Mapungufu ya show ya jide ni haya

W

wajojo

Senior Member
Joined
Apr 29, 2013
Messages
156
Likes
1
Points
0
Age
27
W

wajojo

Senior Member
Joined Apr 29, 2013
156 1 0
Jana ulikuwa ni usiku wa jide,kwani alikuwa anasherekea miaka kumi na tatu ndani ya game apa bongo,vile vile alikuwa anazindua albamu yake ya nothing but the truth,show ki ukweli ilikuwa kubwa sana,watu walijaa ndani mpaka wengine ikabidi wasimame parking ya nje,kitu ambacho watu wengi walikuwa wanalalamika ni ufinyu wa eneo hilo,kwani mashabiki walikuwa wengi sana,pengine jide hakutegemea kupata watu wengi kiasi kile,ila ilimpasa kutambua yeye ni mwanamuziki mkubwa sana apa bongo,na wadau wanatambua mchango wake,ndo maana jana walijitokeza wengi kumsuport,ila mda mwingine ajipange,kama akifanya show kubwa kama ile ya jana,basi atafute eneo la kutosha ili mashabiki tujimwagr vizuri,ila all in all show ilikuwa kali sana,na ujio wa watu wengi ni ishara ya kukubarika kwa mwanadada huyo,pongezi kwa kutimiza miaka 13
 
Ulukolokwitanga

Ulukolokwitanga

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2010
Messages
8,416
Likes
3,937
Points
280
Ulukolokwitanga

Ulukolokwitanga

JF-Expert Member
Joined Sep 18, 2010
8,416 3,937 280
Mi sioni kama ni mapungufu ukizingatia kuwa show ameandaa yeye na kampuni yake na hajaandaliwa na waliberali. Huwezi kujua kuwa una mashabiki wengi kiasi gani hadi baada ya kupitia kipimo kama cha jana. The show ya miaka 14 ya Jide ifanyikie kwenye eneo kubwa zaidi kwa vile tayari anajua kipimo cha mafans alionao...

Pia kumbuka kuwa Mkwanja wote biDada kavuta kwa raha zake, wale wenye choyo walitaka kumkwamisha Komando asiipate ile hela, wabongo kweli nuksi.
 
Mkoroshokigoli

Mkoroshokigoli

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Messages
14,621
Likes
2,691
Points
280
Mkoroshokigoli

Mkoroshokigoli

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2012
14,621 2,691 280
Mi sioni kama ni mapungufu ukizingatia kuwa show ameandaa yeye na kampuni yake na hajaandaliwa na waliberali. Huwezi kujua kuwa una mashabiki wengi kiasi gani hadi baada ya kupitia kipimo kama cha jana. The show ya miaka 14 ya Jide ifanyikie kwenye eneo kubwa zaidi kwa vile tayari anajua kipimo cha mafans alionao...

Pia kumbuka kuwa Mkwanja wote biDada kavuta kwa raha zake, wale wenye choyo walitaka kumkwamisha Komando asiipate ile hela, wabongo kweli nuksi.
haki ya nani,,,waswahili tuna maneno nabak nacheka tu
 
cantonna

cantonna

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2013
Messages
1,111
Likes
342
Points
180
Age
74
cantonna

cantonna

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2013
1,111 342 180
kweli jide ni komandoo coz ni mwanamuzik pekee hapa bongo aliyeweza kuandaa shoo kubwa kama ile licha ya kupigwa vita na brauz fm!!
 
Ulukolokwitanga

Ulukolokwitanga

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2010
Messages
8,416
Likes
3,937
Points
280
Ulukolokwitanga

Ulukolokwitanga

JF-Expert Member
Joined Sep 18, 2010
8,416 3,937 280
kweli jide ni komandoo coz ni mwanamuzik pekee hapa bongo aliyeweza kuandaa shoo kubwa kama ile licha ya kupigwa vita na brauz fm!!
Blauz Fm a.k.a Waliberali na ushahidi ni faini waliyopigwa na TCRA kwa kuandaa kipindi chenye maudhui ya kuhamasisha ushoga au uliberali
 
W

wajojo

Senior Member
Joined
Apr 29, 2013
Messages
156
Likes
1
Points
0
Age
27
W

wajojo

Senior Member
Joined Apr 29, 2013
156 1 0
By Ulukolokwitanga<br />
Mi sioni kama ni mapungufu ukizingatia kuwa show ameandaa yeye na kampuni yake na hajaandaliwa na <font color="blue">waliberali.</font> Huwezi kujua kuwa una mashabiki wengi kiasi gani hadi baada ya kupitia kipimo kama cha jana. The show ya miaka 14 ya Jide ifanyikie kwenye eneo kubwa zaidi kwa vile tayari anajua kipimo cha mafans alionao...<br />
<br />
Pia kumbuka kuwa Mkwanja wote biDada kavuta kwa raha zake, wale wenye choyo walitaka kumkwamisha Komando asiipate ile hela, wabongo kweli nuksi.
<br />
<br />
<font color="blue">haki ya nani,,,waswahili tuna maneno nabak nacheka tu</font>
Kweli huyu dada ni hatari..
 
Mdakuzi

Mdakuzi

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Messages
2,755
Likes
513
Points
280
Mdakuzi

Mdakuzi

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2012
2,755 513 280
Jana ulikuwa ni usiku wa jide,kwani alikuwa anasherekea miaka kumi na tatu ndani ya game apa bongo,vile vile alikuwa anazindua albamu yake ya nothing but the truth,show ki ukweli ilikuwa kubwa sana,watu walijaa ndani mpaka wengine ikabidi wasimame parking ya nje,kitu ambacho watu wengi walikuwa wanalalamika ni ufinyu wa eneo hilo,kwani mashabiki walikuwa wengi sana,pengine jide hakutegemea kupata watu wengi kiasi kile,ila ilimpasa kutambua yeye ni mwanamuziki mkubwa sana apa bongo,na wadau wanatambua mchango wake,ndo maana jana walijitokeza wengi kumsuport,ila mda mwingine ajipange,kama akifanya show kubwa kama ile ya jana,basi atafute eneo la kutosha ili mashabiki tujimwagr vizuri,ila all in all show ilikuwa kali sana,na ujio wa watu wengi ni ishara ya kukubarika kwa mwanadada huyo,pongezi kwa kutimiza miaka 13
Sasa hayo mapungufu au mafanikio? Msanii wa kiwango chake ni lazima ajaze hadi pomoni/hadi acheue!
 
HOPECOMFORT

HOPECOMFORT

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2012
Messages
2,938
Likes
3,739
Points
280
HOPECOMFORT

HOPECOMFORT

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2012
2,938 3,739 280
Umeshuka vizuri lkn haikua na ulazima wa kuianzishia topic ungechangia tu kwenye topic iliyoanzishwa na mdau mwingine kuusiana na wasifu wa show ya Jd
WebRep

WebRep

Overall rating
 
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
82,402
Likes
50,127
Points
280
Age
29
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
82,402 50,127 280
Sasa kama mnadai show ilibamba na kwamba eti kuna watu wanamzibia riziki huyo dada, kwanza, iweje show ibambe kama hayo maneno ya kuzibiwa riziki ni ya kweli, na pili, hivi kweli mnadhani bila yeye kuanzisha bifu kwenye social media angepata idadi hiyo ya watu aliyoipata?

Hapo wenye akili watakuwa walistuka kitambo kuwa hiyo bifu ni ilikuwa ni janja tu ya kuvutia biashara yake maana hoja ya kwamba eti anazibiwa riziki haina mashiko hata kidogo.
 
Zagazaga

Zagazaga

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2011
Messages
549
Likes
115
Points
60
Zagazaga

Zagazaga

JF-Expert Member
Joined Mar 2, 2011
549 115 60
Sasa kama mnadai show ilibamba na kwamba eti kuna watu wanamzibia riziki huyo dada, kwanza, iweje show ibambe kama hayo maneno ya kuzibiwa riziki ni ya kweli, na pili, hivi kweli mnadhani bila yeye kuanzisha bifu kwenye social media angepata idadi hiyo ya watu aliyoipata?

Hapo wenye akili watakuwa walistuka kitambo kuwa hiyo bifu ni ilikuwa ni janja tu ya kuvutia biashara yake maana hoja ya kwamba eti anazibiwa riziki haina mashiko hata kidogo.
haha haaaaa bwan chu...umekua mpoleeeeeeee zchezea jide wewe.sasa mjifunza.
 
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
82,402
Likes
50,127
Points
280
Age
29
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
82,402 50,127 280
haha haaaaa bwan chu...umekua mpoleeeeeeee zchezea jide wewe.sasa mjifunza.
Wajinga ndiyo waliwao! Huyo binti kabuni bifu na Clouds ili kujitengenezea biashara.

Lakini kwa vile mmeghubikwa na chuki basi hilo hamuwezi kuliona kabisa.

Hivi kwa akili zenu gumba mnadhani angebuni bifu na Times FM au hata Radio One angeweza kupata publicity aliyoipata?
 
N

Nansawa

Senior Member
Joined
Sep 22, 2008
Messages
191
Likes
0
Points
33
N

Nansawa

Senior Member
Joined Sep 22, 2008
191 0 33
Sasa kama mnadai show ilibamba na kwamba eti kuna watu wanamzibia riziki huyo dada, kwanza, iweje show ibambe kama hayo maneno ya kuzibiwa riziki ni ya kweli, na pili, hivi kweli mnadhani bila yeye kuanzisha bifu kwenye social media angepata idadi hiyo ya watu
aliyoipata?

Hapo wenye akili watakuwa walistuka kitambo kuwa hiyo bifu ni ilikuwa ni janja tu ya kuvutia biashara yake maana hoja ya kwamba eti anazibiwa riziki haina mashiko hata kidogo.

Na hii hoja yako ndo ina mashikooo? Hoja nyepesi sana unayoitolea povu hapa eti bifu limemsaidia, hebu na msanii mwingine aanzishe bifu na media halafu atangaze shoo tuone. Na tuzo za miaka yote kwa jide ni kutangaza bifu? Kifanyikacho gizani huanikwa nuruni. Wanafiki wameumbuka na mipango yao yote ya ufichoni a.k.a. Gizani
 
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
82,402
Likes
50,127
Points
280
Age
29
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
82,402 50,127 280
Na hii hoja yako ndo ina mashikooo?
Ndiyo ina mashiko kwa sababu hakuna aliyeijibu kwa kuridhisha mpaka hivi sasa.

Hoja nyepesi sana unayoitolea povu hapa eti bifu limemsaidia, hebu na msanii mwingine aanzishe bifu na media halafu atangaze shoo tuone.
Hiyo tayari ishafanywa na Sugu miaka miwili na ushee hivi iliyopita, kama sijakosea. Najua pengine hukumbuki maana kumbukumbu nyingi za wanazi kama wewe huwa ni fupi kama vinywele vyao vya pua.

Na tuzo za miaka yote kwa jide ni kutangaza bifu?
Tuzo? Tuzo gani?

Kifanyikacho gizani huanikwa nuruni. Wanafiki wameumbuka na mipango yao yote ya ufichoni a.k.a. Gizani
Wanafiki ni akina nani na mipango yao yote ya ufichoni ni ipi?
 
K

Katawi d

Member
Joined
May 15, 2013
Messages
24
Likes
0
Points
0
K

Katawi d

Member
Joined May 15, 2013
24 0 0
Wajinga ndiyo waliwao! Huyo binti kabuni bifu na Clouds ili kujitengenezea biashara.

Lakini kwa vile mmeghubikwa na chuki basi hilo hamuwezi kuliona kabisa.

Hivi kwa akili zenu gumba mnadhani angebuni bifu na Times FM au hata Radio One angeweza kupata publicity aliyoipata?
Achakupotosha wewe.
 
Ndallo

Ndallo

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Messages
7,389
Likes
1,564
Points
280
Ndallo

Ndallo

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2010
7,389 1,564 280
Jana ulikuwa ni usiku wa jide,kwani alikuwa anasherekea miaka kumi na tatu ndani ya game apa bongo,vile vile alikuwa anazindua albamu yake ya nothing but the truth,show ki ukweli ilikuwa kubwa sana,watu walijaa ndani mpaka wengine ikabidi wasimame parking ya nje,kitu ambacho watu wengi walikuwa wanalalamika ni ufinyu wa eneo hilo,kwani mashabiki walikuwa wengi sana,pengine jide hakutegemea kupata watu wengi kiasi kile,ila ilimpasa kutambua yeye ni mwanamuziki mkubwa sana apa bongo,na wadau wanatambua mchango wake,ndo maana jana walijitokeza wengi kumsuport,ila mda mwingine ajipange,kama akifanya show kubwa kama ile ya jana,basi atafute eneo la kutosha ili mashabiki tujimwagr vizuri,ila all in all show ilikuwa kali sana,na ujio wa watu wengi ni ishara ya kukubarika kwa mwanadada huyo,pongezi kwa kutimiza miaka 13
Wazo lako ni zuri sana na tunashukuru kwa mchango wako next time tutalifanyia kazi!
 
Mamndenyi

Mamndenyi

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Messages
29,419
Likes
7,508
Points
280
Mamndenyi

Mamndenyi

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2011
29,419 7,508 280
Hongera judith wambura tupo nawe mwaya
 
Forum statistics

Threads 1,272,352
Members 489,924
Posts 30,448,280