Ze Utamu blogger under arrest?

Status
Not open for further replies.

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,227
113,584
Nyepesi nilizopenyezewa sekunde chache zilizopita zinadokeza kuwa mmiliki wa ZeUtamu yuko karibu kuwekwa chini ya ulinzi bongo.....stay tuned...more to come
 
Last edited by a moderator:
Nyepesi nilizopenyezewa sekunde chache zilizopita zinadokeza kuwa mmiliki wa ZeUtamu yuko karibu kuwekwa chini ya ulinzi bongo.....stay tuned...more to come
Niliwaonya juu ya namna wanayotumia katika kumuandama huyu jamaa.

Naona bado wanaendelea tu, impact yake nadhani wako tayari kukabiliana nayo.

Walinywea baada ya kujua ni mtoto wa 'mwenzao' leo wameamua kumbana na kumrudisha Tz?

Ngoja tusikie ni mashtaka gani atafunguliwa. Family yake itakubali?
 
Yeah...ni kido wa mwenzao.....hehehehe bongo ndogo sana
 
Invisible hebu mwaga 411 zaidi....watu mtashangaa mkitajiwa jina lake...bongo ndogo jamani
 
yani nipo nje ya loop kabisa,kwa hisani yenu mnitajie ni nani twende pamoja wakuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom