Zitto ahusishwa na Rostam Aziz - Mwana Halisi

Status
Not open for further replies.
Mkuu mwanakijiji, let us not take this issue so lightly! Haya sii maongezi ya kawaida! Zitto has changed nowadays. Take it from me, these are the people who are behind his recent attitude. Sasa wanayoyaongea lazima yanahusu CDM ndiyo maana wabunge wenzake hawamuelewi tena hadi wakafikia kumpigia kura ya kutokuwa na imani naye.

Hata MMJJ nae has changed these days
 
Ni kweli maongezi haya yanaleta shida kidogo kuamini kuwa ni ya kawaida tu. Ni sawa tuje tusikie kuwa Dr. Slaa anaongea na JK mara kwa mara kwenye simu bila public kujua huwa wanaongea nini, lazima tuhoji kwani misimamo ya watu hawa wawili inajulikana mbele ya jamii. Kuna kitu hapa
 
Paulo nakubaliana na wewe mtu wangu, question is; say right here right now walizungumza nini?? kama haujui hauoni unajidhalilisha?
watu wangapi mafisadi huwa unaongea nao?

Zitto alitetea DOWANS na HAKUUNGANA NA WENZIYE KUMSUSIA JK BUNGENI...DOWANS inamhusu Rostam na JK anamhusu directly kimaslahi Rostam.....bado huoni walizungumzia nini?
 
sio redikulas bana wee!

''something is not rught somewhere''

TUTAJUA TU SIKU MOJA!nawaamini sana mwanahalisi,HAWAKURUPUKI HAO

Proverbs 1:10 (New International Version, ©2010)


10 My son, if sinful men entice you,
do not give in to them.
 
Paulo nakubaliana na wewe mtu wangu, question is; say right here right now walizungumza nini?? kama haujui hauoni unajidhalilisha?
watu wangapi mafisadi huwa unaongea nao?

Mkuu Waberoya mi nakubali maoni yako yale ya kwanza na haya ya pili. Tena umeandika kwa kina kabisa ila you have overlooked the context of my thread. Tatizo sio kuwa na maongezi na RA au Jacky Zoka. Issue ni mwenendo wa ZT kubadilika kwa kasi ambao unaendana na kuzidisha maongezi ya siri na watu hawa ambao sii marafiki wa CDM. kumbuka ule ugomvi wa Dr Slaa na Jacky Zoka bado haujafutika akilini mwa watu. Please let's think out of the box.......
 
Mkuu MwanaKijiji natilia shaka your credibility nowadays. You are not the MK I know and used to believe in!!! Please uncover the mystery...what is wrong with you?

Kwa mimi na wewe kuwa na calls connections with Rostam and the like inawezekana ikawa si tatizo!!! But not for Zito... As of now, Zito is a politically influential figure from strongest opposition party in TZ. Juzi tu katika uchaguzi ulioisha, CHADEMA waliulaumu Usalama wa Taifa kwa kuingilia mchakato wa uchaguzi... At the same time, Zito anakuwa na close tie na vigogo wa TISS tena kwa siri... Haihitaji u-genius kujua kwamba kuna uovu unaoendelea hapa.

As if haitoshi, Zito huyohuyo ana close tie na Rostam, one of the people frequently mentioned by CHADEMA that 'suck dry' our economy.
This is ridiculous; hivi kila mtu afuatilie nani anazungumza na nani? Mbona sisi wengine basi tungekuwa na hatia by phone records!
 
ZITO ni Kiongozi ndani ya CDM. Mambo waliyofanyiwa CDM kwenye uchaguzi 2010 hasa wakati wa kutangaza matokeo kuanzia udiwani, ubunge na Urais yanatia kinyaa.

Kwa mtu aliye Serious na Chama chake maongezi na mtu kama RA ambaye hata ndani ya chama chake kuna wasiomtaka hata japo maongezi iweje Kiongozi wa CDM. Leo RA, kesho boss wa Tiss hii manake Zito must go out of CDM leadership. Aende huko wanakomtumia labda atatulia!! Aiache CDM pekee na wanaoitaka!
 
Awe ni rafiki mfanyabiashara,mkulima, mwalimu, profesa, karani, mpambe, mbunge, diwani, balozi,daktari, nesi, dereva mpiga, debe, rubani,nahodha, baharia, msukuma, mkokoteni mmachinga, waziri mganga wa kienyeji, na wengine wooote, mtabiri wa nyota, raisi, LAKINI KAMA NI MNAFIKI NDUMILAKUWILI, MUOGOPE KAMA UKOMA, Katika mabadiliko tunayoyahitaji ya ukombozi wa nchi yetu, iliyokwishakuliwa na kubaki mifupa,ZITO HATUFAI, aende zake akaungane na hao wafadhili wake ili tubaki salama na tutashinda mapambano
 
ZITTO safari hii analo!.....
atajuta ''kuingia kwenye mtego'' wa ccm
na atarudisha vihela hela vyote na hiyo hummer atarudisha alikoitoa

Duuu yaani jamaa ana hii kitu????

images
 
Crap!! Sasa kama hawakuweza kujua kilichoongelewa wanaandika habari incomplete za nini??? Hao mwanahalisi nao ni wehu tu hamna lolote. Hivi hii ndio style ya kufanya invetigative journalism kweli?? Too bad mnaweza kumhukumu mtu kwa kitu ndicho sicho...
 
Wanajamvi... MWanahalisi wanafanya kazi yao, na wanafanya kazi nzuri sana... kwangu mimi sio ridiculous na MMM atakubali kwamba hii type ya journalism ipo dunia nzima hata huko Detroit, let alone UK... Ni kwa namna hii tumeweza kujifunza kwamba kuna viongozi wezi, mashoga, dhaifu, wanafiki nk.

Zitto is in the limelight because he wanted it... he is a politician, popular, controversial and in opposition.. and he has associated himself with the likes of Mama Kyejo (Mpenzi), Dowans, Richmond, etc. Pia anawasiliana na TISS, anawageuka wenzake nk

It is a wakeup call to all, kuacha unafiki, na kutufundisha kwamba ukiwa mchafu, basi usiingie kwenye siasa

Nani asiyemjua Rostam?... Nikianza kuonekana na Rostam leo, basi kila mtu atanihusisha mojakwamoja na ufisadi... wanasema birds of a feather fly together

IT IS SO EASY TO GO UP, BUT DIFFICULT TO STAY ON TOP...\

well done mwanahalisi
 
Rostam Aziz kaishika hiii nchi pabaya sanaaaaaaa,na viongozi wote awana sauti kwa huyu mtu,kwa kifupi rostam ni mtu hatari sana,anataka akiharibu chadema.
 
Awe ni rafiki mfanyabiashara,mkulima, mwalimu, profesa, karani, mpambe, mbunge, diwani, balozi,daktari, nesi, dereva mpiga, debe, rubani,nahodha, baharia, msukuma, mkokoteni mmachinga, waziri mganga wa kienyeji, na wengine wooote, mtabiri wa nyota, raisi, LAKINI KAMA NI MNAFIKI NDUMILAKUWILI, MUOGOPE KAMA UKOMA, Katika mabadiliko tunayoyahitaji ya ukombozi wa nchi yetu, iliyokwishakuliwa na kubaki mifupa,ZITO HATUFAI, aende zake akaungane na hao wafadhili wake ili tubaki salama na tutashinda mapambano

Sasa mkuu itakuwaje kama Zitto atakataa kujiuzulu nyadhifa zake ndani ya chama na bunge? Nasema haya kwsbabu kuna siku ZT mwenyewe alisema hakuomba uongozi ndani ya chama ila ni wao wenyewe walimpa baada ya kujiridhisha kuwa anafaa. Akaongeza, kawa wanaona sifai basi waniondoe lkn sii mimi nijiondoe kwani sikuomba kupewa cheo.

Mkuu Major sasa ZT kasema haondoki hadi aondolewe!!!!!Na CDM hawataki kumuondoa wanamwambia ajipime mwenyewe kwa maana waliochini yake hawwana imani naye. Sasa mustakabali wa CDM uko kwenye dilemma.
 
Paulo mjadala mzuri ni kujua walikuwa wanaongea nini! wasije kuwa walikuwa wanaongea mechi za hispania au UK! Paulo nikisema ulimpigia simu mke wa jirani , mara kumi ndani ya mwezi mmoja, bila kujua na kuweka mazungumzo walikuwa wanaongea nini tutakuwa tunakosea sana hupo? si kila wanachoandika mwanahalisi ukimeze kama kilivyo watu huwa wanameza kasa!

Rostam huyu ni mfanya biashara, majirani zetu, ndugu zetu wamejiriwa na huyu mtu, EL hali kadhalika, nyumba za kupanga hata daladala you never know pengine zao!!

Nilisema miaka mingi , dawa ya mafisadi ni JELA! WAKIWAMO MTAANI NI WASAFI!! , tukisema hatuna uwezo wa kuwapeleka jela kama alivyosema Pinda basi hakuna serikali! we need strategic move ya kuondokana na dhana hizi za kumtafuta mchawi, ni sawa na ukihudhiwa kazini unarudi nyumbani kufokea mke na watoto! unatafuta sehemu za KUPUNGUZIA stress na kinachoonekana ndio hiki! we have failed to do great things, tunakazania kupigana na watu wadogo!

Take time, breath deeply! relax, READ...Kama RA ni fisadi angekuwa jela Zito angepata wapi muda wa kuongea naye?? maana kwa akili ndogo ya wafuata mkumbo itakuwa kuwa Zito anaongea na fisadi! who principally siyo fisadi maana sehemu yake ni JELA!!

Tunakuwa kama mbwa tunabweka watu wakija na kutisha wanachukua mawe tunakimbia na kwenda kubwekea uani.Watanzania tumewashindwa mafisadi, tumefikia muda kila mtu tutamuita fisadi, maskini!!!! hata wale wasio.... kisa yuko tofauti na sisi!!

Kazi iliyo mbele yetu na Kubenea analijua hilo ni kuwapeleka jela hawa mafisadi, tukishindwa hapo tukae kimya, kutupa mawe na kuitana mafisadi pasipo ushahidi ni uonevu mbaya sana , hasa pale tunapowasema watu wazuri.

Unamfahamu PA wa Rostam? unawafahamu waliojiriwa naye? unafahamu kampuni yake ya Caspian imeajiri watu wangapi? then who is Zito?

Zito ni nani hata atuzibe mdomo wa kutokuwaza makubwa ya nchi hii ya kuwaweka mafisadi jela? Zito ni nani? nani aliyewaroga kuwa hoja za Zito zitatufikisha pazuri, why you guys dont think globally? kesho Kubenea atatoa Zito alimpigia simu Pengo! keshokutwa watasema alimpigia simu girlfriend wake! who is Zito is he president?? why you guys feeling inferiority towards Zito??-Slaa chukua hiyo! kama kuongea na wenye tuhuma za mafisadi ni Zito pekee?? makanisa mangapi akina Rostam wanaalikwa na kutoa michango, misikiti mingapo kaijenga?? hivi huu ujinga UTATUONDOKA LINI KUWA TUWEZE KUWAZA YA JUU NA MBALI SANA NA SIO AKINA ZITO!!!!

Kubenea hagawi gazeti kama pipi! anauza!!! note this anauza! na wakati mwingine pengine anaowasema wanahusika kugawana fedha ,....who knows?? umeliwa bongo hii!

Ngau magazeti ya UDAKU yenye picha na waliofumaniwa live!! magazeti ya udaku nchi hii yanafanya vizuri sana kuliko Kubena na mwanahalisi!

Kesho baba yako wakati yuko kazini akimpigia simu housegirl mara 3 kwa siku kwa siku 5 za kazi huwezi ukajua wanaongea nini, the same case kama mama yako akiongea na houseboy!!! why conclude by surmising?

Mwambie lengo la kubenea na hizo article ni nini? anataka tumuite Zito fisadi au tumntenge?? muulize yeye aliyechukua fomu za kutaka kugombea ubunge mafia kwa kutumia CCM, si angekuwa anaishi na kukaa vikao na akina Rostam?? Muulize yule matanzania wa kawaida anayetembea kwa mguu toka ubungo mpaka posta hii habari inamsaidia vipi? Tumezoea majungu na wanasiasa wanakula kwa akili na tabia zetu za kusema ''asulubiwe asulubiwe'

Slaa alikiri kuwa nusu ya usalama wa taifa wanareport kwake! kwa njia gani? maana kama simu basi ili la Zito lina ugeni gani na linataka attention gani? au kusema huyu aliongelea kinampanda na huyu aliongelea Rufiji??
Umesema mengi lakini sisi ambao ni RESULT ORIENTED tunachoangalia ni tukio na matokeo yake basi. Kuongea na RA si kosa hata mimi nawezaongea naye ila kama maongezi yetu yamenitilt kuelekea fikra zake vyovyote vile walokuwa wanajua msimamo wangu wana haki ya kudodosa maongezi yetu na RA! hiyo ndiyo hoja katika habari ya Kubenea. Hata Dr Slaa angekuwa anakiri kuwasliana na watu wa TISS halafu mawasiliano hayo yanaanza kuzaa matunda ya kuiyumbisha CHADEMA naye angesakamwa. Tungependa Zitto amtumie Rostam kuiyumbisha CCM na siyo Rostam amtumie Zitto kuiyumbisha CHADEMA Vinginevyo mawasiliano hayo hayana maana na tutaendelea kuyachokonoa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom