Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,157
- 10,828
Slaa what?
You heard me!
Slaa what?
cr_p!Mtani siku ukionyeshwa check ya RA kumkopesha Mbowe million 133 naona tutakupa nyundo ya kilo kumi hiyo haikutoshi!
Ni hivi: haondoki mtu chadema, piga ua, na ya kuwa walioanzisha hili sakata tutacheza nayo na mwisho wao ni aibu!!
Kama vipi tukutane kwenye uchaguzi, watu wajaze fomu na kura zipigwe dhahiri, hakuna kupendelea!
Unakumbuka zile ngumi za utotoni! vua viatu kwanza, usiume(using'ate), usishike mawe! hakunakutukana matusi, MSTARI UNACHORWA CHINI!!
Believe me tofauti na wengi unavyowadhania humu JF, ZK anapendwa na ordinary members wengi sana, kama mnamtuhumu aliweza kuwabadili mawazo wabunge-I mean wabunge 10 je hao wanachama! HIKI KICHWA NI THREAT WAnajuuuuuuuta kumtambua!
Haki uinua taifa na uinua chama
Mbowe abaki mshauri tu na mfadhili wa chama-au loan requestor, Tundu Lissu (baada na yeye kuacha unafiki) katibu mkuu, chair ZK, Slaa nje!!!maana kama ameshindwa kutatua matatizo ya chama kidogo angepewa nchi je!!
You heard me!
Hiv kati ya Zitto na Mbowe ni nani anayetumia Media kuharibu Chama akidhani kuwa anamuumiza mwenzake kisiasa.
Hivi ni lini umewahi kuona habari ama makala inayomuattack Mbowe na sio kuona habari za kumuattackZitto tangia alipothubutu kutaka kugombea uenyekiti? Hivi unajua kuhusu kikao cha nyumbani kwa mbowe siku chache kabla uchaguzi ule ambacho kilimshirikisha Kubenea, Jesse KWayu wa Nipashe na Msaki wa Mwananchi ambacho Mbowe aliwataka "kummaliza Zitto" kisiasa ili mengine yafuate hapo mbeleni kama yalivyakuwa kwa wengine waliothubutu kuwania kiti chake?
Hivi unajua ni makala ngapi zilizoweza kuzuiliwa katika vyombo vya habari za kumkashifu, kumfitini na kumtukana Zitto katika nyumba za habari tangia wakati huo? Hivi unajua ni kina nani wanaoandika habari hizi na kumpa maelekezo Kubenea na wenzake kuandika haya?
Kuna wengi wanahusika hapa ambao tukiwataja tutaambiwa wadini lakini inatia kinyaa kuona watu wanaopaswa kuheshimika katika jamii kuungana na siasa hizi za majitaka.......
Again, I speak my mind na hakuna wa kuniagiza wala kunikataza.....kama yeye anaamini katika kuendela kufanya ustaarabu wakati wenzake hawajui hata nini maana ya utu hayo ni yeye.....
Sorry, Mwanahalisi is neither a Magazine nor Newspaper...its a political tabloid ambayo haina Ethics, Vision wala Waandishi wa kweli. Mengi unayoyaona yakiwa na majina kama Said Kubenea, Ezekiel Kimwaga ama Mwandishi maalumu ni kazi za watu nje ya Mwanahalisi ambayo haandikwa ama kuelekezwa kuandika kwa ajili ya manufaa fulani kisiasa. Mwandishi ni jamvi la waumini wa siasa za majitaka. Lakini zaidi haya kuhusu Chadema na Zitto yameaandikwa na kuamuriwa na viongozi na wasaidizi wa Chadema......
kwa kuwa zitto ameingia kwenye ''kikaango'' cha mwanahalisi leo ndo mnaona kama sio gazeti.....!
lakin kipindi kile cha sakata la EPA,DOWANS,IPTL ndo mlikuwa mnaliona kama gazeti
Thats why I always look at every information with three eyes...... and mix it with my own thinking...... so whenever I read something I try to evaluate it.... and in this scenario eyebrows needs to raised and the issue needs to be looked at deeper..... unfortunately in this world everybody is looking after number one "numero uno" there are no saints.... everyone is behind someone, so if because of infighting there come out information kuhusu ufisadi we wont look where the information came from but the validity of information....
sasa unataka kusema kwamba ''mwanahalisi'' halina mchango wowote juu ya kufichua maovu TAJWA HAPO JUU?.....ilikuwaje mkam_mwagia kubenea tindikali?Sijawahi kushabikia Mwanahalisi mimi kwani nililijua tangia zamani na nikawaonya watu lakini hawakunisikia....Kunamengi nimekosa lakini uwezo wa kumjua mbaya mapema mungu amenibarikia.......
humu kuna watu wa aina 3.
pro zitto_omarlyas,waberoya,etc
pro chadema/mbowe_teamo,paulo,etc
neutrals.
hayo makundi mawili hapo juu yanatia kinyaa kuyasoma,their thinking(s) are so clouded.
kwa wale neutral inaonekana wamekatishwa tamaaa na wote wawili hpo juu,
binafsi naona safari ya nchi ya demokrasia bado ndefu sana.
tanzania would have been a better place without the likes of these people.
Hivi mfitini si yule aliyepita mikoani kudai kuwa anafundisha madiwani lakini ukweli anamwaga sumu dhidi ya Kiongozi mwenzake, sumu ambayo imegonga mwamba katika Kamati Kuu hata kama waliweza kuchakachua uchaguzi wa wabunge kuingia kamati kuu na kuingiza henchmen wao ambo soon watawageuka.....Tafadhali na mapungufu yote haya kuna watu bado tunawapa heshima yao na ni busara kuwaacha pembeni....
another c_rp!humu kuna watu wa aina 3.
pro zitto_omarlyas,waberoya,etc
pro chadema/mbowe_teamo,paulo,etc
neutrals.
hayo makundi mawili hapo juu yanatia kinyaa kuyasoma,their thinking(s) are so clouded.
kwa wale neutral inaonekana wamekatishwa tamaaa na wote wawili hpo juu,
binafsi naona safari ya nchi ya demokrasia bado ndefu sana.
tanzania would have been a better place without the likes of these people.
sasa unataka kusema kwamba ''mwanahalisi'' halina mchango wowote juu ya kufichua maovu TAJWA HAPO JUU?.....ilikuwaje mkam_mwagia kubenea tindikali?
punguza jazba na matus!Nilidhani nina urge na mtu menye akili kumbe zero kabisa....unashindwa hata kuelewa nilichoandika....
Sawa msomi....kula dozi za fitina hizo ukiziita informations....
Sijawahi kumsikia Mbowe akijitokeza kwenye TV yeyote kusema chochote kuhusu Zitto, nilimwona Zitto akieleza walichokubaliana kwenye kikao cha chama which I hope was not good at all!! Kwa hiyo siwezi kusema Mbowe ndo anawaagiza gazeti kuandika kuhusu Zitto kwani sina evidence yoyote.
Ila naona posts zako zina ushabiki zaidi kuliko facts.
Karibu lunch....
Kama unataka kupata habari kamili inabidi unasoma magazeti ya pro, against na neutral.... alafu wewe mwenye unapata conclusion.... Na kwenye mwanahalisi sikuchukua maneno ya wanayosema kwamba Zitto ni mbaya, hapana i can conclude myself from that. Lakini Nimeona information ya Simu A na B kuwa na mawasiliano...... Sasa linakuja swali Je watu hawa waliwasiliana kweli (not sure)
Na Je kama waliwasiliana kuna ubaya wowote (ofcourse kama your motto is fighting mafisadi na katibu anaonekana ku communicate na alleged fisadi then there is a problem)
Conclusion something is not right....... and the Jury is Still Out