Ni muda mrefu amekuwa akitafutwa kukamatwa na polisi wanampotezea. Hata pale Lugola alipoagiza akamatwe, polisi walimpotezea kumpa kiki.Anatafutwa kukamatwa ili aendelee kuhit headlines.
Halafu zinapiga picha mbele zinazunguka nyuma zinapiga halafu zinaenda ubavuni zinapiga, hii ni CCTV ya aina yake ilibakiza kufunua boneti ipige picha ya injini.
Vijana wa Kamanda Mloto hupenda sana kutumia hixo namba. Hata hapa Dar kuna cruiser kama tatu za doria ya Polisi hutumia hizo namba. Kati ya hizo cruiser moja hupatikana sana Polisi Oyesterbay. Kwa kifupi hizo plates namba Polisi wanahusika nazo sana. Wazitafute hizo cruiser ambazo rangi yake ni dark blue kama sikoseiBasi wawe wanatoa taarifa zenye angalau karibu na uhalisia. Je hapa ni Collessium Hotel na hizi ni CCTV footage?
View attachment 903306View attachment 903307
Vijana wa Lumumba na akili ya kuazima,kazi mnayomlitaka picha na namba za gari mmepewa sasa mtu anaanza kubwabwaja eti sio hotelini, na camera za CCTV zimefungwa maeneo mengi gali lilipopita asidhani Zito kwamba wameangalia CCTV camera za pale hotelini tu.
Afadhal umeamua kuwavua nguo wàache kutuchezea senema.Nimejizuia sana. Acha niseme, maana nisiposema ntaumwa. Kamanda Sirro anajua alipo@moodewji. IGP na Polisi wanataja njia ambayo gari ya watekaji imepita mpaka Kawe, CCTV zilikuwa zinafuata gari ile? Polisi wanaitesa sana familia ya MO na Watanzania.
Colloseum hotel naijua vizuri pale hakuna vijumba vya kufugia kuku hama hivi.Basi wawe wanatoa taarifa zenye angalau karibu na uhalisia. Je hapa ni Collessium Hotel na hizi ni CCTV footage?
View attachment 903306View attachment 903307
Mmeshiñdwa nini kumkàmata?Zitto ana lazimisha akamatwe apate kiki kuwa ana mpigania MO hahaha
Hirizi na chale zake za matakoni ndio zimemuambia Sirro anajua Mo yuko wapi
Na pengine hata hizo namba za gari zimeandikwa na wahusika tu. Kama ni drama inachezwa basi tutaambiwa mengi.Colloseum hotel naijua vizuri pale hakuna vijumba vya kufugia kuku hama hivi.
Ccm na akili zao sidhani kama hili wamelifikiria.Hivi akija kuachiwa atasema alikua wapi?
Yeye kama billionaire ataendelea kuishi vipi nchini na maadui zake?
Ataweza kutunza siri za hawa watekaji miaka yote?.
Sioni mwanga kwa ndugu yetu kurudi akiwa mzima.
Wewe Dada hama haraka CCMWewe ndo unajua alipo, siajabu hata unajua pia alipo Mbunge wetu Fili, who knows?