BAADA wadau na mashabiki mbalimbali wa muziki wa kizazi kipya kushambulia msanii wa muziki wa Bongo Fleva nchini Tanzania Mwana F.A katika mitandao ya Tweeter na Facebook kuhusu bifu lake na...
Mimi ni shabiki mkubwa wa muziki wa Bongo Flava haijalishi Hip Hop ama kuimba.
Wote kwangu ni wasanii na siwabagui.
Ni ukweli usio fichika kuwa kwa sasa huko tz nchini mwangu msanii Diamond...
Alikuwa akiongea juu ya vita kati ya Ruge na Lady Jay Dee na kushangaa kwanini serikali haifanyi kitu juu ya JF, ambayo inaruhusu watu kutuma posts zinazomchafua boss wake na kituo chake.
show imeanza, kikundi bora cha taarabu ni JAHAZI
mtunzi bora wa taarabu ni THABHIT ABDUL
mtayarishaji bora wa mwaka taarabu ni
HENRICO,
msanii bora wa kike ni
ISHA MASHAUZI
msanii bora wa...
ALLY CHOKI NA ASHA BARAKA WATOA KAULI NZITO KUHUSU MISIBA YAO.
Ally Choki
MKURUGENZI wa Extra Bongo Ally Choki ametoa kauli nzito kuhusu waajiri wake wa zamani, Asha Baraka...
Maafisa Ushuru na Forodha Nchini Spain katika mji a Catalunya wamesema Mshindi wa tuzo ya Baloon d' Or mara nne mfululizo Lionel Messi anashukiwa pamoja na baba yake kwa kukwepa kodi na...
Naomba nianze kwa kusema, binadamu tumeletwa duniani si kwa ajiri ya kuleta matatizo, bali tupo kwa ajiri ya kutatua matatizo. Kuyakimbia matatizo hakujawahi kuwa suluhisho la matatizo hata siku...
Shikamoo brother mwana fa??,naamini u mzima wa afya,wewe ni mwanamziki mkongwe tena msomi,hongera sana,kwani umeonyesha nia ya kutaka kujikomboa kimaisha,wewe ni kati ya wasanii classic apa...
Hawa wadada walikuwa mabest sana,yaani wema sepetu snura mushi(mama majanga),ila baadae walikuja kuzinguana had kufikia hatua ya kutoleana maneno machafu kwenye vyombo vya habar,sasa leo nimesikia...
1.Ikumbuke kuwa Jide aliwahi kufanya kazi ya Utangazaji ktk kituo cha Clous Fm Miaka ya nyuma sana....
2.Awali Jide alikuwa ni Manager wa Luge..Baada ya Jide kuamua kijitoa na kusimam yeye kama...
Nachukua nafasi hii adimu kuwapa pongezi kwa mengi mnayofanya,hasa kwa hili la kufanikisha msiba wa ndugu yetu mpendwa A.Mangwair,Ni wazi mlijitoa na kujinyima ili jamii ipate kujua na kufuatilia...
Katika kipindi cha Sun Downer cha Magic FM, mtangazaji huyo amesema kwamba shangwe zilizolipuka mara baada ya Jaydee kutajwa kuwa miongoni mwa wanaowania tuzo ya msanii bora wa kike katika tuzo...
Mwanamziki Nguli Mwana Fa aka BINAMU, ametangaza kutoa asilimia 15 ya mapato yake kwa familia ya marehemu Ngwea. kwavile mwanamziki JIDE anapenda kuiga kila anachofanya Mwana FA, aige na hili...
Kuna huyu sijui ndio msanii au nani anaeitwa Aunt Ezekiel kwa muda wa wiki nzima sasa ameleta tafrani kwenye familia yangu.
Kilichopo ni kwamba kupitia gazeti la udaku linaloitwa IJUMAA la terehe...
Ile ya kampuni inayojiusisha na usambazaji wa movie apa bongo,STEPS ENTERTAINMENT imeandaa tuzo kwa ajili ya wasanii,ma director,script writer,best actress/actor,tuzo hizo zitahusisha filamu zote...
Katika mazingira ya kutatanisha msanii wa muziki wa kizazi kipya kwa jina maarufu matonya aliwekwa ndani ktk kituo cha polis mjini songea kwa kosa la kutofanya onyesho kamaalivyoingia mktaba na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.