Nduka
JF-Expert Member
- Dec 3, 2008
- 8,552
- 2,385
- Heshima kwa wakuu wote JF,in another few hours nitatoa tamko langu binafsi na rasmi on this ishu. For the last Four days nimekua na majadiliano mazito sana between forces close tothis ishu, na hasa founder wa JF Mkulu Max, ninaamini leo ni wakati muafaka nikasema something, nitarudi soon.
Ahsanteni.
William - Community Organizer (CO)
Du samahani kama nitakuwa nimetaharuki,mzee haukutakiwa kuja kutuambia tukusubiri utarudi kutoa tamko,ungekuja ukiwa kamili japo sioni sababu za wewe kufanya hivyo.Upuuzi wa mpwa wako hauwezi kukuweka wewe hatiani.Nakusihi mkuu achana na Male abebeshwe mzigo wake,kwani ni nani anaweza kusema familia yao ipo perfect?Kama kila mtu humu akitakiwa ajibu madhambi ya ndugu zake tutaweza kujadili mambo mengine.Kwa wengine tafadhari tumuache willy apumzike kwani mkasa huu umeitikisa familia yao kitu cha mwisho ni kumuomba atoe tamko,tuwe na huruma atleast for this matter.