Diva wa clouds fm apigwa chini na prezoo, huu ndo ushahidi. Soma hapa

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,083
2,000
HUDDAH APOKELEWA NA PREZZO >> Jana jioni mrembo Huddah
Manroe aliwasili nchini
Kenya mida ya jioni
akitokea nchini Afrika
Kusini na kama ulikuwa
hufahamu alipokewa katika uwanja wa ndege
na rapper CMB Prezzo!,
nahisi ume ‘wow’ right? Inavyoonekana kile
alichokuwa
anakizungumza Huddah
mjengoni kuhusiana na
Prezzo sasa ameamua
kukitolea uthibitisho kuwa ni wapenzi (kwa mujibu
wa maelezo ya Huddah na
mapokezi hayo) na
kuamua kuwafunga
midomo ‘haters’ kwa
kupiga picha za pamoja wakitokea uwanja wa
ndege .


Baada ya kuwasili uwanja
wa ndege Huddah na
Prezzo walipanda gari moja
na kuelekea walikoelekea!,
na kupiga picha
zinazoonyesha uhai wa mahaba, kama unajua
kusoma ‘body
expressions’ ambazo kama
Huddah angekuwa mpenzi
wa mipasho huenda
angeziwekea caption ya “wenye wivu
wajinyonge’!. Ikiwa ni siku yake ya
kwanza toka awasili Kenya
staa huyo Huddah leo
alikuwa na mkutano na
waandishi wa habari
kwaajili ya kuzungumzia ushiriki wake katika Big
Brother ‘The Chase’ na
kujibu maswali ya
waandishi. Siku ya leo Huddah
ameonekana kuwa
dhabahu inayosakwa na
watu wengi ambao kila
mmoja anataka kuonana
nae. #DIVA LOVENESS UPO..???
maoni yangu ni wanawake muache kushobokea wanaume ambao unajua kabisa yuko na mpenz wake
 

Heaven on Earth

JF-Expert Member
Mar 21, 2013
37,164
2,000
mbona Diva kuchukua mabwana za watu ndo kawaida yake.....,
alijua na anajua kwamba wawili ni wapenzi na bado alijichomeka.............,

By the way naona anazidi kuseek attention maana juzijuzi
alipost picha yuko almost naked.....
 

warumi

JF-Expert Member
May 6, 2013
15,101
2,000
Huyo diva anapenda wanaume ambao sio type yake,mtu mwenyew prezo af atok na uo uozo wa diva,i knew it bora ajipange tuuu
 

usiniguse

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
1,520
2,000
Kuachwa kuachwa diva kuachwa ni shughuli pevu •Najua uko uliko unaugulia maumivu makali rohoni.

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
 

appoh

JF-Expert Member
Mar 14, 2013
4,943
2,000
hii ndio kawaida ya madem wengi wa kibongo wakipata wanaona wamemaliza kabisa maana kilivyokua kina ringa kilijua kitaolewa
 

kibol

JF-Expert Member
Apr 24, 2012
4,438
2,000
ngoja tuone km wataowana cuz tumezoea kuona mbwembwe kama hizi kutoka kwa wasanii mbalimbali halafu hakuna kinachoendelea
 

hapmpoma

Member
Jul 26, 2012
33
95
Ushauri tu kwa dogo aachane na wakenya watamchezea na kumtema kwan wao husema wataoa mwanamke yoyote africa lakini mswahili(mtz) ni isue kwao...nimesoma huko, nilikua na bfs kadhaa na marafiki so ushauri kwake atafute saizi yake mana umri unakwenda huu, akubali tu matokeo!!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 

mdeki

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
3,304
1,225
Diva njoo kwangu utapata tulizo la moyo. Mi sio maarufu lakini

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Top Bottom