Zitto ahusishwa na Rostam Aziz - Mwana Halisi

Zitto ahusishwa na Rostam Aziz - Mwana Halisi

Status
Not open for further replies.
Ana haja kwani ana Tanzania Daima, Mwanahalisi na wengineo wakimfanyia kazi.......Post ipi unayohitaji fact upewe?
wewe huna facts bana!
wewe unatoa mawazo yako BINAFSI YA KISHABIKI!

facts zinaambatana na valid evidences......!
 
unasound kama mtu anae muabudu mboe.

Weeee..... Kama unaabudu binadamu usifikiri na wengine ni hivyo... Mimi namwabudu MUNGU WA MBINGUNI peke yake. Nimetoa mawazo yangu na ufahamu wangu accordingly. Unataka niseme Mbowe ni mmbaya ikiwa sijaona ubaya wake? Tuambie alifanya nini na wapi or na wewe katoe pesa kwa magazeti kama mnavyosema Mbowe anatoa pesa kwa Kubenea waandike kafanya nini uone kama hatutamjadili... Na kama ni uzushi utajulikana tu kama ilivyo kwa Zitto (kama kinachesemwa ni kweli ama la kitajulikana tu... If not today basi ni kesho.
 
Yaani kama kwako jamvi la siasa za majitaka kama Mwanahalisi na Upeo wa Kubenea ndio nyenzo za kutegemea kuleta mageuzi then kweli tuna tofauti kubwa sana.....

Yaani hilihili gazeti lilitumika kupora milioni 300 kutoka ubalozi wa Switzerland kwa ajili ya uandishi wa makala za kipelelezi na kushia kuwatumia waandishi wasio husika na kujaza risiti feki za kudai kuwa walienda field kupeleleza habari leo hii uzungumzie integrity???

The problem hapa tunaliweka Mwanahalisi in the dock..... hapa issue siongelei uzuri au ubaya wa Mwanahalisi... Hata kama mwanahalisi ni Rubbish (according to you) lakini kwenye mpunga hazitoki pumba tu hata mchele upo..... so with all the worse about mwanahalisi, does not make us discredit everything been published by them......
 
Mtani siku ukionyeshwa check ya RA kumkopesha Mbowe million 133 naona tutakupa nyundo ya kilo kumi hiyo haikutoshi!

Ni hivi: haondoki mtu chadema, piga ua, na ya kuwa walioanzisha hili sakata tutacheza nayo na mwisho wao ni aibu!!

Kama vipi tukutane kwenye uchaguzi, watu wajaze fomu na kura zipigwe dhahiri, hakuna kupendelea!

Unakumbuka zile ngumi za utotoni! vua viatu kwanza, usiume(using'ate), usishike mawe! hakunakutukana matusi, MSTARI UNACHORWA CHINI!!

Believe me tofauti na wengi unavyowadhania humu JF, ZK anapendwa na ordinary members wengi sana, kama mnamtuhumu aliweza kuwabadili mawazo wabunge-I mean wabunge 10 je hao wanachama! HIKI KICHWA NI THREAT WAnajuuuuuuuta kumtambua!

Haki uinua taifa na uinua chama

Mbowe abaki mshauri tu na mfadhili wa chama-au loan requestor, Tundu Lissu (baada na yeye kuacha unafiki) katibu mkuu, chair ZK, Slaa nje!!!maana kama ameshindwa kutatua matatizo ya chama kidogo angepewa nchi je!!

Hawa bado sanaaa! Wanapenda kukurupuka
 
Wacha kuleta utumbo wako, kuna dini iliyotajwa hapo juu?

C nmekuambia usichangie maana threads zako humu JF zina harufu ya udini? Sasa mbona hunielewi? Toka nje nakwambia tokaaaaaaaaaaa...Kakae huko huko....Ukiachwa humu ndani hutachelewa kupandikiza elements za udini ktk topic ya leo. Hiyo ndo dawa nyenu...
 
Nimeongea na Zitto anasema alikuwa akiwasiliana na Rostam kumtuliza asidai mamilioni yake aliyompa Mbowe katika uchaguzi wa 2005 na ule wa Tarime (by election) baada ya kugundua kuwa Mbowe amekuwa akidai hizo ni fedha zake na kulazimisha CHADEMA wamlipe kutoka katika ruzuku.........Inakutosha hiyo ama unahitaji nyingine.....
Unataka kutuletea mambo ya JK Songea kuongea na balozi UN na kusema Obama kampongeza, too hot to hold omarilyas.
 
This is ridiculous; hivi kila mtu afuatilie nani anazungumza na nani? Mbona sisi wengine basi tungekuwa na hatia by phone records!

Zitto ni kiongozi kwa hiyo ni kwa ajili ya public interest kujua hasa mambo yenye utata ambayo amekuwa akiyafanya.

Alitetea ununuzi wa Richmond/Dowans huku akijua ni kinyume cha sheria. Alipoulizwa je nani anamiliki Dowans (atakayelipwa) akasema hana haja ya kujua hayo. Au hakutaka watu wawafahamu wamiliki hao?

Kweli Tanzania tunahitaji 'Bongoleaks' ili kufanya kazi kama 'Wikileaks' ili ku-expose maovu katika jamii na Serikali. Mikataba kama IPTL, Dowans, Meremeta, Mwananchi Gold, Deep Green, viongozi kugawana vitalu vya madini, kuuzwa kwa NBC, TRC (ikawa TRL), ATC nk. vyote vinahitaji kuwa 'Wikileaked/Bongoleaked'...

About him being ousted from Chadema, I think it's a question of 'when & how', not 'if'.

He can be the next Chairman of NCCR-Mageuzi.
 
zito sio chadema siku hizi jamani!!!, alkuaga zamani mafisadi wa ccm wakamuwahi na wakafanikiwa kumbadilili akili kwa kumjaza mihela na yeye akakubali kuwasaliti watanzania, akakubali kuisaliti chadema na kwa sasa atakua anaumia lakini kwa kuwa haeleweki aondoke tu chadema, awaache wenye uchungu na nchi yao na wasiokubali kurubuniwa na mafisadi wafanye kazi

Mama D ZT kasema hiviiiii....HAONDOKI WALA POST HAACHII NA TENA ANAMPANGO WA KUGOMBEA URAISI KUPITIA CHADEMA. Sasa kwa hizi tuhuma inabidi nguvu itumike kumshughulikia. Sasa tufanyeje?
 
Well, mnaposhangilia kuona attacks za Mwenyekiti weu na machinery yake msidhani kuwa watu watanyamaza na kuwaangalia eti kwa kulinda integrity. Wengine kwetu integrity means speak the truth without fear na sio unafiki wa kujifunga mdomo. Na kwa taarifa yako kitendo cha Mwanahalisi gazeti ambalo linamilikiwa na Anthony Komu ambaye ni Mkurugenzi wa Fedha wa Chadema na pia ni gazeti linalofadhiliwa na Chadema kwa vifaa na hata kununuliwa nakala zote zinazorudi kutoka sokoni kwa fedha za Chadema na kusambazwa kwa mashina ya Chama mikoani kuendelea na huu ujinga wakati kuna kamati imeundwa na kamati kuu ya Chadema inayopaswa kuleta maridhiano kati yao ni sawa na kusema kuwa wenzake Zitto hawako tayari kuonyesha uungwana. Then they have declared a war, and a war they shall get...........


Actually I can do better than this...see you soon

Poor thee...!
 
amani iwe kwenu ma-great thinkers!
hivi leo gazeti la mwanahalisi limetoa ripoti ya kina kuhusiana na maongezi ya simu ya mara kwa mara kati ya Rostam Aziz na zitto kabwe. Hata hivyo gazeti halikuweza kupata mada waliyokuwa wanaongea akina zitto hivyo limetoa tu muda wa maongezi kati ya watu hao. Mfano zitto akitumia simu no. +255756809535 na rostam no. +255754555555 walifanya mawasiliano tarehe 11/08/2010 saa 7:08, saa 22:09, saa22:28, saa 22:49, saa 22:44 na saa 22:45. Wakati mawasiliano hayo ya simu yanafanyika simu ya zitto ilisomeka kuwa yuko uzunguni, dodoma huku simu ya rostam ikisomeka kuwa yuko area d, dodoma. Pia mawasiliano mengine yalifanyika siku mbili kabla ya kikao cha wabunge wa chadema kule bagamoyo huku simu ya zitto ikisomeka yuko ohio, dar. Huu ni mendelezo wa machapisho ya wiki iliyopita kuhusiana na maongezi ya mara kwa mara kati ya zitto na jack zoka (bosi wa tiss).

Hebu tujiulize hivi kweli zitto achukuliwe hatua gani za kinidhamu? Kwa sababu gazeti limemnukuu mama mzazi wa zitto akisema mwanawe ni mkorofi na sii msikivu. Karibu great thinker tujadili.


Wewe na huyo Mwandishi wa habari hii mnatofauti gani na yule Mwandishi wa Habari Leo anaelisakama Kanisa Katoliki? Kuweni objective, tuambieni walikuwa wanaongea nini?Kwani mawasiliano baina ya Wabunge hayaruhusiwi. Ondoeni prejudice katika kujadili mambo. Usimhukumu mtu bila kujua alikuwa anaongea nae nini.
Mbona hujaleta hoja ya kwa nini Wenje alimuomba Rostam asaidiane nae kuchangia ile shule kule Mwanza? Au Rostam anakuwa mbaya tu akiwasiliana na Zitto? kuweni waangalifu na epukeni double standard.
 
Wanajamvi... MWanahalisi wanafanya kazi yao, na wanafanya kazi nzuri sana... kwangu mimi sio ridiculous na MMM atakubali kwamba hii type ya journalism ipo dunia nzima hata huko Detroit, let alone UK... Ni kwa namna hii tumeweza kujifunza kwamba kuna viongozi wezi, mashoga, dhaifu, wanafiki nk.

Zitto is in the limelight because he wanted it... he is a politician, popular, controversial and in opposition.. and he has associated himself with the likes of Mama Kyejo (Mpenzi), Dowans, Richmond, etc. Pia anawasiliana na TISS, anawageuka wenzake nk

It is a wakeup call to all, kuacha unafiki, na kutufundisha kwamba ukiwa mchafu, basi usiingie kwenye siasa

Nani asiyemjua Rostam?... Nikianza kuonekana na Rostam leo, basi kila mtu atanihusisha mojakwamoja na ufisadi... wanasema birds of a feather fly together

IT IS SO EASY TO GO UP, BUT DIFFICULT TO STAY ON TOP...\

well done mwanahalisi

Something is happening hapo kwenye red!!
Thanks ACID.
What happened to you MMM
 
If you have only one piece of circumstantial evidence, carrying that evidence to a specific conclusion is prone to significant error.

However, when you have numerous pieces of circumstantial evidence all pointing in the same directions, carrying them, collectively, to a specific conclusion is usually quite reliable.

Thus we have gradual shift in the probability of the conclusion being accurate which goes from the conclusion is indeed accurate to it being totally false. It's like a rainbow shifting from one color to the next, or similar to night becoming day of vice versa. ​
 
humu kuna watu wa aina 3.
pro zitto_omarlyas,waberoya,etc
pro chadema/mbowe_teamo,paulo,etc
neutrals..

I'm neither pro CDM nor pro Mbowe. In fact I was pro zitto lkn baada hya kukengeuka nikabaki neutral. So I categorically deny your myopic/shortsighted opinions.
 
ZItto Kabwe ni kiongozi wa Chadema, hivyo basi anatakiwa kutoa kauli zinazotoa msimamo na taswira ya chama chake na si msimamo wake binafsi kama ambavyo amekuwa akitoa ili kujipatia ujiko

Zitto aliwahi kusema siasa sio chaguo lake la kwanza na anatamani kufundisha. Tofauti na hilo, tayari ameshasema anataka kugombea uraisi 2015. Na Zitto huyu huyu tena akasema angefanya maamuzi ambayo hayajawahi kuufikiriwa baada ya kuombwa ajitoe kugombea uwenyekiti wa Chadema taifa, lakini hakufanya hivyo. Huu ni uropokaji usio na msingi na anafanya hivyo kwa sababu ya umaarufu wake alioupata kupitia mgongo wa chama chake Chadema na kumfanya aone anaweza kufanya na kusema lolote mahali popote.

Kama Zitto ni mtu makini, hawezi kupingana na viongozi wake/wenzake inje ya chama kwa kusema bayana, hadharani bila aibu na kwa mbembwe mambo ya ndani ya chama chake. Kijana hana adabu analewa sifa na anapotea ajirekebishe.
 
Ana haja kwani ana Tanzania Daima, Mwanahalisi na wengineo wakimfanyia kazi.......Post ipi unayohitaji fact upewe?
hiyo unayosema dr alizunguka nchi nzima akidai anafundisha madiwani kumbe alikuwa anamshughulikia zito , na ile unayosema Mbowe alitaka kumtumia mwenyekiti wa cdm kigoma kaskazini kumuhujumu zito kwenye uchaguzi
 
Well, there is much to learn about Media than what is written or said....Politics na interest zake pia unahitaji kuzijua ama sivyo hautakua na tofauti na wale asilimi 70 wanaofuata upepo.....by the way kuna magazeti ya habari na yale ya maoni...Mwanahalisi ni tabloid ya maoni ambayo mara nying yanwakilishwa kama habari......

Gosh.......jaribu kusoma kuhusu haya mambo mimi sio lecturer wako...otherwise nitafute nikupe invoice ya consultations
Hili ndio tatizo la OVERCOMPLICATIONS.... kwahiyo kusoma na kuhoji validity ya habari kuhusu Zitto kuongea na RA unahitaji kujua the workings of media with politics???? !!!!!!!! Thats why hatutafika popote baadhi yetu hawasomi na hawataki kujua kinachoendelea wale wanaosoma they are busy complicating and looking for a story behind the story while doing so they are leaving the story infront of them......
 
Unataka kutuletea mambo ya JK Songea kuongea na balozi UN na kusema Obama kampongeza, too hot to hold omarilyas.

Kipi kisichobebeka, Kuwa alipokea milioni 100 mwaka 2005 na nginginezo wakati wa by elections za Tarime? Ama kuwa alikuwa akilobby kwa JK ili ateuliwe Ubunge? Ama kumpa fedha mgombea wa CUF Kigoma Kasakazini....yapo mengi ya kusema with facts available lakini inategemea wewe upo tayari kusikia yapi........
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom