Yona F. Maro
R I P
- Nov 2, 2006
- 4,201
- 254
Hata wewe si mtoto wa kigogo
Huyu Peter kachemsha sana lakini na wale watu waliokuwa wanaposti picha za wenzao kwa sababu zao binafsi hasa za kichuki tunawaweka kundi gani? Manake sio picha zote zilikuwa zinawekwa na Peter. Hawa nao pia wamechangia sana Zeutamu kuwepo. Watanzania imefika mahali elimu yetu isiishie madarasani tu, tu-apply pia kwenye maisha ya kidunia! Lets be civilized!
Tangu mwanzo nilisema huyu owner wa hii blog atakuwa ni toto la dosi lililosomeshwa wajela jela academia na kugombezwa hujamaliza mayai hakuna kwenda kucheza. Halijui shida na hivyo halikujua hata implication ya linalofanya. Gademu, tena huko huko Keko kuna watu wamefungwa kwa sababu ya blog hiyo kwa maana ya boyfriend/girlfriend kukuta picha jamvini, extra naked na mazengo yake, kisha shambulio la aibu, kesi then keko. Sasa lazima wamrekebishe tabia huyu jamaa. Kilio changu ni apelekwe keko tu ili afunzwe na ulimwengu kwani wazazi wake walijifanya kumwacha kwa kumpenda sanaaa! Baya hutokea kwa baya. I am very sorry for being so optimistic BUT no way.
Kaswaiba Zeutamu is gone,kalikuwa kanafunza adabu mafuska,kosa pekee tu ni la kugusa Mkuu wa Nchi.Wanaolalamika waulizwe walikuwa wapi hadi wapigwe picha za utupu?
Ili waonekane walikuwa wanawajua toka mwanzo pengine kushirikiana nao au ? Si yule anasema alishakuwa anamjua peter na alimuonya mara kibao kuhusu blogu yake muulize huyo huyo sasa akuambie alimuonya wapi walikutana wapi ili ujue uhusiano wao
wakuu,shughuli si imeshakwisha hii??mnasita nini kutuwekea majina ya washirika wake tuwajue nao??
i am touched, ingawa siamini kama kweli huyo dogo ndio mwenyewe, i have a hunch kuwa dogo anafanywa scapegoat kutokana na ile picha ya kumdhalilisha rais. somebody has to be held responsible and this is what I think is happening
i am touched, ingawa siamini kama kweli huyo dogo ndio mwenyewe, i have a hunch kuwa dogo anafanywa scapegoat kutokana na ile picha ya kumdhalilisha rais. somebody has to be held responsible and this is what I think is happening
ahhh akishasoma ndio iweje?
miguu hana halafu anataka kushindana na wanaokimbia
wapiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!