Hivi haujagundua tu hakuna hoja kwenye post zako? unasoma hauelewi! Zito ndiye aliyepewa Prado!! mbon unageuza maneno!!! tamu heee!
Wewe utasutwa. fuatilia mambo kwanza kabla ya kuropoka. Zitto hajwahi kumiliki Hammer. Hammer aliyokuwa nayo ilikuwa ni ya Kaka yake ambaye ni mfanyabiashara wa magari iliuzwa mika minne iliyopita. Gari pekee la gharama ambalo Zitto amewahi kununua halizidi shilingi milioni 30 na yote ni second hand tena second hand za hapa Tanzania. Zitto alipopewa fedha zake za ubunge mwanzoni aislimia kuwa alisurrender kwa Mbowe kama kumpunguzia mzigo wa michango yake katika kampeni kumbe fedha alizokuwa Mbowe anadai ni zake ni za kutoka kwa Rostam...zaidi ya milioni 100.
Lakini pia kumbuka Zitto sio mbunge wa vikao vya bunge tu. Anatumia sana eleimu yake kama consultant na hivyo kujipatia mapato zaidi ambayo yote huishia katika matumizi ya kibunge na chama. Zitto miaka yote hii amekuwa akijitolea kusaidia chama ama viongozi wenzake bila ya kuomba kulipwa kama wafanyavyo viongozi wenzake.
Huyo Anthony Komu mwenyewe ambaye ndio mpika majungu gatika gazeti lake la Mwanahalisi lilioanzishwa kwa msaada mkubwa wa Zitto, Zitto alimpa PRADO bure bila ya kutoa senti....
By the way acha ushamba, hivi unajua thamani ya used hammer? Its less than 25,000USD na kama Zitto angetaka kumiliki he could afford just kwa kutumia mkopo wa lazima wa magari wanaopewa wabunge....
naona MAPOVU tu yanakutoka na mijihasira!....wewe ushamba ndio unakusumbua, nina uwezo wa kumiliki gari hata kumi, kuna mikopo siku hizi, wauza nyanya wengi wana magari ya kutembelea achilia mbali ya kutusumbulia na ma-less kibao mijini!
Gari siyo issue mkubwa labda uko dunia ya Nyerere au bado haujui kuwa the ordinary man can possess a normal vehicles, kuwa na gari tano si hoja wala hammer haitishi mtu kwa sasa!1 achamawazo ya kizamani. Njoo kwangu nikuazime moja unafanya kuchagua tu! gari zenyewe mpaka milioni 4 used unapata ukipata mkopo wa milioni ishirini ukaamua kununua gari utakuwa nazo ngapi? unaambiwa wana mikopo ya bunge! sisi kazini kwetu tunaruhusiwa kukopa na guarantor anakuwa mwajiri, tunakweza kukopa crdb,NMB na NBC fedha ambazo ni mara 15 ya net pay!! yaani kana unalamba laki tano unaweza kukopa mpaka m.8!!! kuhukumu watu kisa magari ni ushamba wa hali ya juu!
so
Acha kututoa nje ya mada mkuu!!! Hoja hapa ni kuhusu adhabu mujarabu kwa ZT. Hiyo ndiyo ajenda yetu kwa sasa. Masuala ya magari weka kando, na pendekeza hatua za kinidhamu kwa huyu umpambaye.
Hivi huyu bwana mdogo ana Hummer cku hizi? Kaipateje na wakati tunajua mshahara wake wa miaka 5 hautoshi kumiliki na kuservice haya madude ya kijeshi?
Hivi kwa kuwa ninyi mnaamini katika kuandika uzandiki wenu mkidhani kuwa mtapata support mnadhani kila mtu yuko hapa kutafuta support.
I dont know for, but do you think wanachofanya hawa sio personal? Ulisoma maandiko yangu kuhusu asili ya Mwanahalisi na mahusiano ya Kubenea na Zitto hapo kabla. Hivi unadhani kuna mwanasiasa mwenye kuchukulia ushindani wa kisiasa personal zaidi ya Mbowe anayeshindwa kutofautisha siasa za biashara na siasa za uongozi wa umma?
aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaakhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh!!!
jiengueni muunde chama chenu.
Kigoma United Front- GUF
Duuu yaani jamaa ana hii kitu????
![]()
Ww Dar es Salaam sitaki kabisa uchangie hii thread. Nimekuona sana tu kwenye thread zako za UDINI humu JF. Umekuwa ukileta sana ukakasi kwa wasomaji makini. Hivyo naku ban rasmi kuchangia hii thread.
Naomba tujikumbushe kidogo kuhusu "King Maker"
Tumeingiliwa, tusimame imara kulinda usalama wetu
Padri Privatus Karugendo
HABARI zilizotangazwa na vyombo vya habari kwamba mafisadi walijitahidi kutumia fedha ili kuuingilia uchaguzi wa KKKT, ili kuhakikisha hata na kwenye dini wanaweka viongozi wanaowataka wao, imetushtua sana na kuthibitisha wasi wasi wetu wa kuingiliwa na mafisadi katika kila nyaja.
Inatisha! Iwe mikataba mibovu wamo, iwe siasa wamo, iwe michezo wamo na sasa wanataka kuingilia dini?
Wanataka kumwondoa Askofu Alex Malasusa, ili wamsimike nani huyo watakaye mwendesha na kuwasikiliza na kuwasaidia katika kampeni za uchaguzi wa 2015?
Ni mchungaji gani anayeweza kukubali mtego huu wa kumziba mdomo na kumzuia kufanya kazi zake za Kinabii? Haiwezekani mafisadi wakajiingiza kanisa kichwa kichwa bila kukaribishwa na kuelekezwa. Msaliti huyu akijulikana; ni heri asingezaliwa!
".......nataka nikujue saaana bwana wangu, ili niwe nayo amani, ndipo hayo mema yatakaponijia mimi....Wengine wanataja magari na farasi na farasi lakini mimi nitalija jina lako bwana YESU......."
Naipenda hekima ya Mungu maana ni upumbavu kwa wenye hekima ya ulimwengu na ujinga kwao wapoteao.....
Mungu angekua mwanadamu kama Elia basi angeshusha moto leo leo na kuunguza wale wote wanaomkufuru au kutenda uovu; lakini kwake huyo ambaye twataka kumchoma moto wa Elia aweza kuwa Mtume kama Paul!
Naona wazalendo mna hasira...ebo hasira hukaa kifuani mwa mpumbavu! Huyu aweza kuwa shujaa wetu Tanzania kama aweza ingia huko kote na ku- manage kuwa coordinate vizuri aweza saidia kututoa mikononi mwa ukoloni mamboleo...Pengine mpiganaji wetu ndo maana alikuwa anafanya mawasiliano....anataka kuwa mentored ili awe comando wa kupigana dhidi ya ufisadi...Utapiganaje vita usiyo ijua?
Nivizuri kuzipima roho hasa wakati wa zama hizi za mwisho wakati mpinga kristo yuko (Acha Mwanahalisi watusaidie kuzipima) maana si kila asemaye bwana bwana yuko upande wa bwana lakini pia katika kufanya haya lazima kuwa wajanja kama nyoka na wapole kama hua; tukitenda kama Simba na kutii kama kondoo.

hili nalo neno
kwa kuwa zitto ameingia kwenye ''kikaango'' cha mwanahalisi leo ndo mnaona kama sio gazeti.....!Sorry, Mwanahalisi is neither a Magazine nor Newspaper...its a political tabloid ambayo haina Ethics, Vision wala Waandishi wa kweli. Mengi unayoyaona yakiwa na majina kama Said Kubenea, Ezekiel Kimwaga ama Mwandishi maalumu ni kazi za watu nje ya Mwanahalisi ambayo haandikwa ama kuelekezwa kuandika kwa ajili ya manufaa fulani kisiasa. Mwandishi ni jamvi la waumini wa siasa za majitaka. Lakini zaidi haya kuhusu Chadema na Zitto yameaandikwa na kuamuriwa na viongozi na wasaidizi wa Chadema......
Kuna tapeli mmoja aliiba simu yangu ya laini mbili,ilikuwa nacontacts za watu kama 500.kwa muda mfupi akawtumia sms wote hao akiwaomba wamtumie vocha za dola 10 au 5 tigo au zain.By the time naenda kutoa ripoti ili kublock zile simu nilishachelewa. Maana yake simu ya zitto kurekodiw imetumika kwenye maongezi na RA haimaanishi ndo tayari tuanze kutafuta hukumu ya kumpa bila kumsikiliza.It is against natural justice.Na hili ndo lilikataliwa na Mtei.Think twice before you post utumbo
jiengueni muunde chama chenu.
Kigoma United Front- GUF
Mtani siku ukionyeshwa check ya RA kumkopesha Mbowe million 133 naona tutakupa nyundo ya kilo kumi hiyo haikutoshi!
Ni hivi: haondoki mtu chadema, piga ua, na ya kuwa walioanzisha hili sakata tutacheza nayo na mwisho wao ni aibu!!
Kama vipi tukutane kwenye uchaguzi, watu wajaze fomu na kura zipigwe dhahiri, hakuna kupendelea!
Unakumbuka zile ngumi za utotoni! vua viatu kwanza, usiume(using'ate), usishike mawe! hakunakutukana matusi, MSTARI UNACHORWA CHINI!!
Believe me tofauti na wengi unavyowadhania humu JF, ZK anapendwa na ordinary members wengi sana, kama mnamtuhumu aliweza kuwabadili mawazo wabunge-I mean wabunge 10 je hao wanachama! HIKI KICHWA NI THREAT WAnajuuuuuuuta kumtambua!
Haki uinua taifa na uinua chama
Mbowe abaki mshauri tu na mfadhili wa chama-au loan requestor, Tundu Lissu (baada na yeye kuacha unafiki) katibu mkuu, chair ZK, Slaa nje!!!maana kama ameshindwa kutatua matatizo ya chama kidogo angepewa nchi je!!