Zitto Kabwe: Kamanda Sirro anajua alipo Mohammed Dewji "MO"

Zitto Kabwe: Kamanda Sirro anajua alipo Mohammed Dewji "MO"

Ukimuangalia usoni Zitto utajua kuwa ana roho mbaya na mchawi achilia mbali kujitapa kuwa yeye ni mchawi

Bora yake yeye, wewe ni mchawi usoni hadi moyoni kwako.😁😁
 
.....
......Mbwa mwitu wameamuwa kupambana hapo lazima mbogo mikono juu
 
Halafu zinapiga picha mbele zinazunguka nyuma zinapiga halafu zinaenda ubavuni zinapiga, hii ni CCTV ya aina yake ilibakiza kufunua boneti ipige picha ya injini.
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Jamaa ana

Mheshimiwa kuna wakati ukimya huzungumza . Sitarajii vyombo vya usalama viwe vinatoa taarifa za kina kwani kufanya hivyo kunaweza kutishia usalama wa ndugu yetu aliyetekwa nyara. Nakusihi tuwawache wafanye kazi yao.
Too many cooks spoils the broth
tatizo watekaji ndio wanaotoa updates kua wamefuatilia gari kwa kutumia cctv camera hadi njiapanda ya kawe! UKITAKA KUA MUONGO YAKUPASA KUA NA AKILI KUBWA
 
Ukipita karibu Na nyumba ya mtu taa za nje Na za barabarani zipo zinawaka CCTV yake itashindwa kukuona? wenye nyumba zenye CCTV angalieni ripoti za CCTV zenu mkiona ripotini haraka iwe surf hiyo au yeyote hasa siku ya tukio karipotini polisi
Mtapata tabu mno... Lazima muumbuke hahaha
 
Nimeangia hizo picha and was extremely shocked, swali IGP amezitoa wapi!? Kwasababu picha zina angle na CCTV footages always zinapigwa on inclined angle or vertical angle na hakuna CCTV footage inaweza kupigwa at all angels...mpele, pembeni na nyuma. Pia hiyo gari ni kama ilikuwa imepakiwa sehemu...so who took those photos which actually are from horizontal angle!? Huyo Mpiga picha ni nani na zilipigwa wapi!? Maana ni lazma alikuwa na watuhumiwa ama anawajua.....hadi akapiga hizo picha....my view, Mo will ever not return and that was just a physiological preparation issue...ila wako shallow sana kwenye kuandaa story but time will tell maana betray is always part of everything....
 
Kamanda Siro yeye katoka taarifa kwa umma kuhusu hatua waliofikia kwa uchungizi unaoendelea. Umma umeishaeleweshwa na waliokuwa hawajui muundo wa Surff wanajua sasa. Pia wanajua namna namba ilivyoandikwa kwenye gari husika.
Pia umma umejua kuwa Interpol wanahusika kumpata mmiliki wa gari popote alipo duniani.
Umma Unajua kuwa CCTV camera zilinasa uelekeo mpaka njia panda ya kawe.
Hawa wapuuzi wanaokuja na na maswali yao na kusema hayajapata majawabu ni kihelehele tu. Jukumu lao ni kutoa taarifa kama polisi walivyoomba kwa umma.
 
Anatafutwa kukamatwa ili aendelee kuhit headlines.
 
Zuber Kabwe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mengi yamejificha... kwa masakata yote ya utekaji...

Ila awamu hii, utekaji umeshamiri na majibu yanayotolewa ni rahisi rahisi tu...

Cc: mahondaw
 
Nimeangia hizo picha and was extremely shocked, swali IGP amezitoa wapi!? Kwasababu picha zina angle na CCTV footages always zinapigwa on inclined angle or vertical angle na hakuna CCTV footage inaweza kupigwa at all angels...mpele, pembeni na nyuma. Pia hiyo gari ni kama ilikuwa imepakiwa sehemu...so who took those photos which actually are from horizontal angle!? Huyo Mpiga picha ni nani na zilipigwa wapi!? Maana ni lazma alikuwa na watuhumiwa ama anawajua.....hadi akapiga hizo picha....my view, Mo will ever not return and that was just a physiological preparation issue...ila wako shallow sana kwenye kuandaa story but time will tell maana betray is always part of everything....
Kuna mahali Sirro kasema picha alizoonyesha ndio za cctv au kasema hilo ndio gari linalosadikika kutumika?
 
Tatizo kubwa la watanzania hasa vijana wako obsessed na negativism. Wengi wetu tuna PHD za kuponda na hatupendiEvidence zote ambazo wanazo kwa kipindi hiki ni classified na kwa sasa wanatoa to sitrep za ujumla bila kuathiri uchunguzi unaendelea.
Ushauri wangu ni uleule tuachie vyombo vya usalama vifanye kazi yake. Hivi mbona familia ya ndugu yetu huyo aliyetekwa nyara hawalalami kama tunavyofanya sisi? Wao wanapata briefing tofauti na yetu na hawawezi kuweka wazi baadhi ya taarifa wanazopewa na polisi kwa sababu za usalama wa mtoto wao.
Hatudanganyiki bora wangekaa kimya kuliko kutoa taarifa za uongo kiasi hicho,by jiwe katoa sh ngapi kwa taifa Star, sooner than later mo ataachiwa baada ya kubali mambo fulani fulani
 
Back
Top Bottom