Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 61,918
- 38,244
wehamaanyokokha
ufaii
ufaii
Idiot...Tuliamini jeshi letu linafanya kazi ni wakati wa kuliongezea moyo si wakati wa kulivunja moyo suala limekuwa kama la CCM naona wanasiasa wamelivaa hili jambo ni kipindi cha kutoa ushauri na msaada kwa jeshi letu sio kulibeza.
Kwa hatua waliyofikia muda si mrefu ni hakika atapatikana na tutalisifu jeshi letu. Tuwaachie wataalamu wafanye kazi, si wakati wa kutuhumiana kama unawajua wahalifu ni wakati wa kuwasaidia polisi kwa kuwapa taarifa
Wewe mwanasiasa huna utaalamu wowote zaidi ya kutafuta kiki kwenye mitandao.
Unataka kulijengea imani gani kwa waliopotelewa na ndugu yao kwa maana wanae lakini wanawazuga tu,
Suala hili si la kuingiza siasa,jeshi letu ndilo linalotafuta na ndilo linalotoa taarifa hatuna budi kuikubali vile ilivyo tusianze kuwachanganya wananchi,
Hakika uchunguzi ulipofikia ni suala la wakati ila atarudi
Kazi kwenu jeshi letu kila anawavurugia kazi hamna budi kumuhoji vizuri inawezekana taarifa anayo lakini anashindwa kuitoa!
Kama picha zenyewe sio za cctv ni za camera za kawaida mnachukuliaje taarifa yenyewe? Huwezi kupata picha za cctv kama za Siro. Au camera zimefungwa kwenye garden??Tuliamini jeshi letu linafanya kazi ni wakati wa kuliongezea moyo si wakati wa kulivunja moyo suala limekuwa kama la CCM naona wanasiasa wamelivaa hili jambo ni kipindi cha kutoa ushauri na msaada kwa jeshi letu sio kulibeza.
Kwa hatua waliyofikia muda si mrefu ni hakika atapatikana na tutalisifu jeshi letu. Tuwaachie wataalamu wafanye kazi, si wakati wa kutuhumiana kama unawajua wahalifu ni wakati wa kuwasaidia polisi kwa kuwapa taarifa
Wewe mwanasiasa huna utaalamu wowote zaidi ya kutafuta kiki kwenye mitandao.
Unataka kulijengea imani gani kwa waliopotelewa na ndugu yao kwa maana wanae lakini wanawazuga tu,
Suala hili si la kuingiza siasa,jeshi letu ndilo linalotafuta na ndilo linalotoa taarifa hatuna budi kuikubali vile ilivyo tusianze kuwachanganya wananchi,
Hakika uchunguzi ulipofikia ni suala la wakati ila atarudi
Kazi kwenu jeshi letu kila anawavurugia kazi hamna budi kumuhoji vizuri inawezekana taarifa anayo lakini anashindwa kuitoa!
Imbecilic... [emoji3][emoji3][emoji3]SISI TV footage
Kweli ni namba za Msumbiji, changamoto hiyo gari imepigwa picha ikiwa wapi? hizo picha kama wamezipata kwa mazingira hayo basi mengi tutayasikia.IGP yaani leo kanifurahisha kwa kutuwekea kinyume nyume namba za bodaboda au bajaji na kisema niza nchi Jirani.Nimejichekea ujue
Hii movie director kafulia mbaya kabisa. Ni vipande vipande tu story haikamiliki.Kama ilivyoripotiwa leo kwamba namba za Toyota Surf ni zile kama zilizovyotajwa na picha zake tukaoneshwa na Watanzania wakaenda mbali zaidi na kuzionesha za mbele na pembeni je za Ile Toyota Noah ni zipi ? Maana naona kama vile namba za noah zinasahaulika vipi na hio Toyota Noah ilielekea Kawe au wapi ni hayo tu
Ben Watch Eight eti ilikuwa ni hasira tu risasi ikapenya ninaomba hasira zile zisirudi kwa kutaa kutoa T2.Hutu bwana atarudi sababu watu wamelishikia bango hili swala hawataki kuliachilia ila sio kwa utaalamu wa hilo jeshi maana kimsingi hawana utaalamu wowote ule