Ile ya kampuni inayojiusisha na usambazaji wa movie apa bongo,STEPS ENTERTAINMENT imeandaa tuzo kwa ajili ya wasanii,ma director,script writer,best actress/actor,tuzo hizo zitahusisha filamu zote...
Katika mazingira ya kutatanisha msanii wa muziki wa kizazi kipya kwa jina maarufu matonya aliwekwa ndani ktk kituo cha polis mjini songea kwa kosa la kutofanya onyesho kamaalivyoingia mktaba na...
Wema sepetu ametemgeneza kichwa habari akidai hajawahi kumsaliti aliyekuwa mpenzi wake,nasibu abdul(DIAMOND) enzi zile walipokuwa wamezema kwenye dimbwi la mahaba."maisha yangu yote tangu nimeanza...
Kupitia kipindi cha hotmix EATV watanzania tunaombwa kumsaidia huyu mzee. Tena anasema Jk ni rafiki yake walikuwa wote UVccm(siyo hii ya sasa) kwahiyo anaomba naye amtembelee
Muda sasa umepita toka utoke ule unaoitwa Waraka Wa Jay Dee dhidi ya Clouds. Nilisikia pia ufafanuzi wa Ruge dhidi ya tuhuma zilizoelekezwa, na hivi majuzi nimebahatika kusikia ama kusoma kile...
Enzi hizo ukiwa na studio ulikuwa kama mfamle . wasanii wanakuja kurekodi kwa hela zao tena kwa apointment yako lakini ulikuwa na uwezo wa kuwafukuza kama mbwa tena na matusi juu kama sio...
Kwa takribani miaka yote,huyu dada anashikilia tuzo ya mwanamuziki bora wa kike,yaani ni noma,wadada jipangeni sana kwa jide,hyu mwanamke hatar,msipoangalia miaka yote mtashikilia tuzo za...
Kwanza nipende kumpongeza dogo kwa kukwaa tuzo za kilio lakini pia niwaombe mwenye mapenzi mwema naye wamshauri chochote kupitia ukurasa huu .itansaidia kwa njia moja au nyingine
Asiyekuwepo machoni, na Moyoni hayupo Someone who is not in sight, is not in the heart
ndugu zetu wanaanza kusaulika taritibu katika tasnia ya sanaa Tanzania hasa wa kizazi kipya, inabidi...
MAZISHI YA MANGWEA MAMBO 5 YA KUSHANGAZA
Posted by GLOBAL on June 8, 2013 at 12:30pm
View Blog
Stori:Mwandishi wetu
HUKU Albert Kenneth Mangwea ‘Ngwea' akiwa kaburini siku ya pili leo...
Hizo awards za Kilimanjaro mbona kila siku zinakuwa na malalamiko mengi kuliko shukran, je kunaweza kukawa na uteuzi wa washindi kabla ya tuzo maana hata kwenye list za washindani haziendani kabisa..
Kwa kuwataja na kuwaanika hadharani nafikiri itasaidia,kwani wengi wanafanya siri na kuja kuharibikiwa mbeleni
1.LORD EYEZ
2.DAZ BABA
3.CHID BENZ
4.Q CHIEF
5.TEMBA
6.NATURE
7.BANZA
8.DIOF...
Lady JayDee (@JideJaydee) tweeted at 4:16 PM on Sun, Jun 09, 2013:
Wanadai sina fans, nategemea fans wa MwanaFAtuma, jana walikuwa wapi kumshangilia? #Kujipa moyo kwapunguza stress...
Waungwana wapenzi wa Muziki, hapa nilikuwa katika kujiburudisha kwenye Youtube, kwekweli show nzima ni ya kufa mtu, ila sehemunilyouchoka ni pale ambapo waliweza kutumia technology na kuweka image...
Huyu mdada Betty wa ethiopia na Msieraleone (Bolt) naona wao wameenda kungonoka tu. Video za VIP ukizicheki ni wao wakila mambo flani.....kweli day 3 tayari tundi linaliwa? toka mchezo uanze...
ni yule mkali wa hiphop ya ukweli BONTA A.K.A maarifa,mkali huyu utumia lugha yenye kufikilisha kwenye tungo zake,hakika hana mpinzani kwa sasa..ametoa ngoma mpya inaitwa MATUSI..
Kwa hli bro omba...
Ni ukweli usiofichika kuwa ushindi wa kala jeremiah kunyakua tuzo tatu mfululizo ni faraja sana kwa madam ritha ambaye ndo aliyemuibua rapper huyo anayefanya vyema na ngoma yake ya dear god,ki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.