Diamond aingizwa cha kike?

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
8,110
14,054
Kuna taarifa zimezagaa hapa mjini ifakara kuwa mwanamziki Diamond ameachwa solemba kwenye hotel aliyofikia ya Mbega Motel iliyopo hapo kibaoni. Taarifa zinatonya walikuwa na makubaliano na ccm afanye show leo kwenye uwanja wa taifa kama ccm wangetangazwa washindi kwenye uchaguzi wa udiwani wa jana. Ikumbukwe diamond alifika hapa j'mosi iliyopita akiongozana na Samwel Sitta na Mama Lwakaare(mchungaji). Mbunge wa k'mbero PDG Mteketa kashasepa pa1 na viongozi wa ngazi ya mkoa na kumwacha diamond solemba.
 
na CCM watamtumia sana mwaka huu kwa maslahi yao....
maana kila mkutano wanae watu wanaendaga kumuangalia tu Diamond
 
atumiki mtu hapo diamond yupo kazini muacheni afanye kazi yake akikaa nyumbani au akishinda kwenye magenge yenu kwenye viwanya mtampa hela ya kula
 
Dogo alishalamba chake,CCM hawawezi kuwa na ubahili kiasi hicho au kuona uchungu wa pesa kwa sababu sio zao.
 
Back
Top Bottom