivi punde.
1 Reactions
Replies
Views
Aslay ameamua kuachia ngoma nyingine akimshirikisha msanii Bahati kutoka kenya wimbo ukiwa unaitwa BORA NIFE huku WCB wakiwa wameachia video ya wimbo wao unaotrend KWANGARU Karata yako inakwenda...
1 Reactions
18 Replies
5K Views
Tumelalamikia Kwa Mrefu Mno, Juu Ya Suala La Makampuni Ya Visimbuzi Kutuchaji Gharama Za Katazama Zile 5 Local Channel, Ambazo Tokea Awali Tuliambiwa Ni Za Bure,But Sasa Mwaka Na Nusu Tunalipishwa...
0 Reactions
1 Replies
659 Views
  • Redirect
wanajamii wenzangu leo mida ya saa mbili nilikuwa naangalia habar channel ilikua tv 1 ndipo taarifa hiyo ikatangazwa kwamba watu wa tcra wamemweka chini ya ulinzi jamaa ....hawakutoa...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Kuanzia leo 9 Desemba 2017. Msamaha wa Rais Dk. J. P. Magufuli
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Haya ndio alioandika Msanii Mkongwe afande Sele baada ya hukumu ya LULU [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] Nakumbuka vizuri saana mwaka 2006 yaani miaka miwili tu baada ya mimi...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Joti akifunga ndoa kanisa la Magomeni leo jumamosi pata kuana akiwa kanisa kwenye video
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Taarifa zilizotufikia usiku wa kuamkia leo zinaeleza kuwa Mtangazaji aitwaye Denis Rupia maarufu kama Chogo amefariki dunia. Taarifa hizi zimetolewa na Meneja Mkuu wa EFM, Denis Ssebo jukwaani...
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom