Ze Utamu blogger under arrest?

Ze Utamu blogger under arrest?

Status
Not open for further replies.
Defamation ni civil case kwa hiyo humo polisi na Interpol hawatakuwepo hata siku moja.

Pia mnachanganyana, Marekani hauwezi kumshitaki mtu (na kushinda) for defamation kwa sababu mtu analindwa na first amendment ya constitution ya marekani, ndo maana Flint akashinda kesi yake.
Uingereza ndo unaweza, lakini punishment za civil case ni malipo tu hakuna kifungo.
 
MIMI ningekuwa MALE,ningeomba ushauri kwa lawyer wangu,maana hii kitu imeniodolea uhuru wangu,imenialienate na society,imenifanya kila saa ni watch my back na virtually imenifanya niwe a prisoner in my own home-yote haya yameletwa na unfounded accusations,kama raia serikali ingewajibika kuhakikisha my life as much as possible inarudi as before-hapa ndugu MALE,nimjuavyo mimi muingereza kuna ulaji,changamkia tender.
 
Kwa kweli kuna watu humu sikudhani hata siku moja kama watakuja kumuogopa mtu.Mtu kama invisible,NN,GT are always firm.Katika thread hii mmekuwa tofauti kabisa.any way binafsi nawaomba pindi mtakapo ona ni wakati muafaka mtuambie mlikuwa mnaogopa nini labda tutawaelewa.

Ni kweli suasua yao ya kutomtaja ilinipa wasiwasi,mamshukuru mizani kwa ushujaa wake maana ndo wakwanza kuiweka jamvini ndo itatoka rasmi baadaye.
 
Something doesn't add up....

to me, hapa kuna hidden information:

1. Kwa nini ajiweke kando kutoka mitandaoni?
2. Kasema mpaka huko mbele ya safari ambako sijui itakuwaje? Kwani sasa ivi ikoje?
3. Four days amekuwa na majadiliano, huku habari imekuja humu ndani juzi...so he must have had knowledge on this pre-released here on JF.
4. Presha toka kwa Pilato ina maana gani? Pilato sio hakimu?
5. I should stay out of this mess - kama ni uongo na habari za kutunga, how is it a mess? Au unamaana kuna kitu kimeshaharibika na kuchafua hali?
6. Kumalizia statement kwa kusema lisemwalo lipo, kama halipo basi linakuja, unaongelea kuhusu jamaa wa utamu kukamatwa au kuhusu Peter kuhusishwa?

just my take on this...Pole kwa wote walioumizwa na zeutamu, na pole kwa familia pia.

Kuna thread FMES alipost jumamosi au jumapili iliyopita akizungumzia kuwa "ni mtoto wa mkubwa ndio aliitengeneza ile picha ya JK na kuiupload online na wanamfuatilia" isitoshe Invisible alishasema "ni mtoto wa kigogo na anakaa UK" hii ilikuwa Oct/Nov 2008
 
Vipi issue ya kuiba picha za mtu kutoka facebook/hi5/myspace na kuzibandika kwenye mtandao mwingine bila ridhaa ya mhusika hakuna kesi hapo? Unachotakiwa kufanya ni kuthibitisha tuu kuwa picha ziliibiwa.
 
MIMI ningekuwa MALE,ningeomba ushauri kwa lawyer wangu,maana...

...ndugu MALE,nimjuavyo mimi muingereza kuna ulaji,changamkia tender.

...kama raia serikali ingewajibika kuhakikisha my life as much...

Kwani serikali ndio imetangaza Male ni Utamu? Hii habari Male=Utamu
imetokea wapi?

Li chain e-mail linasambazwa hewani kuwa Male ni Utam, watu rrrrr....lets sue! Sue who?

Ungekuwa Male ungetafuta lawyer ila umshtaki nani, Nyani Ngabu aliyeanzisha thread?
 
Kwani serikali ndio imetangaza Male ni Utamu? Hii habari Male=Utamu imetokea wapi?

Li chain e-mail linasambazwa hewani kuwa Male ni Utam, watu rrrrr....lets sue! Sue who?

Ungekuwa Male ungetafuta lawyer ila umshtaki nani, Nyani Ngabu aliyeanzisha thread?
the question in point is not about suing,suala ni raia kuogopa the unknown after hizo revelations kwa hiyo serikali inakutuliza hili life yako iwe as normal as possible,in other words serikali inakupa MSAADA wa relocation,security etc etc.lawyer anakusaidia kudraft mambo ili uvute the maximum availabe.uwiano maalum hii ni dunia ya kwanza bana hela zinaota juu ya miti ni janja yako tu kuzipata
 
Ungekuwa Male ungetafuta lawyer ila umshtaki nani, Nyani Ngabu aliyeanzisha thread?

Hakuna mtu aitwaye Nyani Ngabu bana...sasa utalishitaki linani? Li ghost?

Plus, huyo so called Nyani Ngabu hakutaja jina la mtu....sasa hata kumshitaki utamshitaki kwa misingi ipi?
 
Last edited:
He rose suddenly from the IT World, conquering the corridors of celebrities in Tanzania due to his ability to post damning pictures online with some of these pictures showing celebs and politicians naked, before he was nabbed this week in Essex, UK.

The man behind the reckless website that has highly damaged the reputation of over 6,000 Tanzanians including the head of state was arrested in a well planned move coordinated by the Tanzania intelligence community and their counterparts from UK and Israel, The Guardian on Sunday has learnt.

According to the well placed sources within the Interpol, just a few days after the report that damning cropped pictures purportedly showing the head of state were posted online, the intelligence communities tasked its IT experts to track down the culprit behind the defamatory website.

To nab the host of the website, local IT experts from the intelligence communities contracted their counterparts from Israel who helped tracing the real host and author of the popular website.

After conducting a thorough investigation to various local Internet Service Providers, it was concluded that the server that host the website originated in the United Kingdom.

This, according to sources, was reached after analysing over one hundred posts posted in the website whereby their origins finally showed the country's code used in hosting internet services.

Following that link, local IT experts from Intelligence Communities contacted their counterparts in UK mainly from MI5, in order to establish the person behind the website.

The investigation within UK was conducted by experts whereby finally the real suspect behind the website was located after his Internet Service Provider was identified.

The ISP provider was interrogated thoroughly and finally the experts established the real identity of the man whose website has defamed and offended a total of 6,080 prominent Tanzanians, including politicians, celebrities and others.

The dramatic move by the local intelligence communities is the first to be done in East Africa in cracking down online crimes, sending an alarming message to the growing number of bloggers inside and outside the country.

Perhaps the most disturbing question is that the man behind this damning website is a highly trained IT expert who was educated by taxpayers' money and has a link to some of the prominent political figures in the country.

The investigators are still conducting thorough investigations to establish other local suspects who have been collaborating with the blogger to post damning and defamatory pictures online during the past few months.

After concluding their findings, the investigators tipped Interpol as required by international law in order to arrest the suspect.

Interpol working on the tips from intelligence officials raided the home of the suspect early this week in Essex, UK, and arrested the suspect who is a Tanzanian national.

The Tanzanian national aged 39 years old is an expert in IT with strong command in both written and oral English, Chinese and Swahili languages.

"When you rattle the snake get prepared for its reactions…You can't mess around with people including the head of state and expect to walk freely, " a senior official from the Interpol told The Guardian on Sunday under conditions of anonymity.
 
Last edited:
He rose suddenly from the IT World, conquering the corridors of celebrities in Tanzania due to his ability to post damning pictures online with some of these pictures showing celebs and politicians naked, before he was nabbed this week in Essex, UK.

The man behind the reckless website that has highly damaged the reputation of over 6,000 Tanzanians including the head of state was arrested in a well planned move coordinated by the Tanzania intelligence community and their counterparts from UK and Israel, The Guardian on Sunday has learnt.

According to the well placed sources within the Interpol, just a few days after the report that damning cropped pictures purportedly showing the head of state were posted online, the intelligence communities tasked its IT experts to track down the culprit behind the defamatory website.

To nab the host of the website, local IT experts from the intelligence communities contracted their counterparts from Israel who helped tracing the real host and author of the popular website known as zeutamu

After conducting a thorough investigation to various local Internet Service Providers, it was concluded that the server that host the website originated in the United Kingdom.

This, according to sources, was reached after analysing over one hundred posts posted in the website whereby their origins finally showed the countrys code used in hosting internet services.

Following that link, local IT experts from Intelligence Communities contacted their counterparts in UK mainly from MI5, in order to establish the person behind the website.

The investigation within UK was conducted by experts whereby finally the real suspect behind the website was located after his Internet Service Provider was identified.

The ISP provider was interrogated thoroughly and finally the experts established the real identity of the man whose website has defamed and offended a total of 6,080 prominent Tanzanians, including politicians, celebrities and others.

The dramatic move by the local intelligence communities is the first to be done in East Africa in cracking down online crimes, sending an alarming message to the growing number of bloggers inside and outside the country.

Perhaps the most disturbing question is that the man behind this damning website is a highly trained IT expert who was educated by taxpayers money and has a link to some of the prominent political figures in the country.

The investigators are still conducting thorough investigations to establish other local suspects who have been collaborating with the blogger to post damning and defamatory pictures online during the past few months.

After concluding their findings, the investigators tipped Interpol as required by international law in order to arrest the suspect.

Interpol working on the tips from intelligence officials raided the home of the suspect early this week in Essex, UK, and arrested the suspect who is a Tanzanian national.

The Tanzanian national aged 39 years old is an expert in IT with strong command in both written and oral English, Chinese and Swahili languages.

When you rattle the snake get prepared for its reactionsYou cant mess around with people including the head of state and expect to walk freely, a senior official from the Interpol told The Guardian on Sunday under conditions of anonymity.
:: IPPMEDIA
 
Mwanafalsafa1,

Link ya hii ishu iko wapi?

Jamaa ni mbongo ama muingereza?

Just asking bro.
 
Jamaa amemchafua sana baba yake na familia yake yote.....
 
Maneno meengi hamna alichosema, eti ISP provider!

Jamani hivi hawa watu hawana proofreaders? OK content tutawasamehe, hata pesentation nayo? Yaani ki issue cha kumnab mtu careless asiyejua kazi kwa ma traceroute na whois pamoja na kumbana ISP mnataka kuki sensationalize kama mmevunja encryption system ya Fort Knox?

Yaani hii issue ndiyo waliomba msaada Israel? Kweli wakati umefika turudi nyumbani kuchukua kazi, kama watatupa. But then again the paltry pay will probably kill us or turn us into mini fisadis.

Wabongo kwa kukuza issue!
 
Inasemekana kawataja wengi, waliokuwa wakimtumia emails.

Ikumbukwe kuwa email yake ilichukuliwa na Google (take over) na hakuwa na access nayo tena.

Mh, hatari...
 
Inasemekana kawataja wengi, waliokuwa wakimtumia emails.

Ikumbukwe kuwa email yake ilichukuliwa na Google (take over) na hakuwa na access nayo tena.

Mh, hatari...

Mkuu kuna habari zipo karibia mitandao yote kwa sasa zinadai kuwa wewe ni mtu wakaribu sana na mmiliki wa Zeutamu.unaweza kutumbia ni ukaribu gani huo ulio nao na huyu mmiliki wa utamu?
 
Friday, June 19, 2009
Ze Utamu blogger under arrest

Ni Ndg. Malecela Peter Lusinde

Polisi wa Tanzania kwa kushirikiana na Polisi wa Kimataifa (Interpol),wamefanikiwa kumshika Raia mmoja wa Uingereza ambaye ana asili ya Tanzania Ndg Malecela Peter Lusinde (pichani) mwenye umri wa miaka 39 na kutuhumiwa kwa kuundesha mtandao wa Ze Utamu.Ndugu Malecela ambaye anajulikana pia kwa jina la "Male" ni Mtaalamu wa kompyuta na ana uwezo wa kuzungumza na kuandika Kiingereza, kiswahili na kichina ana makazi katika mji wa Essex nchini Uingereza.

Wataalamu wa Idara ya upelelezi kutoka Tanzania wakishirikiana na wenzao wa Uingereza wamefanikiwa kuonana na Ndg Male na kupata ushahidi wa kutosha kwamba ndiye alikuwa mmiliki wa Mtandao huo.Idara ya Upelelezi na polisi wa Uingereza wameutaarifu Ubalozi wa Tanzania mjini London kuhusu suala hilo.Maofisa Ubalozi Mr.Clement Kiondo na Amos Msanjila wamefahamishwa jambo hilo.Malecela ni Mtoto wa Mzee Job Lusinde ambaye amewahi kufanya kazi kwenye nyadhifa mbalimbali za utumishi wa serikali Nchini Tanzania.

Habari zilizothibitishwa zinadai kuwa Ndg Malecela amerudishwa Tanzania kwenda kujibu tuhuma mbalimbali za kuendesha mtandao uliokuwa unadhalilisha watu,kuna malalamiko 6850 yaliyoandikishwa kulaumu udhalilishwaji wa watu uliofanywa na mtandao huo,Mtandao huo ulisimamishwa mwanzoni mwa mwezi wa pili kwa maombi ya serikali ya Tanzania baada ya kutoa picha ya kumdhalilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete,ufuatiliaji uliofanywa baada ya picha hiyo ndio umepelekea kukamatwa kwa Ndg Malecela.

Haijaeleweka wazi Ndg Malecela atashitakiwa kwa sheria gani? Lakini ni wazi kwamba atashitakiwa Nchini Tanzania.Licha ya Ndg. Malecela Polisi wa Upelelezi wamezungumza na Watanzania wengine wawili katika miji ya Wichita na San Diego Nchini Marekani,ambao pia wanahusishwa na Mtandao huo wa Ze Utamu.
 
Mkuu kuna habari zipo karibia mitandao yote kwa sasa zinadai kuwa wewe ni mtu wakaribu sana na mmiliki wa Zeutamu.unaweza kutumbia ni ukaribu gani huo ulio nao na huyu mmiliki wa utamu?
Hahaha,

Ni kweli, mimi wewe na wengine sote tuna ukaribu na mmiliki wa Ze Utamu. Ni mwanachama wa JF na unaweza kufuatilia kuangalia wakati anai-promote tovuti yake hapa:

https://www.jamiiforums.com/313709-post226.html

na hapa:

https://www.jamiiforums.com/314650-post230.html

katika hii topic: https://www.jamiiforums.com/habari-...ze-utamu-blog-ni-aibu-kubwa-mno-kwa-taifahtml

Kwakuwa umeniuliza nikakujibu huenda nami ukanijibu nikikuuliza:

Hivi nani kakuambia hayo mkuu josm?
 
Mkuu Invisible naskia hata watu walio kuwa wakicomment tutafuatiliwa sasa sijui hii ishu imekaaje maana hata serikali naona haijatamka lolote au wameshaona jamaa hana kesi ya kujibu?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom