Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Jamani ebu tumpe sifa zake huyu kijana he deserve! Kwanza anajituma,anaheshima,hana makundi,ni mkarimu, Anapigania life yake step by step ili atoke kwa njia salama Ni handsome,akismile na wewe ni...
0 Reactions
58 Replies
9K Views
Mume wa Malkia wa Mipasho Khadija Kopa ambaye pia ni diwani wa Kata ya Mogomeni Bagamoyo kupitia CCM Jaffar Ali Yusuf amefaiki dunia mapema asubuhi ya leo katika Hospitali ya Lugalo. Kwa mujibu...
0 Reactions
131 Replies
27K Views
Leo watanzania watapata kutambua nani ananyakua tuzo gani ya kilimanjaro music award 2013 katika ukumbi wa mlimani city,baadhi ya vipengele vinavyowaniwa ni MSANII BORA WA KIKE ambacho kinawaniwa...
1 Reactions
39 Replies
4K Views
Huyu Mdada ananichanganya na mapigo yake ya uko kwa Obama.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
HUDDAH APOKELEWA NA PREZZO >> Jana jioni mrembo Huddah Manroe aliwasili nchini Kenya mida ya jioni akitokea nchini Afrika Kusini na kama ulikuwa hufahamu alipokewa katika uwanja wa ndege na...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Kwa sasa yupo njiani akielekea morogoro kwa gari kumzika rafiki yake mangwair. mia
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Tulihamasishwa sana kuchangia mpaka ile namba ya tigo ikawa haipokei tena salio kwa kujaa. Naomba kujua mapato na matumizi.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mshiriki wa big brother the chase week hii imekuwa mbaya kwake kwani ameingia kwenye danger zone,watanzania na wana afica mashariki inabidi tumpigie kura mwenzetu ili aweze kubakia mjengoni
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wasanii wa movie apa bongo hususani wa kike wengi, wameonyesha juhudi za kutaka kumiliki kampuni zao binafsi za kutengeneza filamu.hili wazo ni zuri sana kwani inaonyesha jinsi walivyo improve...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Kati ya movie ambazo wabongo wamecheza ki umakini zaidi ni hii ya men in love ambayo inahusu mapenzi ya jinsia moja,nimependa characters na director jinsi alivyojitahidi kuchezesha character...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Mama khadija nakuhurumia kwa jinsi mlivokua mmeshibana na mumeo, na jinsi ulivokua ukimrusha hewani kila wimbo. Mume anauma, sisi wenye waume tunajua. Uchungu wa mume hakuna mfanowe, pole mama!
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Jina lake halisi anaitwa issa mussa,anafahamika zaidi kwa jina la cloud.huyu ni muigizaji wa long time kidogo,aliwahi kushiriki michezo ya kuigiza apo awali kabla ya kuamua kujikita kwenye...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Tulihamasishwa sana kuchangia mpaka ile namba ya tigo ikawa inagoma kupokea masalio kwa kujaa. Marehem kishazikwa, sasa tunaomba mchanganuo wenye ushahidi wa mapato na matumizi. Ni hayo tu.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Taarifa hizo nimezinyaka kupitia clouds FM. Inasemekana kwamba jamaa anasumbua sana maana anataka kuongea na mshikaji wake lakini hampati,na kutokana na hali yake ya sasa wameshindwa kumwambia...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Ukikutana na Diamond mtaani akiwa na mchuma mpya wenye rangi nyeusi, usishtuke sana, jua ni courtesy of Cocacola. Inavyoonekana ni kuwa Cocaboy kama anavyojiita siku hizi, amenunuliwa gari jipya...
2 Reactions
27 Replies
5K Views
Sijawahi msikia mwadada huyu kuudhuria kwenye misiba ya ma celebrity wenzie,kuanzia ule wa sharo milionea,kanumba ambaye alikuwa anapenda sana kutembelea nyumban lounge pia sikumsikia wala kumuona...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
GrandPa Records Ya Kenya Imevunja Mkataba Wake Wa kazi na Msanii Mr Nice kutoka Tanzania Baada ya miezi michache ya kufanya nae kazi. Fahamu Mr Nice alipewa mkataba na GrandPa Records huku...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Mwili wa albert mangwair umeairishwa tena kufika leo jumapili kama ilivyotangazwa apo awali,sababu za kufanya bado hazijajulikana,tarehe sahihi ya kuja kwa mwili huo itatangazwa soon....mhh apa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wafuatao ni baadhi ya wasanii wakike wacheza film bongo wanaofanya vizuri zaidi wawapo kwenye camera 1.monalisa(pay back) 2.riyama ally(fungu la kukosa) 3.wastara(hekima) 4.aunt ezekiel(young...
0 Reactions
2 Replies
8K Views
Back
Top Bottom