Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,863
- 34,330
Duh!R.I.P LANGA!
Hiyo picha ya chini kabisa naona ukutani kuna picha ya familia ya Mr KILEO sijui naona vibaya lakini naona kama LANGA alikuwa ni mtoto pekee wa kiume kwenye picha hiyo, i can imagine how painfull the family is feeling to loose the only son.
NB: Nisieleweke vibaya kuwa nawanyanyapaa akina dada lakini kwa wazazi uwepo wa mtoto wa kiume huwa wanahisi fahari sana,wanasema ataendeleza jina la ukoo tofauti na binti ambaye akiolewa anachukua jina la ukoo wa kwa mumewe mara nyingi.
Nikiwaona watoto hao Kikwete roho yangu inachefuka, tena hafadhali huyo Miraji kuliko huyu Prince Ridhiwani anayeligharimu Taifa zima kwa kudekezwa na Baba yake.[/Q
Ile familia ni miongoni mwa mikosi mikubwa kabisa ambayo Tanzania imewahi kukumbana nayo