Tongue blister
JF-Expert Member
- Jun 19, 2009
- 362
- 11
Hutaki sasa ?
Blog zoooote za wabongo habari hiyo hiyo, tena copy paste, nyingine bila hata kutoa credit.
Ajabu sana.
Watoe credit kwa nani?
William Malecela ya kweli haya? Nduguyo alikosa adabu hivyo au vipi? Mimi nilifikiri "nobility" yetu ingefanya better than this, especially the Lusinde-Malecelas ambao largely wame stay scandal free.Kama ni kweli nini kinamsibu mpaka kujihusisha na hii enterprise ya aibu? Alikosa shughuli ya kufanya au uhayawani tu?
Au anakuwa set up tu? Maana watu wanaweza kumzushia mtu kitu tu, kama kazushiwa tunategemea maelezo ya kumsafisha yatolewe, hasa kwa sababu kuna nduguye ni prominent member humu.Kutotoa ufafanuzi kutakuwa ni sawa na kukubali kwamba anahusika.
Katika disappointment zote za "wakubwa" wetu sikutegemea kituko kama hiki, hata kwenye debauchery haiko ni sheer lunacy.
Whither "Noblesse Oblige" ?
Wakitaka hata ya "babu seya" yaweza tumika.....kijana anavuta ndevu za mkulu alijua amelala!!!!Hii ni bongo bwana.Afanaleki.......duh hiyo itakuwa kali ya karne. sheria ya magazeti inatumika hadi kwenye mitandao?
Huyu Tongue Master?
Chemi Che-Mponda aliyekuwa accredited by some kuwa source ya original article.
- Heshima kwa wakuu wote JF,in another few hours nitatoa tamko langu binafsi na rasmi on this ishu. For the last Four days nimekua na majadiliano mazito sana between forces close tothis ishu, na hasa founder wa JF Mkulu Max, ninaamini leo ni wakati muafaka nikasema something, nitarudi soon.
Ahsanteni.
William - Community Organizer (CO)
wait a minute,jamaa ni scapegoat nini!!!!!!!!!!!!!Aliwaweka UTAMU hata kina NAFUE NYANGE MALECELA......mna roho ngumu.
- Heshima kwa wakuu wote JF,in another few hours nitatoa tamko langu binafsi na rasmi on this ishu. For the last Four days nimekua na majadiliano mazito sana between forces close tothis ishu, na hasa founder wa JF Mkulu Max, ninaamini leo ni wakati muafaka nikasema something, nitarudi soon.
Ahsanteni.
William - Community Organizer (CO)
wait a minute,jamaa ni scapegoat nini!!!!!!!!!!!!!
Ndio maana nasema, hii habari hapo juu kwamba ni Malecela Lusinde, imetoka wapi?
Mtoto wa kaka yake ex-Waziri Mkuu Malecela, yaani ex-balozi Job Lusinde angewawekaje Utamu watoto wa mke wa baba mdogo (Mama Kilango), yani kina Nyange, dada zake?
Hebu turudi square one. Nani kasema Utamu ni Malecela Lusinde na kakamatwa?
- Heshima kwa wakuu wote JF,in another few hours nitatoa tamko langu binafsi na rasmi on this ishu. For the last Four days nimekua na majadiliano mazito sana between forces close tothis ishu, na hasa founder wa JF Mkulu Max, ninaamini leo ni wakati muafaka nikasema something, nitarudi soon.
Ahsanteni.
William - Community Organizer (CO)
Kwenye site ya Chemi Che Mponda, kama ndio yenyewe hapa yeye mwenyewe anasema "nimepokea hii habari kwenye email."
Sasa bwana Blueray, hii habari hii, ambayo imekamata dunia ya mitandao ya Watanzania, kwamba Utamu the elusive desperado amekamatwa, imetokea wapi?
Unasema watoe credit, watoe kwa nani, habari imetokea kwa nani, ZeUtamu mwenyewe?