Ze Utamu blogger under arrest?

Ze Utamu blogger under arrest?

Status
Not open for further replies.
Ni vizuri umeelewa kwamba taarifa ikibebwa na jina lako inachukua uzito wa jamvi zima. Umewajibika kwa kukaa kwanza pembeni, ni vema.

Tungoje ukweli na udaku ujitenge, sidhani kama huyu Utamu ni jinga la kutumia credit card yenye jina lake kuposti picha za caricuture za matusi za rais Kikwete .
Ninapokwambia kitu si lazima ukiamini, unaweza kuchukulia vyovyote lakini at the end of the day (endapo atakamatwa mhusika mwenyewe) nitakuonyesha alivyofanya malipo kwa kadi yake na alivyokosea kwa kuamini kuwa uraia alio nao wa UK ndiyo kinga. Endapo hawajam-identify basi ni bahati yake, anatakiwa kujua kuwa alichemka sana hapo!

Mistake nyingine alilkuwa kwenye shared hosting ya HostGator ambapo waliposumbuliwa kidogo tu walitoa details zake...
 
Please ondoeni hiyo "Where we Dare To Talk Openly" hapo juu.

It seems to apply only to certain people na huyu "mtoto wa mkubwa" asiyetajika jina (sijui nani ni mtoto wa mtoto?) haimhusu!
 
Please ondoeni hiyo "Where we Dare To Talk Openly" hapo juu.

It seems to apply only to certain people na huyu "mtoto wa mkubwa" asiyetajika jina (sijui nani ni mtoto wa mtoto?) haimhusu!

Does freedom of speech really mean freedom of speech?
 
Kaaziiiii kwelikweli. Tunawategemea ninyi wataalam wa blogs.

By the way, hamna namna huyu jamaa anaweza kusaidiwa kimawazoat this stage aepukane na kikombe kinachomuelekea???? Jamani,namuonea huruma sama iwapo atadakwa

lol!!
 
... at the end of the day (endapo atakamatwa mhusika mwenyewe) nitakuonyesha alivyofanya malipo kwa kadi yake na alivyokosea kwa kuamini kuwa uraia alio nao wa UK ndiyo kinga. Endapo hawajam-identify basi ni bahati yake, anatakiwa kujua kuwa alichemka sana hapo!

Mistake nyingine alilkuwa kwenye shared hosting ya HostGator ambapo waliposumbuliwa kidogo tu walitoa details zake...

Huwezi kusema credit card namba ninayo endapo atakamatwa nitakuonyesha. La hasha! Akikamatwa hayo yote tutajua. Kama ni kweli unayo, iseme kabla, sasa hivi, kwamba alitumia credit card namba kadha wa kadha.

Na kama unasema HostGator walibanwa kidogo wakatoa details zake huwezi tena kusema "kama hawajam-identify." Umeshasema walitoa data zake, sasa which is which?

Invisible mazee, jamvi limeshambuliwa kwa kupoteza the touch and impact iliyowahi kuwa nayo. Halafu leo unathubutu kuja kusema nina nyeti nimeiweka kwenye pochi mpaka serikali iitoe halafu nitawaambia nilikuwa nayo? Unatania wewe.
 
yule mwingine sijui kapotelea wapi sijamwona sikumbili hizi
 
Last edited:
wazee,hili swala tuliache,repurcussions zake ni kubwa kidogo,nimepata habari right from the lions den kwamba the hornets nest has been stirred and something is about to stir-mkulu INVISIBLE,NN,na GT sorry for doubting you
 
ahhhh

utakuwa umenuna

ninune kisa simjui aliyemiliki zeutamu...duh!

alafu itanisaidiaje? Am more interested in the technicality of it! ambayo ndo watu wanaongea nusu! How were they able to get him. Who provided the indo, what info is availabe katika servers, nk.
 
hehee jamaa mnanifurahisha sana watamkamata vipi wakati bongo kublock website tuu hawawezi hizo ni kelele za ndege wakuu uwezo huu hatuna
 
wazee,hili swala tuliache,repurcussions zake ni kubwa kidogo,nimepata habari right from the lions den kwamba the hornets nest has been stirred and something is about to stir-mkulu INVISIBLE,NN,na GT sorry for doubting you

Ni mara ngapi hapa NN anavunja habari? Nadra sana...so that should tell you something
 
Duh, wakuu mbona mnatuacha solemba...Haya ngoja nasi tujikite ktk kutafuta huyu dudu baya..Kifupi hakuna cha sheria wala mjomba wa sheria huyu jamaa anatakiwa kulala Keko week moja tu, akitoka na mimba tayari..For the world record ataingizwa kitabu cha Guiness..Tena basi vijana wa Livingston wanamtafuta kichizi!
 
Sasa JF imekuwa ya kuogopa kutaja majina?, toka lini hili limeanza?.

Hapa JF yametajwa majina ya watu mbalimbali bila woga, sasa huyu kijana mchafu kwanini asitajwe jina lake?.

Ni vyema akamatwe na afikishwe mahakamani haraka. Amechafua majina ya watu wengi bila sababu na bila ruhusa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom