Nimeongea na Zitto anasema alikuwa akiwasiliana na Rostam kumtuliza asidai mamilioni yake aliyompa Mbowe katika uchaguzi wa 2005 na ule wa Tarime (by election) baada ya kugundua kuwa Mbowe amekuwa akidai hizo ni fedha zake na kulazimisha CHADEMA wamlipe kutoka katika ruzuku.........Inakutosha hiyo ama unahitaji nyingine.....
Kaka mapema mno!!! huwa nawaambia kila siku hatuna wapinzani bara na kama mnataka chadema, basi tufanye uchaguzi, hatutaki wafanya biashara pale!! Mbowe si mmoja wao si kama yule anayejulikana alivyo kwa watanzania wengi!
Labda alikuwa akimlalamikia kitendo cha Mbowe kumfadhili mgombea wa CUF Kigoma Kaskazini baada ya ile ya kumhonga Mwenyekiti wa Jimbo Kigoma Kaskazini shilingi milioni saba kupitia kwa mkewe ili amsabotage Zitto kuushindwa kufanikiwa.....
Haya yote yakianikwa chadema itakwisha, ni mabomu mabaya ambayo existence ya ZITTO inakuwa threat kwa Mbowe na Slaa!! sijajua kwa nini, archtects , chief archtects wa majungu haya ni Slaa, akin Lissu wanapelekeshwa kama sanamu!!!
Zito hana chama.
acha kupotosha umma.
Ni naibu katibu mkuu wa chadema!!!! wenyewe walimpa uongozi wanajua umuhimu wake, leo nyie mnapiga kelele!
Inaelekea mngependa sana kuona kuwa Tanzania inasheheni populist politicians mkiamini kuwa hao ndio watawakomboa katika majanga tuliyonayo? Hivi hata baadaya hasara ya mabilioni tunayolazimika kulipa kwa hao DOWANS, Kukosa mitambo na sasa miaka minnne ya kukosa umeme wa kutosha bado mnaamini kuwa msimamo ule wa Zitto hakukupaswa kuwepo kwa kuwa ulikuwa unpopular? Hivi hizo popular politics zenu kuhusu Richmond na Dowans zimemsadia vipi mtanzania hadi leo zaidi ya kuwezesha kuwafanya mahasimu wa siasa za makundi ndani ya CCM kumantain their position na huku watanzania wakiendela kusuffer...
Wanachopenda wengi ndio hivyo, watu wanajua list of shame ya mwembechai, ila hawajui kama hawa watu bado wapo na bado wana mahusiano ya karibu na vyama vyao! hawajui kuwa Mbowe na JK ni marafiki wakiwa nje ya jukwaa!! why not?? kwani JK msafi au kwa sababu siyo Rostam!!
Wewe utasutwa. fuatilia mambo kwanza kabla ya kuropoka. Zitto hajwahi kumiliki Hammer. Hammer aliyokuwa nayo ilikuwa ni ya Kaka yake ambaye ni mfanyabiashara wa magari iliuzwa mika minne iliyopita. Gari pekee la gharama ambalo Zitto amewahi kununua halizidi shilingi milioni 30 na yote ni second hand tena second hand za hapa Tanzania. Zitto alipopewa fedha zake za ubunge mwanzoni aislimia kuwa alisurrender kwa Mbowe kama kumpunguzia mzigo wa michango yake katika kampeni kumbe fedha alizokuwa Mbowe anadai ni zake ni za kutoka kwa Rostam...zaidi ya milioni 100.
Lakini pia kumbuka Zitto sio mbunge wa vikao vya bunge tu. Anatumia sana eleimu yake kama consultant na hivyo kujipatia mapato zaidi ambayo yote huishia katika matumizi ya kibunge na chama. Zitto miaka yote hii amekuwa akijitolea kusaidia chama ama viongozi wenzake bila ya kuomba kulipwa kama wafanyavyo viongozi wenzake.
Huyo Anthony Komu mwenyewe ambaye ndio mpika majungu gatika gazeti lake la Mwanahalisi lilioanzishwa kwa msaada mkubwa wa Zitto, Zitto alimpa PRADO bure bila ya kutoa senti....
By the way acha ushamba, hivi unajua thamani ya used hammer? Its less than 25,000USD na kama Zitto angetaka kumiliki he could afford just kwa kutumia mkopo wa lazima wa magari wanaopewa wabunge....
Ommy my friend watu wengi unaojibishana nao humu hawaijui kweli na haikuwa vigumu watu kama Nyerere kuwatawala. wengi wako hivyo
Wengine tukisema kwa ujasiri Mbowe ni mfanyabiashara huwa sio kuwa tunakosea! we know himin and out!! MWANAHALISI WAKIMGUSA TU ROSTAM KWENYE HIZO SIMU HUWA HAKOPESHI ATASEMA ZITO ALIKUWA ANAONGELEA DENI ALILOMKOPESHA MBOWE-sijui hii mijitu inajua haya!!!! Mtikila yalimkuta yake kakaa kimya hadi wa leo!
watu wanataka tufunue uhusiano LEGALLY wa kibiashara na Mbowe na hao wenye tuhuma za ufisadi, achilia mbali wale wa mali asili! siyo mbaya kwa Mbowe kwani ni mfanyabiashara!! he is emulating akina Mengi, Manji n.k! keep it up!!!
Narudia tena mmegusa pabaya sana kama hamna mnalolijua kuhusu ile communications you better shut UP!!! PLEASE SHUT UP!!! ROSTAM sio wa kivile, mtakuja kugundua na mnatkizamisha kabisa chadema!! You will likewise find all chademalist wanamawasiliano na walishawahi kukopa hela kwake!!!
Big Up Ommy, chadema wataondoka wenyewe, hata kama wameoa kwenye nyumba za waasisi
Zitto for chairman!