Show ya MwanaFA ilihujumiwa kwa makusudi.

C

Concrete

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2011
Messages
3,607
Likes
40
Points
0
C

Concrete

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2011
3,607 40 0
Siku ya Ijumaa Usiku ilikuwa ni siku ambayo MwanaFA alikuwa akifanya show yake ya 'The FINEST'.
Huenda ikawa ni moja ya siku chungu zaidi kwa mwanamuziki huyu maishani mwake kila atakapoikumbuka kwani kilichotokea ni masikitiko zaidi ya furaha.
Show yake ilikosa msisimko uliotarajiwa kulinganisha na show ya mwanamuziki Lady JD ambayo ilikuwa siku hiyo hiyo.

Hizi hapa chini ni baadhi ya hujuma za makusudi ambazo mwanaFA amefanyiwa:

1/Kitendo cha Wadhamini na waandaaji wa show yake kulazimisha show hiyo ifanyike siku moja na ile show ya Lady JD (Kuna mashabiki wa MwanaFA wengi waliogopa kwenda kwenye show yake ili kukwepa kuonekana ni maadui wa Lady JD)

2/Kuna watu walikuja na kutangaza kuwa tayari tiketi za show yake zilikuwa zimekwisha wakati kiuhalisia tiketi bado zilikuwa zinapatikana kwa wingi mitaani. (Hichi kiliwakatisha tamaa baadhi ya watu waliokuwa na nia njema ya kuja kwenye show ile, kumbuka wabongo wengi hatuna tabia ya kununua tiketi kabla ila tunapenda mambo ya papo kwa papo)

3/Tetesi za kusema show ya MwanaFA na hata ya Lady JD huenda zingeahirishwa kufuatia msiba wa Langa (Kuna watu waliamini hili kwa kuwa hapo kabla alifanya hivyo kwenye msiba wa Ngwear)

4/Imani iliyojengwa kuwa Show ya mwanaFA ilikuwa imeandaliwa kwa makusudi na maalum kabisa kuharibu Show ya Lady JD (Mashabiki wengi hawapendi mambo ya visa vya kukomoana kati ya msanii mmoja dhidi ya mwingine)
 
Mkoroshokigoli

Mkoroshokigoli

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Messages
14,621
Likes
2,691
Points
280
Mkoroshokigoli

Mkoroshokigoli

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2012
14,621 2,691 280
mwanafistula amekwisha,hata hana nyimbo za maana za kutufanya tuende kwenye show yake

Wizzo unanichekesha sana y u call him MWANAFISTULA?hehehehehe
 
Last edited by a moderator:

kapotolo

kapotolo

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2010
Messages
3,729
Likes
102
Points
145
kapotolo

kapotolo

JF-Expert Member
Joined Sep 19, 2010
3,729 102 145
Aliimba yalaiti, LOL.
 
Philip Dominick

Philip Dominick

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2013
Messages
1,022
Likes
4
Points
135
Philip Dominick

Philip Dominick

JF-Expert Member
Joined May 26, 2013
1,022 4 135
hapana,hapana,shw yao haikuwa na mvuto
 
Dennismakoi

Dennismakoi

Member
Joined
Jan 23, 2012
Messages
34
Likes
0
Points
0
Dennismakoi

Dennismakoi

Member
Joined Jan 23, 2012
34 0 0
Huu ni ujinga wa clouds na mwanafa coz hukutaka kusikiliza, yeye anajua hana jipya then anaandaa show siku moja na mtu mwenye akili, hii ni fundisho kwa wasanii wote hapa nchini.
 
figganigga

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Messages
16,327
Likes
10,112
Points
280
figganigga

figganigga

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2010
16,327 10,112 280
kitendo cha kurudia rudia wimbo wa mwanafa utaoa lini zilikua ni dalili za kupanic na kuhisi mashabiki hajawaridhika. mia
 
ABEDNEGO CHARLES

ABEDNEGO CHARLES

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2012
Messages
569
Likes
22
Points
35
ABEDNEGO CHARLES

ABEDNEGO CHARLES

JF-Expert Member
Joined Aug 22, 2012
569 22 35
Faida ya huu uhasama unamsaidia nani?
 
Ritz

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Messages
42,249
Likes
4,697
Points
280
Ritz

Ritz

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2011
42,249 4,697 280
Siku ya Ijumaa Usiku ilikuwa ni siku ambayo MwanaFA alikuwa akifanya show yake ya 'The FINEST'.
Huenda ikawa ni moja ya siku chungu zaidi kwa mwanamuziki huyu maishani mwake kila atakapoikumbuka kwani kilichotokea ni masikitiko zaidi ya furaha.
Show yake ilikosa msisimko uliotarajiwa kulinganisha na show ya mwanamuziki Lady JD ambayo ilikuwa siku hiyo hiyo.

Hizi hapa chini ni baadhi ya hujuma za makusudi ambazo mwanaFA amefanyiwa:

1/Kitendo cha Wadhamini na waandaaji wa show yake kulazimisha show hiyo ifanyike siku moja na ile show ya Lady DJ (Kuna mashabiki wa MwanaFA wengi waliogopa kwenda kwenye show yake ili kukwepa kuonekana ni maadui wa Lady JD)

2/Kuna watu walikuja na kutangaza kuwa tayari tiketi za show yake zilikuwa zimekwisha wakati kiuhalisia tiketi bado zilikuwa zinapatikana kwa wingi mitaani. (Hichi kiliwakatisha tamaa baadhi ya watu waliokuwa na nia njema ya kuja kwenye show ile, kumbuka wabongo wengi hatuna tabia ya kununua tiketi kabla ila tunapenda mambo ya papo kwa papo)

3/Tetesi za kusema show ya MwanaFA na hata ya Lady JD huenda zingeahirishwa kufuatia msiba wa Langa (Kuna watu waliamini hili kwa kuwa hapo kabla alifanya hivyo kwenye msiba wa Ngwear)

4/Imani iliyojengwa kuwa Show ya mwanaFA ilikuwa imeandaliwa kwa makusudi na maalum kabisa kuharibu Show ya Lady JD (Mashabiki wengi hawapendi mambo ya visa vya kukomoana kati ya msanii mmoja dhidi ya mwingine)
Kama ni hivyo kwa nini naye asihujumu show ya Jide.
 
theHAVARD_product

theHAVARD_product

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2012
Messages
290
Likes
133
Points
60
theHAVARD_product

theHAVARD_product

JF-Expert Member
Joined May 4, 2012
290 133 60
Nashangaa watu wanampongeza Twitter kinafiki. Kwenye show walijazana Clouds&co groups
 
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Messages
39,247
Likes
20,355
Points
280
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2010
39,247 20,355 280
Kama ni hivyo kwa nini naye asihujumu show ya Jide.
Jide anaungwa mkono na umma usiyopenda dhulma. haujumiki.

Wapi January Makamba? wapi Zitto Kabwe a.k.a mchambuzi wa soka.
 
M

mwakibete

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2009
Messages
2,719
Likes
1,241
Points
280
M

mwakibete

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2009
2,719 1,241 280
Nilikua na mwalimu wangu wa somo la historia, kuna siku alituambia, ktk maisha usipambane na mwanamke. Achilia mbali uwezo wake but pia anaweza kufanya makubwa zaidi ya tuyajuayo. Nilimuelewa sana.
 
Hiram Abiff

Hiram Abiff

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2013
Messages
842
Likes
403
Points
80
Hiram Abiff

Hiram Abiff

JF-Expert Member
Joined Apr 14, 2013
842 403 80
Siku ya Ijumaa Usiku ilikuwa ni siku ambayo MwanaFA alikuwa akifanya show yake ya 'The FINEST'.
Huenda ikawa ni moja ya siku chungu zaidi kwa mwanamuziki huyu maishani mwake kila atakapoikumbuka kwani kilichotokea ni masikitiko zaidi ya furaha.
Show yake ilikosa msisimko uliotarajiwa kulinganisha na show ya mwanamuziki Lady JD ambayo ilikuwa siku hiyo hiyo.

Hizi hapa chini ni baadhi ya hujuma za makusudi ambazo mwanaFA amefanyiwa:

1/Kitendo cha Wadhamini na waandaaji wa show yake kulazimisha show hiyo ifanyike siku moja na ile show ya Lady DJ (Kuna mashabiki wa MwanaFA wengi waliogopa kwenda kwenye show yake ili kukwepa kuonekana ni maadui wa Lady JD)

2/Kuna watu walikuja na kutangaza kuwa tayari tiketi za show yake zilikuwa zimekwisha wakati kiuhalisia tiketi bado zilikuwa zinapatikana kwa wingi mitaani. (Hichi kiliwakatisha tamaa baadhi ya watu waliokuwa na nia njema ya kuja kwenye show ile, kumbuka wabongo wengi hatuna tabia ya kununua tiketi kabla ila tunapenda mambo ya papo kwa papo)

3/Tetesi za kusema show ya MwanaFA na hata ya Lady JD huenda zingeahirishwa kufuatia msiba wa Langa (Kuna watu waliamini hili kwa kuwa hapo kabla alifanya hivyo kwenye msiba wa Ngwear)

4/Imani iliyojengwa kuwa Show ya mwanaFA ilikuwa imeandaliwa kwa makusudi na maalum kabisa kuharibu Show ya Lady JD (Mashabiki wengi hawapendi mambo ya visa vya kukomoana kati ya msanii mmoja dhidi ya mwingine)
Fatuma Amina...warwill(wawili)
 
C

Concrete

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2011
Messages
3,607
Likes
40
Points
0
C

Concrete

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2011
3,607 40 0
Kama ni hivyo kwa nini naye asihujumu show ya Jide.
Mkuu hizi hujuma hakufanyiwa na Jide mwenyewe lakini zaidi zilifanywa na waandaaji wake mwanaFA labda pasipokujua au kutokujali(miss the target) lakini pia baadhi ya mashabiki wa Jide hawakupenda Show ya MwanaFA ifanikiwe kwa kuwa walitaka show ya Jide ifanikiwe zaidi(Offensive mechanism)
 
mwekundu

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Messages
21,031
Likes
10,394
Points
280
mwekundu

mwekundu

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2013
21,031 10,394 280
Ndo dawa yake

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Forum statistics

Threads 1,273,094
Members 490,291
Posts 30,471,212