BONGOLALA
JF-Expert Member
- Sep 14, 2009
- 16,511
- 11,917
SURF ziko ngapi Dar hii! Cuz hata hio inaonyeshwa ikiwa nyumbani kwa mtu! Kumbuka pia ilikuwa usiku, hizo CCTV za kuona usiku barabarani au kwenye nyumba zao hao wenye nazo??Z
Kwani huko njiani hakuna raia wema ambao nyumba zao Zina CCTV ambao walitoa ushirikiano kwa Jeshi la polisi gari hiyo kuiona imepita maeneo yao? Zitto anaona kama kazi kubwaa.Wenye nyumba maeneo hayo aangalieni CCTV zenu mkiona hiyo gari kwenye rekodi pelekeni ripoti kwa siri haraka Na ushahidi wa CCTV
PASKALI mayalla Mshana Jr Nape Nnauye Mwanahabari Huru Salary Slip FaizaFoxy oneni ndugu yenu Lizaboni anachoigiza
Halafu zinapiga picha mbele zinazunguka nyuma zinapiga halafu zinaenda ubavuni zinapiga, hii ni CCTV ya aina yake ilibakiza kufunua boneti ipige picha ya injini.cctv za polisi zina miguu mkuu! Zinafuatilia ukiondoka mpaka unakishia ndio maana wakajua mpaka Round about/kawe
Kweli zito anajidhalilisha sana.Nimejizuia sana. Acha niseme, maana nisiposema ntaumwa. Kamanda Sirro anajua alipo@moodewji. IGP na Polisi wanataja njia ambayo gari ya watekaji imepita mpaka Kawe, CCTV zilikuwa zinafuata gari ile? Polisi wanaitesa sana familia ya MO na Watanzania.
Ukimuangalia usoni Zitto utajua kuwa ana roho mbaya na mchawi achilia mbali kujitapa kuwa yeye ni mchawi
Nikubaliana na wewe tuache vyombo vya usalama vifanye kazi lakini kama hawana uhakika wasiwe wanakuja kutulisha matango pori.Tatizo kubwa la watanzania hasa vijana wako obsessed na negativism. Wengi wetu tuna PHD za kuponda na hatupendiEvidence zote ambazo wanazo kwa kipindi hiki ni classified na kwa sasa wanatoa to sitrep za ujumla bila kuathiri uchunguzi unaendelea.
Ushauri wangu ni uleule tuachie vyombo vya usalama vifanye kazi yake. Hivi mbona familia ya ndugu yetu huyo aliyetekwa nyara hawalalami kama tunavyofanya sisi? Wao wanapata briefing tofauti na yetu na hawawezi kuweka wazi baadhi ya taarifa wanazopewa na polisi kwa sababu za usalama wa mtoto wao.
uongooo una nongwaUkimuangalia usoni Zitto utajua kuwa ana roho mbaya na mchawi achilia mbali kujitapa kuwa yeye ni mchawi
😂😂😂😂😂Basi wawe wanatoa taarifa zenye angalau karibu na uhalisia. Je hapa ni Collessium Hotel na hizi ni CCTV footage?
View attachment 903306View attachment 903307
Wewe ujue ni kiazi?Ukimuangalia usoni Zitto utajua kuwa ana roho mbaya na mchawi achilia mbali kujitapa kuwa yeye ni mchawi
Tueleze ukweli au Zitto ndio ameyafanya hayo, maana wenye roho mbaya ndio wanaoteka watu.Ukimuangalia usoni Zitto utajua kuwa ana roho mbaya na mchawi achilia mbali kujitapa kuwa yeye ni mchawi
Kesha funika kombe kwa kiki ya kuwaita stars ikulu.Bora huyu ukimwangalia usoni... JIWEE ukimwangalia usoni... Kichwani pamoja na kipara chake achili mbali mvi utagudundua ana roho roho mbaya ya visasi na anayetamani watu waishi kama mashetani!!
Ukipita karibu Na nyumba ya mtu taa za nje Na za barabarani zipo zinawaka CCTV yake itashindwa kukuona? wenye nyumba zenye CCTV angalieni ripoti za CCTV zenu mkiona ripotini haraka iwe surf hiyo au yeyote hasa siku ya tukio karipotini polisiSURF ziko ngapi Dar hii! Cuz hata hio inaonyeshwa ikiwa nyumbani kwa mtu! Kumbuka pia ilikuwa usiku, hizo CCTV za kuona usiku barabarani au kwenye nyumba zao hao wenye nazo??
Msije mkashangaa hii gari ni ya usalama wa taifa
😂😂😂😂😂Hahah Jpm anapata tabu sana kumpa nyadhifa nyeti ya uwaziri wa mipango DAB yani kila njia anayokuja nayo haifikishi hata nusu saa inamuumbua
Hiyo gari imechukuliwa kwenye matangazo ya mnada harafu wanasema sisitivii teh teh