Exactly, umeona eh! wanadhani watu wajinga. hawa wanahitaji drones wamtoe Mo! Huyu anajua wapi alipo Mo! Familia iombe USA iwasaidie wampate mtoto wao!Halafu wanatumia gari hilo hilo moja mpaka wanavuka mipaka ya nchi ..............!!?
Hapo Border kama tu watu wanashindwa kuvusha msokoto wa Bangi ........ wamewezaje kumvusha Mo...........!!?
Uko sahihi kuna maeneo nilikua sijui ni nini, yaani nikikaribia tu taa zinawaka. Ilichukua mda hadi nilipokuja gundua ni CCTVUkipita karibu Na nyumba ya mtu taa za nje Na za barabarani zipo zinawaka CCTV yake itashindwa kukuona? wenye nyumba zenye CCTV angalieni ripoti za CCTV zenu mkiona ripotini haraka iwe surf hiyo au yeyote hasa siku ya tukio karipotini polisi
Moçambique.Wachangiaji wote mpaka sasa hakuna aliyetaja hii nchi jirani inayotumia plate number kama hizi ni nchi gani?
Hawawezi kumpata wataona bwawa tu.Safi sana Zitto.Hata wakikuweka ndani kauli yako hii hawezi kuifuta.
MsumbijiWachangiaji wote mpaka sasa hakuna aliyetaja hii nchi jirani inayotumia plate number kama hizi ni nchi gani?
Kama ni suala taarifa kuwa classified IGP hajalazimishwa kutoa press conference au hizo picha anazodai ni za CCTV. Kifupi angeweza tu taarifa upelelezi unaendelea. Mbona issue ya Lissu pamoja na uwepo wa CCTV hajaitisha press conference kuonyesha gari na jinsi alivyo kuwa akishambuliwa. In short ukitoa press release basi iwe imemakinika sio kuleta photoshopTatizo kubwa la watanzania hasa vijana wako obsessed na negativism. Wengi wetu tuna PHD za kuponda na hatupendiEvidence zote ambazo wanazo kwa kipindi hiki ni classified na kwa sasa wanatoa to sitrep za ujumla bila kuathiri uchunguzi unaendelea.
Ushauri wangu ni uleule tuachie vyombo vya usalama vifanye kazi yake. Hivi mbona familia ya ndugu yetu huyo aliyetekwa nyara hawalalami kama tunavyofanya sisi? Wao wanapata briefing tofauti na yetu na hawawezi kuweka wazi baadhi ya taarifa wanazopewa na polisi kwa sababu za usalama wa mtoto wao.
Bora hata usinge comment, kma hukusikiliza hotuba ungekaa kimya kuliko kuumbuka, ni wapi wamesema kuwa wamevuka mipaka ya nchi, kilichosemwa ni kwamba katika kufatilia, hadi maeneo ya roundabouts kawe ndo trace ya hiyo garI imeishia, wewe hiyo yako ya kusema imevuka mipaka ya nchi kakwambia Sirro? Au ulisikiliza hotuba tofauti, muwe mnatoa comment baada ya kuwa na taarifa kamili.Halafu wanatumia gari hilo hilo moja mpaka wanavuka mipaka ya nchi ..............!!?
Hapo Border kama tu watu wanashindwa kuvusha msokoto wa Bangi ........ wamewezaje kumvusha Mo...........!!?
Sas kama kamb ya gari imepatika .what's next?mlitaka picha na namba za gari mmepewa sasa mtu anaanza kubwabwaja eti sio hotelini, na camera za CCTV zimefungwa maeneo mengi gali lilipopita asidhani Zito kwamba wameangalia CCTV camera za pale hotelini tu.
Du we jamaa noma,nimecheka balaaaaaaa...Halafu zinapiga picha mbele zinazunguka nyuma zinapiga halafu zinaenda ubavuni zinapiga, hii ni CCTV ya aina yake ilibakiza kufunua boneti ipige picha ya injini.
Usikariri,kuna taa za security nyingi tu ambazo huwa zinasense motion na kuwaka!Taa hizo na CCTV ni vitu viwili tofauti!Vinaweza kufungwa vyote au kimoja!So usiseme hizo taa ni CCTV,bali taa!Yawezekana ulipopita kuna hizo taa na pia kuna CCTV kamera!So chukua hiyo elimu kidogo kuondoa ujinga!Uko sahihi kuna maeneo nilikua sijui ni nini, yaani nikikaribia tu taa zinawaka. Ilichukua mda hadi nilipokuja gundua ni CCTV
Hizo namba sio za kweli, zimetengenezwa tu na kuwekewa kibao cheupe tena walivyo wavivu wa kufikiri eakaamua kutumia hizi hizi za pikipiki na bajaji za tz ila wakazibadilisha MC ikaenda mwisho halafu zile za mwisho zikaja mwanzoDrama tu hizi. mtu anakwenda kuteka mtu maarufu kama yule anaweka namba za gari za kweli?! Ujinga huu wawalishe wenzao Lumumba not the rest of the Tanzania mass, those with independent thinking!
Inawezekana walioliona,hawakujua kwamba ni wahalifu hadi polisi walipolitambua hilo gari na kuanza kulitafuta,ndipo wakatoa taarifa ya kuliona. Na inawezekana ni askari wa barabarani,Kwa hiyo ikapigwa picha halafu akatuma bila kutoa taarifa ikamatwe
Kweli wewe ni mreno, sio jina la kuazima, namba za nyumbani huwezi kuzisahau.Msumbiji