Ze Utamu blogger under arrest?

Ze Utamu blogger under arrest?

Status
Not open for further replies.
- Wakuu kumekuwa na tetesi ya hii habari kwa muda sasa, na hasa wiki iliyopita toka Jumapili nimejaribu sana kufuatilia kwa makini sana hii ishu kwa kujadiliana na wananchi mbali mbali wanaoifahamu, na ni muda mfupi tu uliopita nimeongea na mwenyewe mhusika akiwa akiwa anaendesha gari barabarani akitokea Birmingham kwenda nyumbani kwake,

- Na as a man na pia kama ndugu, nikamuuliza swali moja tu is it true or not, akanijibu kwamba he has absolutely nothing to do with it, na kwamba never katika anytime kuna yoyote kutoka kwenye authorities either ya Tanzania au ya UK amewahi kumuuliza anything on the ishu, sasa kama ndugu I take him at his word kwamba he is telling the truth and nothing but the whole truth.

- Nimeamua kuongea kama bina-adam, tena against ushauri wa wengi sana kwamba I should stay out of this mess, my heart goes kwa the victims wa hiyo kitu ambayo kwangu hata kuitaja nasikia chills mwilini kutokana na habari nyingi mbaya sana nilizowahi kuzisikia, binafsi nimewahi kuichungulia mara mbili tu, kwanza walipodhalilishwa marafiki wa karibu sana na familia yangu, na pili alipodhalilishwa Mheshimiwa rais, na ninamshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kuweza kufanikisha kuondolewa kabisa kwa hiyo kitu ambayo ninaiita mkono wa shetani.

- Lisemwalo lipo kama halipo basi linakuja, ni matumaini yangu kwamba authorities yetu wako on the top of this ishu, ni kukamatwa tu kwa owner ndiyo njia pekee ya kuelekea kwenye healing na recovery kwa victims ambao nasikia ni wengi sana wa hiyo kitu, ninawaombea Mungu awape baraka na spirit of quick recovery ingawa pia with the presha toka kwa pilato na this ishu in the last few weeks, baada ya hii topic nitajiweka kando rasmi na mitandao in general mpaka huko mbele ya safari ambako sijui itakuwaje na ni lini.

Ahsante Sana Wakuu.

William. - Community Organizer (CO)

Mkuu kama ulivyotuletea hii habari kwa usibitisho wako wa kimaneno so far tunakubaliana na wewe, kwani jamaa yupo huru na shuhuli zake kama kawaida ,sasa zaidi Binafisi na hisi atafutwe huyu aliyebadika hiyo picha na kumuhusisha mtu ambae hakuwa na uhakika nae kwani ikiwa serekali itampata mlate habari kuna uwezekano mkubwa kwa njia moja au nyingine yakaeleweka mengi ,kama tunavyo juwa ulimwengu wa leo watu ni hodari kubadilisha upepo unapo waelemea sasa hatujuwi kama mleta habari na hiyo picha yeye binafsi anao uhusiano wowote na zeutamu na ndio anajaribu kuondosha hizi habari zisimuelemee upande wake naimani JF itatowa ushirikiano kwa vyombo vya dola ndani na nje ili kumtambuwa mtowa habari hizi.
 
hapa suala la jurisdiction likeletwa litapigwa chini maana tayari yumo mikoni mwao...

Cha kufanya ni akatae tu kwamba hizo picha za the utamu si za wahusika na kuwarudishia mpira wao ili wa-proove kwamba ni zao na tuwajue ni akina nai hao...
 
Kwenye hili la zeutamu, nawahakikishieni Tanzania haiwezi kufanya lolote kwa sababu mbili kuu,
1. Tanzania hatuna any Cyber Legistlation. Yaani hatuna sheria ihusuyo mambo ya
mtandao, hata akikamtwa atashitakiwa kwa sheria gani?.
2. Kama kosa limetendeka nje ya mipaka ya Tanzania, mahakama za Tanzania hazina any jurisdiction za kusikiliza shauri lililofanyika nje ya Tanzania. Uthibitisho wa hili mtaushudia hivi karibuni kwenye kesi ya Prof. Mahalu jinsi ule ushahidi wa mtandao utakavyo pigwa chini kwa sababu sheria yetu ya ushahidi "Evidence Law"haiutambui ushahidi wa aina hii.

Kitu ambacho serikali inaweza kufanya ni kumshitaki huko huko aliko, kosa la kweli ni kama angeweka picha za watoto under "child pornography" lakini hizi za mtu mzima, sijui.

Kisa hiki cha zeutamu sasa ndio kitatufungua macho tuko nyuma kiasi gani, Sheria ya Magazeti ya mwaka 1976 haiwezi lolote hapa ni kapa kapa kapa tupu.
 
....maskini Yo Yo... daah!!

SteveD unatania kuhusu YOYO au unasema kweli? Kwamba huyo njemba hapo juu ndiye huyo huyo YOYO aliyewahi kuwa mwanachama hapa.
 
Nyani Ngabu vp mbona sikioni umeingia mitini Komredi?
Serikali imeshindwa kurudisha pesa za rada huko visiwa vya U.K eti inaomba kumkamata ze utamu kha! jamani hivi wameshindwa hata kuwashughulikia walio kula pesa za EPA kupitia KAGODA wanahangaika na ze utamu.... huyo mwacheni mbona bushi amechafuliwa sana kwa mtandao sijawahi sikia USA inahangaika kuwatafuta wamiliki....jamani tujadili maendeleo ze utamu mwacheni atajifia mwenyewe.
Tuanze na pesa za rada watuambie wamewaomba interpool kusaidia sehemu waliyo ficha? watu eleze wamesha waomba interpool kujua vile vijisenti vimeishia wapi vya kule kwenye kisiwa?Jamani msiwe na uchungu na mzee Utamu mpaka achafuliwe rais ndo mnajidai kufuatilia kwa makini? Dadaangu ametundikwa pale hamkuomba hata serikali imtafute haya jama mkae mkijua mnawapa watu ulaji kwenye hili dili la kumtafuta ze utamu mtakapo kuja kuambiwa zimetumika bilioni 35 kumsaka ze utamu duniani popote pale msibaki vinywa wazi. Tushukuru tu mtandao umesha fungwa basi watu wapo na amani sasa.
Nataka niulize ile Grobalpublishers nayo vp haiwachafui watu? au hii kwa vile ipo home tu hapa hapa? au wale wanarekebisha tabia za watu? Au mpaka aandikwe waziri mkuu basi watu mtafunguka macho kuwa wana wananga watu?
Kwa herini narudi kujiexpress Komredi tutaonana nyumbani.
 
Hivi jamani mboni hivyo?huwa mnasoma kweli hii post leo imekwisha tumwa zaidi ya mara mbili na wewe unaendelea tu ku post.Acheni hizo mnatumalizia bandwith zetu LOL
Ha ha haaa! Bandwidth ni capacity Mkuu, huwa haiishi, ila labda ulitaka kumaanisha kuwa "mnatumalizia memory zetu". Bandwidth ni kama upana wa barabara, yaani uwezo wa barabara kupitisha magari kadhaa katika lane zake kwa sekunde. Kumbuka upana wa barabara hauwezi kupungua eti kwa sababu magari yamepita mengi kwa wakati mmoja (sekunde) katika specific point ya barabara. Ila magari hayo yanaweza kwenda kumaliza parking (memory) kama yanaenda kupark sehemu moja (server). Kitakachotokea ni kwamba magari yatalazimika kupunguza mwendo (network speed) ili yaweze kuwa accomodated yote (Burn, Opaque, NN, Shy, Invisible na user/guest wengine wote) Nadhani umeona tofauti, ila sema imejitokeza kwenye thread ya Utamu, ilibidi iwe kule kwenye Teknolojia, lakini tatizo wengi huwa hampiti kule, kuna mambo mazuri akina Shy wanayaweka!
 
Nafuu alivyokamatwa maana kwa sisi watanzania sio destri yetu kuonesha pich za ngono live. Kumbuka ile issue ya saint Agustino University alionesha vie sivyo.Hilo ni onyo kwa wengine wanaofungua blog kuwakashifu watanzania. James from Tumaini
 
Kazi sasa hahaaaa nilijua hatachukua muda mrefu, alikuwa na maadui wengi kuliko marafiki!
 
SteveD unatania kuhusu YOYO au unasema kweli? Kwamba huyo njemba hapo juu ndiye huyo huyo YOYO aliyewahi kuwa mwanachama hapa.

Mkuu BAK, statement yangu ni ya maskitiko kwa member Yo Yo, ambaye bado ni member wa JF. Sikusema yoyote mengine yale kwenye hiyo sentensi yangu bali kumskitikia Yo Yo.

Shukrani kwa swali.
 
Nataka niulize ile Grobalpublishers nayo vp haiwachafui watu? au hii kwa vile ipo home tu hapa hapa? au wale wanarekebisha tabia za watu? Au mpaka aandikwe waziri mkuu basi watu mtafunguka macho kuwa wana wananga watu?

Hili nalo neno!

Global Publishers walikuwa wanachota picha, maneno na uzushi huko Ze Utamu na kuchapa kwenye Ijumaa, Kiu n.k..Wao sijui nao itakuwa vipi.
 
Kwenye hili la zeutamu, nawahakikishieni Tanzania haiwezi kufanya lolote kwa sababu mbili kuu,
1. Tanzania hatuna any Cyber Legistlation. Yaani hatuna sheria ihusuyo mambo ya
mtandao, hata akikamtwa atashitakiwa kwa sheria gani?.
2. Kama kosa limetendeka nje ya mipaka ya Tanzania, mahakama za Tanzania hazina any jurisdiction za kusikiliza shauri lililofanyika nje ya Tanzania. Uthibitisho wa hili mtaushudia hivi karibuni kwenye kesi ya Prof. Mahalu jinsi ule ushahidi wa mtandao utakavyo pigwa chini kwa sababu sheria yetu ya ushahidi "Evidence Law"haiutambui ushahidi wa aina hii.

Kitu ambacho serikali inaweza kufanya ni kumshitaki huko huko aliko, kosa la kweli ni kama angeweka picha za watoto under "child pornography" lakini hizi za mtu mzima, sijui.

Kisa hiki cha zeutamu sasa ndio kitatufungua macho tuko nyuma kiasi gani, Sheria ya Magazeti ya mwaka 1976 haiwezi lolote hapa ni kapa kapa kapa tupu.

Kwa unasema leo nikiamua kuanzisha website inayomkashifu rais, na nchi kwa ujumla, haitakuwa kosa? Na je under private law - civil liability - defamation, Kikwete na wengine wote hawana kesi hapo? Sidhani kama sheria itashindwa kumkamata, labda wanasheria wa serikali wachoke tu. Na pili, serikali inaweza kupitisha sheria in the meantime bungeni.
 
Zeutamu hana kesi ya kujibu , Watayamaliza nje ya mahakama au kifamilia,hakuna kifungu cha kumshtaki hata kimoja kwani ile ni web site ambayo mtu yoyote aliweza kuitumia kutuma posts na picha kama tufanyavyo hapa JF japo ile imekuwa kipicha za kimatusi zaidi.
 
Something doesn't add up....

- Heshima kwa wakuu wote JF,in another few hours nitatoa tamko langu binafsi na rasmi on this ishu. For the last Four days nimekua na majadiliano mazito sana between forces close to this ishu, na hasa founder wa JF Mkulu Max, ninaamini leo ni wakati muafaka nikasema something, nitarudi soon.

Ahsanteni.

William - Community Organizer (CO)

- Wakuu kumekuwa na tetesi ya hii habari kwa muda sasa, na hasa wiki iliyopita toka Jumapili nimejaribu sana kufuatilia kwa makini sana hii ishu kwa kujadiliana na wananchi mbali mbali wanaoifahamu, na ni muda mfupi tu uliopita nimeongea na mwenyewe mhusika akiwa akiwa anaendesha gari barabarani akitokea Birmingham kwenda nyumbani kwake,

- Na as a man na pia kama ndugu, nikamuuliza swali moja tu is it true or not, akanijibu kwamba he has absolutely nothing to do with it, na kwamba never katika anytime kuna yoyote kutoka kwenye authorities either ya Tanzania au ya UK amewahi kumuuliza anything on the ishu, sasa kama ndugu I take him at his word kwamba he is telling the truth and nothing but the whole truth.

- Nimeamua kuongea kama bina-adam, tena against ushauri wa wengi sana kwamba I should stay out of this mess, my heart goes kwa the victims wa hiyo kitu ambayo kwangu hata kuitaja nasikia chills mwilini kutokana na habari nyingi mbaya sana nilizowahi kuzisikia, binafsi nimewahi kuichungulia mara mbili tu, kwanza walipodhalilishwa marafiki wa karibu sana na familia yangu, na pili alipodhalilishwa Mheshimiwa rais, na ninamshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kuweza kufanikisha kuondolewa kabisa kwa hiyo kitu ambayo ninaiita mkono wa shetani.

- Lisemwalo lipo kama halipo basi linakuja, ni matumaini yangu kwamba authorities yetu wako on the top of this ishu, ni kukamatwa tu kwa owner ndiyo njia pekee ya kuelekea kwenye healing na recovery kwa victims ambao nasikia ni wengi sana wa hiyo kitu, ninawaombea Mungu awape baraka na spirit of quick recovery ingawa pia with the presha toka kwa pilato na this ishu in the last few weeks, baada ya hii topic nitajiweka kando rasmi na mitandao in general mpaka huko mbele ya safari ambako sijui itakuwaje na ni lini.

Ahsante Sana Wakuu.

William. - Community Organizer (CO)
to me, hapa kuna hidden information:

1. Kwa nini ajiweke kando kutoka mitandaoni?
2. Kasema mpaka huko mbele ya safari ambako sijui itakuwaje? Kwani sasa ivi ikoje?
3. Four days amekuwa na majadiliano, huku habari imekuja humu ndani juzi...so he must have had knowledge on this pre-released here on JF.
4. Presha toka kwa Pilato ina maana gani? Pilato sio hakimu?
5. I should stay out of this mess - kama ni uongo na habari za kutunga, how is it a mess? Au unamaana kuna kitu kimeshaharibika na kuchafua hali?
6. Kumalizia statement kwa kusema lisemwalo lipo, kama halipo basi linakuja, unaongelea kuhusu jamaa wa utamu kukamatwa au kuhusu Peter kuhusishwa?

just my take on this...Pole kwa wote walioumizwa na zeutamu, na pole kwa familia pia.
 
Kwa unasema leo nikiamua kuanzisha website inayomkashifu rais, na nchi kwa ujumla, haitakuwa kosa? Na je under private law - civil liability - defamation, Kikwete na wengine wote hawana kesi hapo? Sidhani kama sheria itashindwa kumkamata, labda wanasheria wa serikali wachoke tu. Na pili, serikali inaweza kupitisha sheria in the meantime bungeni.

Tatizo ni kwamba, tuna assume kwamba Tanzania inafuata sheria.Hasha.

Tanzania, hata kama kuna sheria ya kukufunga, nyota zako zikikaa sawa (familia, hela, influence etc) hufungwi ng'o, na ukifungwa yatapigwa makeke hata msamaha wa rais utatolewa. Na hata kama hakuna sheria ya kukufunga, wakikutaka watakupata tu, kwa chochote, utapigwa na trumped up charges ambazo zitazifanya za kodi za Pacino kuonekana child play.

Huyu bwana ana advantages za familia na uraia, lakini anakosemwa kugusa ni kubaya sana (Kikwete) kiasi kwamba hata familia nayo inabidi iende pole pole, ama sivyo itaonekana kama ilimtuma. Salvation yake nyingine ni uraia, lakini uraia huu wa kuchukua ukubwani waingereza wenyewe wanaweza kusema huyo mwanenu tumekurudishieni hatutaki beef na serikali yenu, especially zama hizi za ushirikiano mzuri wa law enforcement, kesho keshokutwa na sie tukiwataka kina Ghailani wetu msituwekee ntimanyongo, a fvaor for a favor.Kwa hiyo issue ya uraia kama hana base ya ku rally behind him (I am talking British citizens) watakaoandikia MPs wao na ku spin mambo ya human rights / freedom of speech violation, inaweza kuwa haina nguvu.Mara ngapi British subjects wanaoza Thailand kwa sababu ya ma drug deals? Tatizo linakuja kama kweli crime ilifanyika it can be debated kwamba haikufanyika Tanzania kwa maana ya kwamba servers zilikuwa Britain, lakini Watanzania kwa sababu hatuna precedent wanaweza kujinafasi na kusema the internet is bordeless na as long as broadcast/ publications zako zimefika Tanzania then you are liable to be tried in Tanzania under Tanzanian law.

At the end of the day I am convinced the guy will suffer but hardly do I imagine him doing time. Ila ndiyo kashatia doa kishenzi tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom