Ze Utamu blogger under arrest?

Ze Utamu blogger under arrest?

Status
Not open for further replies.
So far,chanzo pekee cha habari hii ni Chemi Chemponda na Blogu yake ya Swahilitime.Na sasa ame-update tetesi hizo kwa maneno yafuatayo:
Wadau, nitarudisha ile posti ya Ze Utambu Blogger kudakwa, mara ikithibitishwa kuwa ni kweli. Kama nilivyosema, nilitumiwa hiyo habari kwenye e-mail. Baada ya kuitazama vizuri zikuona 'accredited source'. Kwa sasa hebu ona macho yalivyo kwetu na hiyo suala ya Ze Utamu.

Ila kama ni kweli kuwa jamaa wa Ze Utamu wamekamatwa basi lazima niseme, serikali wamefanya kazi.

Na kwa jinsi watu wanavyopenda breaking news,TETESI ZINAZOJIFICHA KWENYE JINA LA BREAKING NEWS zimekuwa bonge la ishu.I hope huyo Mr Lusinde,kama hajakamatwa,atatoa fundisho kwa the Chemis wanaohangaika na breaking news.

Na kwa kuweka rekodi sahihi: Uingereza kama nchi haiwezi kukurupuka kumpeleka huyo mtu Tanzania akashtakiwe hadi pale itakaporidhika kuwa atatendewa haki.Na kwa asiyefahamu sheria za uhamiaji za nchi hii,hiyo ni process inayoweza kuchukua hata miaka miwili na ushee.Kama watuhumiwa wa ugaidi hawarejeshwi makwao KIHOLELA kwa vile nchi hizo zina rekodi chafu ya haki za binadamu,kwanini huyu "aliyepitiliza tu uhuru wake wa kutoa mawazo" arejeshwe TZ?

Let's be realistic,hivi tofauti kati ya zeutamu na magazeti ya Shigongo ni ipi?Au kwa vile Shigongo ameamua ku-institutionalize uchafu wake in the form of magazeti pendwa as he calls them?Na zaidi ya hapo,while two wrongs do not make a right,kwanini hizi resources za kumtafuta zeutamu kwa vile tu aliweka picha ya mtu anayefanana na JK (na wakitia timu mahakamani jamaa anaweza kushinda kwa utetezi kuwa hakuna mahala palipoandikwa jina la JK) zisielekezwe pia kumsaka yule jamaa aliyetuuzia rada feki au wamiliki wa Kagoda?
 
- Wakuu kumekuwa na tetesi ya hii habari kwa muda sasa, na hasa wiki iliyopita toka Jumapili nimejaribu sana kufuatilia kwa makini sana hii ishu kwa kujadiliana na wananchi mbali mbali wanaoifahamu, na ni muda mfupi tu uliopita nimeongea na mwenyewe mhusika akiwa akiwa anaendesha gari barabarani akitokea Birmingham kwenda nyumbani kwake,

- Na as a man na pia kama ndugu, nikamuuliza swali moja tu is it true or not, akanijibu kwamba he has absolutely nothing to do with it, na kwamba never katika anytime kuna yoyote kutoka kwenye authorities either ya Tanzania au ya UK amewahi kumuuliza anything on the ishu, sasa kama ndugu I take him at his word kwamba he is telling the truth and nothing but the whole truth.

- Nimeamua kuongea kama bina-adam, tena against ushauri wa wengi sana kwamba I should stay out of this mess, my heart goes kwa the victims wa hiyo kitu ambayo kwangu hata kuitaja nasikia chills mwilini kutokana na habari nyingi mbaya sana nilizowahi kuzisikia, binafsi nimewahi kuichungulia mara mbili tu, kwanza walipodhalilishwa marafiki wa karibu sana na familia yangu, na pili alipodhalilishwa Mheshimiwa rais, na ninamshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kuweza kufanikisha kuondolewa kabisa kwa hiyo kitu ambayo ninaiita mkono wa shetani.

- Lisemwalo lipo kama halipo basi linakuja, ni matumaini yangu kwamba authorities yetu wako on the top of this ishu, ni kukamatwa tu kwa owner ndiyo njia pekee ya kuelekea kwenye healing na recovery kwa victims ambao nasikia ni wengi sana wa hiyo kitu, ninawaombea Mungu awape baraka na spirit of quick recovery ingawa pia with the presha toka kwa pilato na this ishu in the last few weeks, baada ya hii topic nitajiweka kando rasmi na mitandao in general mpaka huko mbele ya safari ambako sijui itakuwaje na ni lini.

Ahsante Sana Wakuu.

William. - Community Organizer (CO)

Mkuu William ahsante kwa kutupa taarifa ya ufafanuzi, ambayo inatuwezesha wengine kuunganisha dots.. taarifa ilisema mhusika ameshaletwa Bongo, na hii inasema kuwa anaendesha gari kutoka Birmingham na hajawahi kuwa contacted na authority yeyote regarding the issue. Inaonyesha tunajaribu kufuatilia hearsays, ????????
Kuna maelezo yoyote kuhusu bold in red mkuu?
 
Exactly.Ndio maana kuna umuhimu wa BREAKING NEWS kuonyesha bayana chanzo chake ni wapi!

Invisible,nashauri ihamishiwe kwenye TETESI.
 
So far,chanzo pekee cha habari hii ni Chemi Chemponda na Blogu yake ya Swahilitime.Na sasa ame-update tetesi hizo kwa maneno yafuatayo:

Na kwa jinsi watu wanavyopenda breaking news,TETESI ZINAZOJIFICHA KWENYE JINA LA BREAKING NEWS zimekuwa bonge la ishu.I hope huyo Mr Lusinde,kama hajakamatwa,atatoa fundisho kwa the Chemis wanaohangaika na breaking news.

Na kwa kuweka rekodi sahihi: Uingereza kama nchi haiwezi kukurupuka kumpeleka huyo mtu Tanzania akashtakiwe hadi pale itakaporidhika kuwa atatendewa haki.Na kwa asiyefahamu sheria za uhamiaji za nchi hii,hiyo ni process inayoweza kuchukua hata miaka miwili na ushee.Kama watuhumiwa wa ugaidi hawarejeshwi makwao KIHOLELA kwa vile nchi hizo zina rekodi chafu ya haki za binadamu,kwanini huyu "aliyepitiliza tu uhuru wake wa kutoa mawazo" arejeshwe TZ?

Let's be realistic,hivi tofauti kati ya zeutamu na magazeti ya Shigongo ni ipi?Au kwa vile Shigongo ameamua ku-institutionalize uchafu wake in the form of magazeti pendwa as he calls them?Na zaidi ya hapo,while two wrongs do not make a right,kwanini hizi resources za kumtafuta zeutamu kwa vile tu aliweka picha ya mtu anayefanana na JK (na wakitia timu mahakamani jamaa anaweza kushinda kwa utetezi kuwa hakuna mahala palipoandikwa jina la JK) zisielekezwe pia kumsaka yule jamaa aliyetuuzia rada feki au wamiliki wa Kagoda?

Ile kuweka Habari kwa usahihi zaidi ni vyema "Thread Mama" ibadilishwe Heading na Habari nzima kubaki kama Tetesi.Ni vyema chanzo cha habari kiangaliwe upya.....Vinginevyo sisi (Jamii forum) tutakuwa tunapenyeza habari ambazo hazina uhakika! na kuonekana tunashangilia/shabikia udaku.
 
Exactly.Ndio maana kuna umuhimu wa BREAKING NEWS kuonyesha bayana chanzo chake ni wapi!

Invisible,nashauri ihamishiwe kwenye TETESI.

Tatizo ni pale ambapo picha na jina la mtu vimewekwa wazi kwamba ndiye mhusika wa uhalifu, tunaambiwa ameshasafirishwa kuja Bongo, taarifa zingine zinasema mhusika hana taarifa. Hapo ndipo ninapata ????? nyingi sana, kabla sijaspeculate zaidi nadhani kuna kitu hakipo sawa hapo!!
 
- Wakuu kumekuwa na tetesi ya hii habari kwa muda sasa, na hasa wiki iliyopita toka Jumapili nimejaribu sana kufuatilia kwa makini sana hii ishu kwa kujadiliana na wananchi mbali mbali wanaoifahamu, na ni muda mfupi tu uliopita nimeongea na mwenyewe mhusika akiwa akiwa anaendesha gari barabarani akitokea Birmingham kwenda nyumbani kwake,

- Na as a man na pia kama ndugu, nikamuuliza swali moja tu is it true or not, akanijibu kwamba he has absolutely nothing to do with it, na kwamba never katika anytime kuna yoyote kutoka kwenye authorities either ya Tanzania au ya UK amewahi kumuuliza anything on the ishu, sasa kama ndugu I take him at his word kwamba he is telling the truth and nothing but the whole truth.

- Nimeamua kuongea kama bina-adam, tena against ushauri wa wengi sana kwamba I should stay out of this mess, my heart goes kwa the victims wa hiyo kitu ambayo kwangu hata kuitaja nasikia chills mwilini kutokana na habari nyingi mbaya sana nilizowahi kuzisikia, binafsi nimewahi kuichungulia mara mbili tu, kwanza walipodhalilishwa marafiki wa karibu sana na familia yangu, na pili alipodhalilishwa Mheshimiwa rais, na ninamshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kuweza kufanikisha kuondolewa kabisa kwa hiyo kitu ambayo ninaiita mkono wa shetani.

- Lisemwalo lipo kama halipo basi linakuja, ni matumaini yangu kwamba authorities yetu wako on the top of this ishu, ni kukamatwa tu kwa owner ndiyo njia pekee ya kuelekea kwenye healing na recovery kwa victims ambao nasikia ni wengi sana wa hiyo kitu, ninawaombea Mungu awape baraka na spirit of quick recovery ingawa pia with the presha toka kwa pilato na this ishu in the last few weeks, baada ya hii topic nitajiweka kando rasmi na mitandao in general mpaka huko mbele ya safari ambako sijui itakuwaje na ni lini.

Ahsante Sana Wakuu.

William. - Community Organizer (CO)

Mkuu hilo linatosha, asante sana ujumbe umefika.
 
Ngojeni kwanza wajameni! Yaani bw. William kaja hapa kasema kwamba tumdhaniye ndiye kumbe siye, basi tunaamua kumwamini huyu bwana na kwenda majumbani kulala? Mkesha umekwisha!

Huyu bwana ni nguguye na huyo tuliyemkeshea toka jana. Alosema lilikuwa latabirika kabisa kutoka kwake. Je ni vipi kama akiwa ametumwa kuja kutuambia tukalale ingali "wazee" wanafanya utaratibu wa kuzima mambo?

Ngoja nijisemee ukweli miye. Kwa jinsi Invisible alivyokuja kwenye hii ishu ni lazima atakuwa anajua ukweli. Na ukisoma kwa makini maandishi ya huyu roboti, utaona kwamba yale maandishi yanamwelemea huyu tuliyemkeshea.

Sasa tujiulize - nani anasema ulongo hapa?
 
Mkuu Babu Swahili, nimetangulia kueleza kwamba huyu sio wa kwanza kutajwa kwamba ndiye mmiliki wa ze utamu. Walishatajwa wengi hapo awali na baadae ikaonekana sio kweli. Source ya hii habari ni blog ya Chemi Chemponda ambaye naye kwa sasa tayari amebadilisha hilo toleo lake na kusema atatoa taarifa endapo habari hizo zitathibitika kuwa kweli.

Ni vizuri tukaenda kulala kwa amani tukujua habari zilizoletwa mbele yetu zina walakini.

Tiba
 
1.William anaweza kusema ukweli, usim "misunderestimate"

2.I suspect serikali ya Tanzania iliiomba tu serikali ya Uingereza kuisaidia kumtafuta huyu bwana.Kwa vile sasa hivi with terrorism and all serikali za magharibi zinakuwa very eager ku cooperate, hasa kwa kesi kama hizi, hapa serikali ya Uingereza imeshaifanyia favor serikali ya Tanzania basically kwa kum order ISP tu afanye tracking na kuangalia malipo ya credit card, ambayo huyu bwana alikuwa majununi kalagabaho kiasi cha kutumia credit card zake mwenyewe na kuacha a paper trail that is longer than the Nile.Kwa hiyo inawezekana kwamba kuna ki effort cha ufuatiliaji kimetumiwa lakini sioni kama kumfuatilia mtu kwa ISP na kutrack credit card kutatumia hela nyingi.

Bottom line, tusitake kutumia kesi kubwa za mafisadi ku excuse hizi tabia chafu.Ningependa kuona watu wakiipa pressure serikali kwamba kumbe ikiamua kufuatilia vitu inaweza, kwa nini isifuatilie maswala ya EPA na ubadhirifu mkubwa mwingine?

Mkuu Bluray,

Sija "underestimate" mkuu William hata kidogo lakini nilichojaribu kusema ni ngumu William kuja hapa akasema ni kweli ndugu yangu ndiye aliyekuwa anamiliki ze utamu. Hata hivyo tayari ametoa maelezo yake yanayoonyesha kwamba ndugu yak hausiki na wala hajawahi kuulizwa chochote na yeyote juu ya habari hii.

Tuliambiwa ameisharudshwa Tanzania ili kujibu mashtaka!!!!!!!

Tiba
 
Ukoo huu umeutaka URAIS wa Nchi hii kwa UDI na UVUMBA tangu mwaka 1995. Nadhani kijana wao huyu hajaridhika na kuukosa Urais kwenye ukoo wao. Njia hii anayotumia sasa ndio inaelekea kumliwaza kidogo ingawa itakuwa imemuumiza sana Mzee wetu JSM.

Mkuu,
Ninashusha pumzi taratiibuu ili nipate wasaa wa kutafakari zaidi!!!!
 
Binafsi nayaamini maneno ya William kwasasa. Mmiliki wa ze utamu lazima atafutwe na apatikane, hata hivyo zoezi hilo linapaswa kutowa-victimize watu wasiohusika. Kwa hali ilivyosasa mtu yeyote atakaye tajwa kumiliki huo mtandao atachukiwa na jamii hata kupewa hukumu ya 'wenyehasira' bila hata kutafuta ukweli. So, lets be careful with these hear say.
 
- Wakuu kumekuwa na tetesi ya hii habari kwa muda sasa, na hasa wiki iliyopita toka Jumapili nimejaribu sana kufuatilia kwa makini sana hii ishu kwa kujadiliana na wananchi mbali mbali wanaoifahamu, na ni muda mfupi tu uliopita nimeongea na mwenyewe mhusika akiwa akiwa anaendesha gari barabarani akitokea Birmingham kwenda nyumbani kwake,

- Na as a man na pia kama ndugu, nikamuuliza swali moja tu is it true or not, akanijibu kwamba he has absolutely nothing to do with it, na kwamba never katika anytime kuna yoyote kutoka kwenye authorities either ya Tanzania au ya UK amewahi kumuuliza anything on the ishu, sasa kama ndugu I take him at his word kwamba he is telling the truth and nothing but the whole truth.

- Nimeamua kuongea kama bina-adam, tena against ushauri wa wengi sana kwamba I should stay out of this mess, my heart goes kwa the victims wa hiyo kitu ambayo kwangu hata kuitaja nasikia chills mwilini kutokana na habari nyingi mbaya sana nilizowahi kuzisikia, binafsi nimewahi kuichungulia mara mbili tu, kwanza walipodhalilishwa marafiki wa karibu sana na familia yangu, na pili alipodhalilishwa Mheshimiwa rais, na ninamshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kuweza kufanikisha kuondolewa kabisa kwa hiyo kitu ambayo ninaiita mkono wa shetani.

- Lisemwalo lipo kama halipo basi linakuja, ni matumaini yangu kwamba authorities yetu wako on the top of this ishu, ni kukamatwa tu kwa owner ndiyo njia pekee ya kuelekea kwenye healing na recovery kwa victims ambao nasikia ni wengi sana wa hiyo kitu, ninawaombea Mungu awape baraka na spirit of quick recovery ingawa pia with the presha toka kwa pilato na this ishu in the last few weeks, baada ya hii topic nitajiweka kando rasmi na mitandao in general mpaka huko mbele ya safari ambako sijui itakuwaje na ni lini.

Ahsante Sana Wakuu.

William. - Community Organizer (CO)

mkuu William,kwanza pole kwa maswahibu..
naomba uniweke sawa kidogo..
post yako ya awali ulisema umekuwa na 'mazungumzo' na mamlaka zilizo karibu na hili suala kwa takriban siku nne hivi zilizopita,naamini yalikuwa yanahusiana na tunachojadili hapa,unaweza kutufafanulia kidogo?
halafu,wakati unajadiliana na hizo 'mamlaka' kuhusu suala linalomuhusu mdogo wako,hukuwa umeongea nae tayari na kujua kama anahusika ama la mpaka ulipompigia simu wakati akiendesha toka birmingham jioni hii kaka?
 
Kama imewahi tokea kwamba MPLusinde aliwahi kuchangia ZeUtamu then he deserve to be behind bars as he is one of the fucked up shits who were stupid enough to think that they are not visible

so far hakuna lilolosemwa juu ya yeye kuchangia kwenye huo mtandao. Lilolosemwa ni yeye kuwa mmiliki huku akisaidiwa na jamaa wawili wanaoishi USA. Sheria haimpi unafuu accomplience.

Just curous how WILLIAM and sauti ya mbao wataishia wapi kila kitu kikipoa

umh! hii, unaweza kuwa uchokozi.
 
- Wakuu kumekuwa na tetesi ya hii habari kwa muda sasa, na hasa wiki iliyopita toka Jumapili nimejaribu sana kufuatilia kwa makini sana hii ishu kwa kujadiliana na wananchi mbali mbali wanaoifahamu, na ni muda mfupi tu uliopita nimeongea na mwenyewe mhusika akiwa akiwa anaendesha gari barabarani akitokea Birmingham kwenda nyumbani kwake,

- Na as a man na pia kama ndugu, nikamuuliza swali moja tu is it true or not, akanijibu kwamba he has absolutely nothing to do with it, na kwamba never katika anytime kuna yoyote kutoka kwenye authorities either ya Tanzania au ya UK amewahi kumuuliza anything on the ishu, sasa kama ndugu I take him at his word kwamba he is telling the truth and nothing but the whole truth.

- Nimeamua kuongea kama bina-adam, tena against ushauri wa wengi sana kwamba I should stay out of this mess, my heart goes kwa the victims wa hiyo kitu ambayo kwangu hata kuitaja nasikia chills mwilini kutokana na habari nyingi mbaya sana nilizowahi kuzisikia, binafsi nimewahi kuichungulia mara mbili tu, kwanza walipodhalilishwa marafiki wa karibu sana na familia yangu, na pili alipodhalilishwa Mheshimiwa rais, na ninamshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kuweza kufanikisha kuondolewa kabisa kwa hiyo kitu ambayo ninaiita mkono wa shetani.

- Lisemwalo lipo kama halipo basi linakuja, ni matumaini yangu kwamba authorities yetu wako on the top of this ishu, ni kukamatwa tu kwa owner ndiyo njia pekee ya kuelekea kwenye healing na recovery kwa victims ambao nasikia ni wengi sana wa hiyo kitu, ninawaombea Mungu awape baraka na spirit of quick recovery ingawa pia with the presha toka kwa pilato na this ishu in the last few weeks, baada ya hii topic nitajiweka kando rasmi na mitandao in general mpaka huko mbele ya safari ambako sijui itakuwaje na ni lini.

Ahsante Sana Wakuu.

William. - Community Organizer (CO)

Mkuu William,

Poleni na mambo haya. Kama ni kweli kuwa Peter anasingiziwa basi tumwombee ili aepushwe na matatizo ya kupakaziwa. Labda ungemuuliza kwa nini amefunga akaunti yake ya www.hi5.com [hii hapa] kama alivyojieleza kwenye website [hii hapa]. Je, Peter ni raia wa Tanzania au Uingereza au ana duo nationality? Kwenye hiyo website anaonyesha kuwa ni National na Citizen wa Tanzania na United Kingdom.

Poleni Mkuu, tusubiri pale ukweli utapopatikana.
 
unajuwa uyu jamaa ni very intelectual sana tena sana, ila kwa upande mmoja alilekebisha tabia ila kwa rahisi wetu mpenzim ndipo alichemka, aya tunataka tuone mwishon wake
 
It to early to say anything lakini kilicho bayana ni kwamba chanzo cha habari hiyo-blogu ya Chemi che Mponda-kimeshaonyesha kuwa na walakini.Halafu Chemi mwenyewe anajitambulisha kama "amewahi kuwa SENIOR REPORTER wa Daily News kwa miaka kadhaa".Ungetaraji SENIOR REPORTER awe makini kutofautisha TETESI na HABARI KAMILIFU.

Tuangalie pande zote mbili za shilingi.Kuweka picha ya huyo anayedaiwa kuwa ndio mwenye zeutamu ilhali hakuna uthibitisho ni jambo lisilopendeza hata kidogo even if wengi wetu tungependa kujua WHO'S THE UTAMU.Lakini tumjue kwa njia sahihi na wala sio speculative.What is being done is exactly the same as what zeutamu did to make himself the most popular hated figure in the history of Tanzanian online media.How do we know kwamba hiyo source ya habari haina beef na mtuhumiwa?Zeutamu ililaumiwa zaidi,si kwa kuwataja wazinzi hadharani,bali ku-intertain beefs za watu binafsi (waliotalikiana/walioomba wakanyimwa/nk).

I wouldn't be surprised if someone gets sued for this make-believe rumour.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom