shanature
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 1,958
- 1,865
sina imani nae kama habari za kuongea na rostam ni za kweli,na kama si kweli akanushe/ ZITO UNAENDA MWISHO WA UMAARUFU WAKO UTAPOTEZWA KWENYE RAMANI YA SIASA,Ngoja wakushawishi uhame uende huko kwenye ufisadi ufaidi,kama waliokuamini wakakupa nafasi hiyo wataendelea kukuamini/....SWALI HIVI HAKUNA KIGEZO CHA KUMNYANGANYA MTU KADI YA UANACHAMA /MBOWE KAKA MKUBWA,SLAA BABA MLEZI WA CDM,WANA CDM HEBU ANGALIENI II MAMBO ISIJE LETA SHIDA BAAAE