Zitto ahusishwa na Rostam Aziz - Mwana Halisi

Zitto ahusishwa na Rostam Aziz - Mwana Halisi

Status
Not open for further replies.
wabeyora na omarylas we know you guys.....!ninyi ni maswahiba wa ZITTO na kamwe hamtajadili facts

I dont know Waberoya ingawa ningependa kumjua lakini yawezekana uswahiba huo ndio unatufanya tunajua ukweli wa mambo na sio huu uzandiki mnaoushangilia hapa......

Na kama mlidhani kuwa mtadenelea kumshambulia Zitto na ujinga wenu halafu mnyamaziwe then wakati huo umekwisha...u have proven kuwa kwenu uungwana ni gia ya kupata na kulinda maslahi yenu tu lakini sio msingi wa UTU ambao ninyi hamuutambui.....
 
Hivi haujagundua tu hakuna hoja kwenye post zako? unasoma hauelewi! Zito ndiye aliyepewa Prado!! mbon unageuza maneno!!! tamu heee!

Kweli ww umeprove kwangu kuwa umeamka na hangover! Soma juu uelewe! Mpambe wake kasema ZT ndiye aliyemnunulia Komu prado!

Nanukuu....

Huyo Anthony Komu mwenyewe ambaye ndio mpika majungu gatika gazeti lake la Mwanahalisi lilioanzishwa kwa msaada mkubwa wa Zitto, Zitto alimpa PRADO bure bila ya kutoa senti....

Sasa ww ndo mwee kabisa kwani unaonekana huelewi mwenzio keshakugeuka na kuacha propaganda.
 
Hiv kati ya Zitto na Mbowe ni nani anayetumia Media kuharibu Chama akidhani kuwa anamuumiza mwenzake kisiasa.

Hivi ni lini umewahi kuona habari ama makala inayomuattack Mbowe na sio kuona habari za kumuattackZitto tangia alipothubutu kutaka kugombea uenyekiti? Hivi unajua kuhusu kikao cha nyumbani kwa mbowe siku chache kabla uchaguzi ule ambacho kilimshirikisha Kubenea, Jesse KWayu wa Nipashe na Msaki wa Mwananchi ambacho Mbowe aliwataka "kummaliza Zitto" kisiasa ili mengine yafuate hapo mbeleni kama yalivyakuwa kwa wengine waliothubutu kuwania kiti chake?

Hivi unajua ni makala ngapi zilizoweza kuzuiliwa katika vyombo vya habari za kumkashifu, kumfitini na kumtukana Zitto katika nyumba za habari tangia wakati huo? Hivi unajua ni kina nani wanaoandika habari hizi na kumpa maelekezo Kubenea na wenzake kuandika haya?

Kuna wengi wanahusika hapa ambao tukiwataja tutaambiwa wadini lakini inatia kinyaa kuona watu wanaopaswa kuheshimika katika jamii kuungana na siasa hizi za majitaka.......

Again, I speak my mind na hakuna wa kuniagiza wala kunikataza.....kama yeye anaamini katika kuendela kufanya ustaarabu wakati wenzake hawajui hata nini maana ya utu hayo ni yeye.....

Omar kwa uzushi, uongo na Uzandiki wewe umeshindikana... unaongoza kwa sasa nadhani

Unataka kutuambia kuwa Mbowe ndo alimtuma Zitto aende tofauti na wabunge wenzake? je mbowe ndo alimtuma Zitto akaombe pesa kwa Maria Kejo? Je mbowe ndo alimtuma zitto akaongee pumba TBC? acha uongo bana toa pumba zako hapa
 

Brother by your comments you have declared Mbowe is not good......, Since you know Zitto better are you suggesting he is that clean... and are you saying that in the past few days he has not made some mistakes which has led people to question his intergrity?
 
Paulo mjadala mzuri ni kujua walikuwa wanaongea nini! wasije kuwa walikuwa wanaongea mechi za hispania au UK! Paulo nikisema ulimpigia simu mke wa jirani , mara kumi ndani ya mwezi mmoja, bila kujua na kuweka mazungumzo walikuwa wanaongea nini tutakuwa tunakosea sana hupo? si kila wanachoandika mwanahalisi ukimeze kama kilivyo watu huwa wanameza kasa!

Rostam huyu ni mfanya biashara, majirani zetu, ndugu zetu wamejiriwa na huyu mtu, EL hali kadhalika, nyumba za kupanga hata daladala you never know pengine zao!!

Nilisema miaka mingi , dawa ya mafisadi ni JELA! WAKIWAMO MTAANI NI WASAFI!! , tukisema hatuna uwezo wa kuwapeleka jela kama alivyosema Pinda basi hakuna serikali! we need strategic move ya kuondokana na dhana hizi za kumtafuta mchawi, ni sawa na ukihudhiwa kazini unarudi nyumbani kufokea mke na watoto! unatafuta sehemu za KUPUNGUZIA stress na kinachoonekana ndio hiki! we have failed to do great things, tunakazania kupigana na watu wadogo!

Take time, breath deeply! relax, READ...Kama RA ni fisadi angekuwa jela Zito angepata wapi muda wa kuongea naye?? maana kwa akili ndogo ya wafuata mkumbo itakuwa kuwa Zito anaongea na fisadi! who principally siyo fisadi maana sehemu yake ni JELA!!

Tunakuwa kama mbwa tunabweka watu wakija na kutisha wanachukua mawe tunakimbia na kwenda kubwekea uani.Watanzania tumewashindwa mafisadi, tumefikia muda kila mtu tutamuita fisadi, maskini!!!! hata wale wasio.... kisa yuko tofauti na sisi!!

Kazi iliyo mbele yetu na Kubenea analijua hilo ni kuwapeleka jela hawa mafisadi, tukishindwa hapo tukae kimya, kutupa mawe na kuitana mafisadi pasipo ushahidi ni uonevu mbaya sana , hasa pale tunapowasema watu wazuri.

Unamfahamu PA wa Rostam? unawafahamu waliojiriwa naye? unafahamu kampuni yake ya Caspian imeajiri watu wangapi? then who is Zito?

Zito ni nani hata atuzibe mdomo wa kutokuwaza makubwa ya nchi hii ya kuwaweka mafisadi jela? Zito ni nani? nani aliyewaroga kuwa hoja za Zito zitatufikisha pazuri, why you guys dont think globally? kesho Kubenea atatoa Zito alimpigia simu Pengo! keshokutwa watasema alimpigia simu girlfriend wake! who is Zito is he president?? why you guys feeling inferiority towards Zito??-Slaa chukua hiyo! kama kuongea na wenye tuhuma za mafisadi ni Zito pekee?? makanisa mangapi akina Rostam wanaalikwa na kutoa michango, misikiti mingapo kaijenga?? hivi huu ujinga UTATUONDOKA LINI KUWA TUWEZE KUWAZA YA JUU NA MBALI SANA NA SIO AKINA ZITO!!!!

Kubenea hagawi gazeti kama pipi! anauza!!! note this anauza! na wakati mwingine pengine anaowasema wanahusika kugawana fedha ,....who knows?? umeliwa bongo hii!

Ngau magazeti ya UDAKU yenye picha na waliofumaniwa live!! magazeti ya udaku nchi hii yanafanya vizuri sana kuliko Kubena na mwanahalisi!

Kesho baba yako wakati yuko kazini akimpigia simu housegirl mara 3 kwa siku kwa siku 5 za kazi huwezi ukajua wanaongea nini, the same case kama mama yako akiongea na houseboy!!! why conclude by surmising?

Mwambie lengo la kubenea na hizo article ni nini? anataka tumuite Zito fisadi au tumntenge?? muulize yeye aliyechukua fomu za kutaka kugombea ubunge mafia kwa kutumia CCM, si angekuwa anaishi na kukaa vikao na akina Rostam?? Muulize yule matanzania wa kawaida anayetembea kwa mguu toka ubungo mpaka posta hii habari inamsaidia vipi? Tumezoea majungu na wanasiasa wanakula kwa akili na tabia zetu za kusema ''asulubiwe asulubiwe'

Slaa alikiri kuwa nusu ya usalama wa taifa wanareport kwake! kwa njia gani? maana kama simu basi ili la Zito lina ugeni gani na linataka attention gani? au kusema huyu aliongelea kinampanda na huyu aliongelea Rufiji??

Nimeisoma hii habari yako ndeefu sana, lakini mie nitakujibu kifupi tu. Uliyoyaongea may be make sense lakini dont forget that Zitto ni mwanachama wa Chadema, Pili alikuwa ni msemaji mzuri wa kuwapinga hao wakina Rm na mwenzake EL. Ni lazima watu washangae na wajiulize why Rostam?? whom we all know ndiye kinara namba moja wa Ufisadi. What could be the reason for them to have conversation??
 
Lakini wewe muda si mrefu ulitwambia umetoka kuongea na zito na akakwambia waliyoongea na RA, sudenly unaibuka na 'LABDA' Acha unafki bana na utoto wako hapa.

Definately hujua matumizi ya lugha....Kwa akili yako ni kweli nimeongea na Ziit kuwa anaongea nini na Rostam kama vile simjui ama simuamini Zitto??? Yale yalikuwa ni matumizi ya lugh tu kufikisha ujumbe ambao ulikuwa ni kwamba: Acheni huu ujinga wenu kwani mkiendelea hata wengine pia tunaweza kushindwa kuvumilia na kuamua kujibu mashambuli lakini wakati wao wanbase katika assumptions, wengine tuna facts zenye kusindikizwa na ushahidi......
 
ha ha ha ha!
wewe ndo mshamba sasa!hiyo nani kaizungumzia USED HAMMER?....kwanin haujaopt for a BRAND NEW HAMMER ambayo ni zaid ya mil 200?-jibu ni rahisi,itakusumbua kufanya mchanganuo wa kazi za consultancy na kazi za ubunge ili udanganye vizuri kwamba INAWEZEKANA KUNUNUA HAMMER kwa hizo kazi mbili(ubunge na consultancy firm).infact hapa tunazungumzia zaid ya magari matano ya kutembelea


wewe ushamba ndio unakusumbua, nina uwezo wa kumiliki gari hata kumi, kuna mikopo siku hizi, wauza nyanya wengi wana magari ya kutembelea achilia mbali ya kutusumbulia na ma-less kibao mijini!

Gari siyo issue mkubwa labda uko dunia ya Nyerere au bado haujui kuwa the ordinary man can possess a normal vehicles, kuwa na gari tano si hoja wala hammer haitishi mtu kwa sasa!1 achamawazo ya kizamani. Njoo kwangu nikuazime moja unafanya kuchagua tu! gari zenyewe mpaka milioni 4 used unapata ukipata mkopo wa milioni ishirini ukaamua kununua gari utakuwa nazo ngapi? unaambiwa wana mikopo ya bunge! sisi kazini kwetu tunaruhusiwa kukopa na guarantor anakuwa mwajiri, tunakweza kukopa crdb,NMB na NBC fedha ambazo ni mara 15 ya net pay!! yaani kana unalamba laki tano unaweza kukopa mpaka m.8!!! kuhukumu watu kisa magari ni ushamba wa hali ya juu!

so
 
Nimeisoma hii habari yako ndeefu sana, lakini mie nitakujibu kifupi tu. Uliyoyaongea may be make sense lakini dont forget that Zitto ni mwanachama wa Chadema, Pili alikuwa ni msemaji mzuri wa kuwapinga hao wakina Rm na mwenzake EL. Ni lazima watu washangae na wajiulize why Rostam?? whom we all know ndiye kinara namba moja wa Ufisadi. What could be the reason for them to have conversation??

Samahini kaka,

Zitto hajwahi kumpinga mtu ispokuwa anapinga masuala ya ufisadi na sio jukwaani tu bali zaidi katika kusaidia kujenga mifumo ya kuzuia huo ufisadi na kuwaachia wenye nguvu za kuwadhibisha hao mafisadi wafanye majukumu yao.....Mkijua kiasi cha mabilioni mangapi ambayo Zitto ameweza kusaidi kuzuia kuliwa na wajanja katika miaka mitano iliyopita nadhani mtaona hata hayo ya EP na Richond wanayojifaragua nayo wengine ni cha mtoto>..Hivi hizo details za EPA mmewahi kuwauliza kina Slaa na wenzake walizitoa wapi????
 
wewe ushamba ndio unakusumbua, nina uwezo wa kumiliki gari hata kumi, kuna mikopo siku hizi, wauza nyanya wengi wana magari ya kutembelea achilia mbali ya kutusumbulia na ma-less kibao mijini!

Gari siyo issue mkubwa labda uko dunia ya Nyerere au bado haujui kuwa the ordinary man can possess a normal vehicles, kuwa na gari tano si hoja wala hammer haitishi mtu kwa sasa!1 achamawazo ya kizamani. Njoo kwangu nikuazime moja unafanya kuchagua tu! gari zenyewe mpaka milioni 4 used unapata ukipata mkopo wa milioni ishirini ukaamua kununua gari utakuwa nazo ngapi? unaambiwa wana mikopo ya bunge! sisi kazini kwetu tunaruhusiwa kukopa na guarantor anakuwa mwajiri, tunakweza kukopa crdb,NMB na NBC fedha ambazo ni mara 15 ya net pay!! yaani kana unalamba laki tano unaweza kukopa mpaka m.8!!! kuhukumu watu kisa magari ni ushamba wa hali ya juu!

so

Acha kututoa nje ya mada mkuu!!! Hoja hapa ni kuhusu adhabu mujarabu kwa ZT. Hiyo ndiyo ajenda yetu kwa sasa. Masuala ya magari weka kando, na pendekeza hatua za kinidhamu kwa huyu umpambaye.
 
Unaonekana una CHUKI KALI SANA NA MBOWE,, manake post zako zinamshambulia direct tena kwa maneno makali.... Najua reason ni rafiki yako ZK. Kama ZK na Mbowe wana any kind of beef/conflict ni vema wakasuluhishwa na wazee wenye busara ndani ya chama.

Kama suala ni ugomvi wa Mbowe na ZT (kama upo) na ZITTO ameona bora avuruge chama through media or mafisadi kama kina RA, basi naconclude hivi???? KAMA MBOWE NI MBAYA BASI ZITTO NI MBAYA MARA DUFU maana angekuwa mwema kuna njia nyingi za kusuluhisha na sio kutaka kuvuruga chama chote.

Nasema hayo hapo juu kwa sababu unasound kama mtu mwenye chuki kali sana juu ya Mbowe na ww ni rafiki wa Zitto which means anakuagiza or whaterver!

Wanasiasa wa bongo bana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

unasound kama mtu anae muabudu mboe.
 
Omar kwa uzushi, uongo na Uzandiki wewe umeshindikana... unaongoza kwa sasa nadhani

Unataka kutuambia kuwa Mbowe ndo alimtuma Zitto aende tofauti na wabunge wenzake? je mbowe ndo alimtuma Zitto akaombe pesa kwa Maria Kejo? Je mbowe ndo alimtuma zitto akaongee pumba TBC? acha uongo bana toa pumba zako hapa

Kwani Rayes kuna kosa kwa Zitto kupingana na wabunge wenziwe?

Pili kisheria kuna kosa katika chama kinachojinadi kuwa cha kidemokrasia kuweka wazi maamuzi ya mbunge? (this is very common kwa nchi za nje)

Na jee kuna kosa kwa Zitto kumuomba mpenzi wake pesa? ( kila mtu anavyojikita kwenye mapenzi bwana, wengine hawaoni raha mpaka wadekezwe kwa kununuliwa japo Shati moja kwa mwezi japo uwezo wanao.
Besides hayo ni mambo personal nafikiri hatupaswi kuyagusa)
 
This is ridiculous; hivi kila mtu afuatilie nani anazungumza na nani? Mbona sisi wengine basi tungekuwa na hatia by phone records!

ridiculous kivipi bana...Yes lazima ifuatiliwe alikuwa anaongea na nani na why?ambacho huelewi ni nini sasa?
 
Brother by your comments you have declared Mbowe is not good......, Since you know Zitto better are you suggesting he is that clean... and are you saying that in the past few days he has not made some mistakes which has led people to question his intergrity?

My dear, usiniwekee maneno.....Zitto ana mapungufu yake ambayo mara Zotte haoni tabu kukiri....Hata lile la kwenda kuongea TBC hivi karibuni amekiri kuwa alikosea lakini hakuwa na nia mbaya kama ambavyo kinaMobwe walivyolitumia na wanavyotumia mengine....

Yes, Zitto anafanya makosa kisiasa na hayo yanamjengea maadui wengi lakini naamini kuwa makosa mengi anakuwa akifanya kwa kuamini kuwa yana maslahi kwa nchi na kwa chama ingawa huwa yanamgharimu sana kisiasa. Na ili kuweza kupata mabadiliko sahihi na makini ni lazima tuwe na viongozi walio tayari kuuumia kisiasa kwa kuweka mbele ukweli ambao wanaamini una maniufaa kwa nchi yawezekana isiwe kwa wakati huo lakini huko mbeleni. Na ukiangalia mengi yamekuja kujiopnyesha kuwa alikuwa sawa likiwemo hili la sasa la kukataa kumsusia Rais wa nchi.....
 
hata mbuzi wa jiarani Mwizi akikaa na amabye ni Mtilivu ujifunza kuiba maana kama hakuna adhabu zitolewazo zidi ya kitendo anaendelea yana kuwa mazoea, ya RA na EL nani hajui basi hata ZK atakuwa vivyo hivyo wizi tuuuuuuuu mpaka tukome
 
Omar kwa uzushi, uongo na Uzandiki wewe umeshindikana... unaongoza kwa sasa nadhani

Unataka kutuambia kuwa Mbowe ndo alimtuma Zitto aende tofauti na wabunge wenzake? je mbowe ndo alimtuma Zitto akaombe pesa kwa Maria Kejo? Je mbowe ndo alimtuma zitto akaongee pumba TBC? acha uongo bana toa pumba zako hapa

Niambie upi ni uzushi na uongo kati ya hayo niliyoyasema?

Zitto sio kama ninyi mnaofanya kile Mbowe anachotaka bila hata kupima matokeo yake kamati kuu inakuja kuwaaibisha halafu mnashindwa hata kutolea maelezo sahihi maazimio ya kamati kuu mnakimbilia kuachakachua msimamo wa chama.....

Zitto hufanya kile anachoamini kuwa ni sawa na kinahitajika hata kama kina ninyi mtachukia. Na kama akitambua kuwa alikosea haoni tabu kukiri kuwa alikosea....Tatizo ninyi ambapo kila wakati ukweli unapodhihiri kuhusu makosa yenu mnaishia kung'ang'ania makosa hayo hata kama ni kupingana na msimamo rasmi wa chama.....
 
Nimeisoma hii habari yako ndeefu sana, lakini mie nitakujibu kifupi tu. Uliyoyaongea may be make sense lakini dont forget that Zitto ni mwanachama wa Chadema, Pili alikuwa ni msemaji mzuri wa kuwapinga hao wakina Rm na mwenzake EL. Ni lazima watu washangae na wajiulize why Rostam?? whom we all know ndiye kinara namba moja wa Ufisadi. What could be the reason for them to have conversation??

Soma post numbe 765:https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...kyembe-na-hoja-za-mgongano-wa-maslahi-39.html

Ujue msimamo wangu juu ya mafisadi, kwa kifupi jamii yetu imewapa rank akina Rostam na EL, na imewaficha wengine kwa sababu wengi sana ni mafisadi (sijui wewe)

Hoja yangu ni kuwa mafaisadi hawa ni baba zetu, ni mama zetu, ni wajomba, ni majirani, hawatoki sayari ya mars, tuko nao tunaishi NAO THEN THERE MUST BE AN INTERECTION from clean one and fisadi one because we are depending each other as human!!

Hoja kubwa ni mafisadi waende jela, tumeshindwa hii, wala hatunakiongozi wa kutuondolea mafisadi hawa, hayupo si upinzani si CCM, kilichobaki ni kupiga kelele na kweli tuna hasira na tunaweza kurusha mawe!!1 ila tumesahau sheria zipo, mahakama, zipo na mafisadi si RA na EL tu, wako wengi, na hii mentality yetu ya kuwabana hawa wawili inawapa mwanya mafisadi wengine wengi kuiba nchi hii

Then focus, tubadili, katiba, nec huru, rais bora na viongozi bora, hii ya vita ya Slaa na Zito haikusaidii wewe wala watanzania wengine. Mimi naongea na wengi na sijui kama ni mafisadi, ikiwa NDIVYO MBONA TUNALALA KWENYE NYUMBA ZAO? WANATUAJIRI? TUNAKUNYWA NA KULA VITU VYAO, kipi kinatisha kuongea na fisadi au kuishi na kununua kika kitu kwa fisadi!! wangapi wenye number za vodacom? si ya ROSTAM HII??

Sijaona tija na faida ya andiko hili la Kubenea kwa watanzania, nimeona njaa zaidi, nimeona udaku zaidi, nimeona kutaka kuuza gazeti zaidi. Ndio maana wengine wanaenda mbali zaidi mpwa, kuwa mbona hawa watu Mbowe na RA,JK wana mahusiano kwa namna moja au nyingine, mpaka kuazimana hela..mjini hapa.

Believe me SIASA ZA TANZANIA HAZIJAFIKA HAPO, zingekuwa hapo damu ingemwagika juzi, na ZITO ASIWE SUBJECT YA KULETA VITU AMBAVYO HAVIPO, kati yenu hakuna anayewatenga mafisadi kuweni wakweli!!!!
 
hata mbuzi wa jiarani Mwizi akikaa na amabye ni Mtilivu ujifunza kuiba maana kama hakuna adhabu zitolewazo zidi ya kitendo anaendelea yana kuwa mazoea, ya RA na EL nani hajui basi hata ZK atakuwa vivyo hivyo wizi tuuuuuuuu mpaka tukome

Inategemea kama mbuzi huyo ana akili za kushikiwa na kudanganywa kama walivyo washabiki na wafuasi wengi wa MASIHA feki wetu....
 
too personal!! the only support you'll have is you or none at all.

Hivi kwa kuwa ninyi mnaamini katika kuandika uzandiki wenu mkidhani kuwa mtapata support mnadhani kila mtu yuko hapa kutafuta support.

I dont know for, but do you think wanachofanya hawa sio personal? Ulisoma maandiko yangu kuhusu asili ya Mwanahalisi na mahusiano ya Kubenea na Zitto hapo kabla. Hivi unadhani kuna mwanasiasa mwenye kuchukulia ushindani wa kisiasa personal zaidi ya Mbowe anayeshindwa kutofautisha siasa za biashara na siasa za uongozi wa umma?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom