Zitto Kabwe: Kamanda Sirro anajua alipo Mohammed Dewji "MO"

Zitto Kabwe: Kamanda Sirro anajua alipo Mohammed Dewji "MO"

IGP yaani leo kanifurahisha kwa kutuwekea kinyume nyume namba za bodaboda au bajaji na kisema niza nchi Jirani.Nimejichekea ujue
 
Tuliamini jeshi letu linafanya kazi ni wakati wa kuliongezea moyo si wakati wa kulivunja moyo suala limekuwa kama la CCM naona wanasiasa wamelivaa hili jambo ni kipindi cha kutoa ushauri na msaada kwa jeshi letu sio kulibeza.

Kwa hatua waliyofikia muda si mrefu ni hakika atapatikana na tutalisifu jeshi letu. Tuwaachie wataalamu wafanye kazi, si wakati wa kutuhumiana kama unawajua wahalifu ni wakati wa kuwasaidia polisi kwa kuwapa taarifa
Wewe mwanasiasa huna utaalamu wowote zaidi ya kutafuta kiki kwenye mitandao.

Unataka kulijengea imani gani kwa waliopotelewa na ndugu yao kwa maana wanae lakini wanawazuga tu,
Suala hili si la kuingiza siasa,jeshi letu ndilo linalotafuta na ndilo linalotoa taarifa hatuna budi kuikubali vile ilivyo tusianze kuwachanganya wananchi,
Hakika uchunguzi ulipofikia ni suala la wakati ila atarudi

Kazi kwenu jeshi letu kila anawavurugia kazi hamna budi kumuhoji vizuri inawezekana taarifa anayo lakini anashindwa kuitoa!
 
Tatizo kubwa la watanzania hasa vijana wako obsessed na negativism. Wengi wetu tuna PHD za kuponda na hatupendiEvidence zote ambazo wanazo kwa kipindi hiki ni classified na kwa sasa wanatoa to sitrep za ujumla bila kuathiri uchunguzi unaendelea.
Ushauri wangu ni uleule tuachie vyombo vya usalama vifanye kazi yake. Hivi mbona familia ya ndugu yetu huyo aliyetekwa nyara hawalalami kama tunavyofanya sisi? Wao wanapata briefing tofauti na yetu na hawawezi kuweka wazi baadhi ya taarifa wanazopewa na polisi kwa sababu za usalama wa mtoto wao.
Vyombo vya usalama my foot.
 
Lazima apumzishwe kwa kutugeuzia namba za bodaboda au bajaji na kisema Ni za msumbiji nimecheka Sana ujue
Hii movie wameicheza chini ya kiwango kupita kiasi hivyo kazima baadhi waondolewe.Pia wamemfedhehesa na bwana mkubwa.
 
Hii ni moja ya sababu zinazomfanya Jiwe amlinde Bashite kwasababu wanashirikiana kufanya uharamia!!! KUFUATANA NA MAELEZO YA SIRRO MOHAMED DEWJI HAYUKO MBALI NA BEACH YA KAWE; ANAWEZA KUWA KAFICHWA KWENYE MOJA YA SAFE HOUSES ZA USALAMA WA TAIFA KULE UFUKWENI!!!
Wenyewe sehemu ya kutesea watu( gorigota) wanapaita safe house! Hahahahaaa
 
19 Oct 2018
Kesi ya Vigogo Simba, mmoja afutiwa mashitaka
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ambapo imemuondolea mashtaka mfanyabiashara Peter Lauwo aliyetakiwa kuunganishwa katika kesi ya utakatishaji fedha inayowakabili viongozi wa Klabu ya Simba akiwemo mfanyabiashara Hans Pope.

Hatua hiyo imekuja baada ya upande wa mashtaka kuwasilisha ombi la kumuondoa mshtakiwa Lauwo chini ya kifungu cha 91 (1) cha sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai. Ombi hilo liliwasilisha na Wakili wa serikali Mwandamizi, Shadrack Kimaro mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba ambapo ameieleza mahakama kuwa, Lauwo aliahidi kuwa angejisalimisha Takukuru jana ili aletewe mahakamani lakini hajatokea.

Source: Millard Ayo
Je huu ni mwanzo wa kuwapoza (damage control) mashabiki na wapenzi wa klabu ya Simba pamoja na watanzania wanaolaani watu wasiojulikana baada ya tukio la Mo Dewji kutekwa. Zaidi tusishangae kesi dhini ya Rais wa Simba Bw. Evans Aveva, Godfrey Nyange Kaburu na Zacharia Hans Pope kuchukuliwa hatua za ajabu na waendesha mashitaka ili kubadilisha upepo mpya wa kisiasa unaotishia kuzamisha awamu hii ya serikali ya CCM
 
mtu atafute hela kwa jasho lake hlf wewe uzitake kwa nguvu

Hapa kwenye hili janvi hatuna mtu anayetafuta hela za MO we kenge; wanaotafuta hiyo billion wanampigia simu baba yake MO NA SIO KUPITIA JF!!
 
Zitto ni Muha yule....watu wa Kigoma ni wasanii sana. Hakuna kitu Muha atafanya bila kutumia misumari toka kwa babu. Zitto ana hizo dalili hata ajifiche vipi, mchawi ni mchawi tu.
Bora mchawi anayejielewa kuliko ww unayeazima akili ya kutumia kutoka Lumumba
 
kidumu chama cha mapinduzi.lazima tuenzi chama ambalo nyerere alituachia..,sijui unawaongelea hawa?au wengne
 
Back
Top Bottom