Zitto Kabwe: Kamanda Sirro anajua alipo Mohammed Dewji "MO"

Zitto Kabwe: Kamanda Sirro anajua alipo Mohammed Dewji "MO"

Hawawezi kufanya hivyo kwa sababu za kiusalama au unataka taarifa zote ziwafikie hata watekaji nyara?

Watekaji ni hao hao wanaocheza hiyo movie. Watu wameshaamka nyie, kinachowabeba ni huu woga.
 
Mwani haiwezekani kuwa majumba yaliyopo Katika njia hiyo yana cctc , askari si wanafuatilia tuu.

Huyu Zitto sasa anazidisha, anatafuta akamatwe ili azidi kupata umaarufu wa kisiasa. This boy is just a publicity seeker.
Akamatwe kwa lipi? Ninyi uvccm acheni upuuzi .ninyi uvccm mnajifanya mnatetea wananchi kumbe mnatetea majizi.mtaendelea kuwa watumwa mpaka Siku ya kiama.
 
Kama unajua aliyemteka MO ni nani si uwe muwazi na kuieleza familia yake?
kwa nini unataka kusaka kiki ili ukamatwe kusaidia uchunguzi?
Inaonekana uko well informed kuliko polisi sasa kwa nini huiambii jamii au ndugu wa Mo waliotangaza dau la bilioni 1?
Mtahaha sana lakini chupi ishafika magotini. Dawa ni kuchuchumaa tu.
 
Kama unajua aliyemteka MO ni nani si uwe muwazi na kuieleza familia yake?
kwa nini unataka kusaka kiki ili ukamatwe kusaidia uchunguzi?
Inaonekana uko well informed kuliko polisi sasa kwa nini huiambii jamii au ndugu wa Mo waliotangaza dau la bilioni 1?
Wewe utabaki jinga hadi watoto wako,MO mpo naye ,mtoeni haraka sana kabla nguvu ya umma haijachukua hatua...
 
Kama unajua aliyemteka MO ni nani si uwe muwazi na kuieleza familia yake?
kwa nini unataka kusaka kiki ili ukamatwe kusaidia uchunguzi?
Inaonekana uko well informed kuliko polisi sasa kwa nini huiambii jamii au ndugu wa Mo waliotangaza dau la bilioni 1?
Jingalao
 
Yeye keshasema Sirro anajua alipo.
 
Namba za gari zimeonekana kwenye cctv.ila picha za watekaji hazijaonekana.basi sawa.
 
Acha uzushi ni wapi Sirro amesema hiyo picha ilipatikana kwenye CCTV?
Hizo CCTV walitakiwa wazitoe mapema sio hizi picha za simu, wanashindwa nini kufanya hivyo wakati ambapo huo ni utaratibu wa kawaida katika upelelezi. Tukubali tu kuwa jeshi la polisi lina wakati mgumu sana kuoperate professionally
 
Bora hata usinge comment, kma hukusikiliza hotuba ungekaa kimya kuliko kuumbuka, ni wapi wamesema kuwa wamevuka mipaka ya nchi, kilichosemwa ni kwamba katika kufatilia, hadi maeneo ya roundabouts kawe ndo trace ya hiyo garI imeishia, wewe hiyo yako ya kusema imevuka mipaka ya nchi kakwambia Sirro? Au ulisikiliza hotuba tofauti, muwe mnatoa comment baada ya kuwa na taarifa kamili.
Mkuu, wewe ndiye hukusikiliza.

I heard him loud and clear ......... sasa kama gari haijavuka mpaka, hao Interpol wanaowasiliana nao ni wa nchi gani!!?
 
Back
Top Bottom