Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,077
- 136,518
- Thread starter
- #221
WoS, just out curiosity, who dd u have in mind? (pm pls). no disclosures, and that's a guarantee from me. thx
I'm sure yours truly will be on that list...Lol
WoS, just out curiosity, who dd u have in mind? (pm pls). no disclosures, and that's a guarantee from me. thx
WoS, just out curiosity, who dd u have in mind? (pm pls). no disclosures, and that's a guarantee from me. thx
Unatafuta matatizo wewe...ngoja mwenyewe akusikie(akusome)....ahhh al maaruf
thanks mag3
is utamu the biggest ever crime commited by a tanzanian?
watu wa JF kwa double standards wanashabikia zeutamu kukamatwa na wakati watu wana loot nchi yetu wanatembea huru, ingekuwa hivyo wakina-obama, bush si wangekamata watu wengi sana.....
wangeshirikiana na interpool kuhakikisha hela zilizokuwa duabi, jerzey na kwinginepo zinarudi TZ ingekuwa ni jambo la maana kulikoni zeutamu
zeutamu ulikuwa ni mtambo wa tabia na watu wengi waliokuwa mule wali deserve kuwa mule
hasara ya zeutamu kwa TZ nini????
kumbuka walianza na mwanahalisi, siku hizi ukiwaandama wanakuuliza kwa nini wasikufungie uliza ITV
mkishabikia zeutamu kukamatwa, baadae mjiandae kushabikia website zingine maana yake hawataishia hapo tu
baada ya zeutamu who is next????
zeutamu ujue sio kila mtu anakuchukia na ningekuwa na uwezo ningekukingia kifua........
I'm sure yours truly will be on that list...Lol
what are talking about now lol!naah dawg, she is a good pipo you know... I think only a case of misidentification led to your upbraiding at an early encounter.
Hata bila PM...NGOJA NIWE MUWAZI KUHUSU MAONI YANGU:
Honestly..I thought it must be some low-life hoodlum... in his early 20's si unajua tena vijana wadogo can decide to be cheeky/naughty?
Sawa WoS, ahsante kwa jibu. Nilifikiri ulimaanisha unamjua kwa jina na siyo description ya tabia ndiyo maana nikakuomba uni PM, that's all.
Unatafuta matatizo wewe...ngoja mwenyewe akusikie(akusome)....
Invi????!! duuuh
Hapa kuna kazi mi sijui sheria ipi watatumia ila kasheshe yake ni pale alipoweka picha ya JK tuuuu ndo alijiharibia shame on him kwa kweli. Alitukana mpaka marafiki zake akaona haitoshi, akaingia viongozi and then mzee wa mji mwenywe hapo ilikuwa too much. Na hayo malalamiko 6850 mbona madogo maana naona watu walikuwa wanaogopa. Sasa na wote mliochangia kutuma picha na kutukana wenzenu nanyie zamu yenu inakuja kaeni chonjo.
Nafikiri kuacha tracks hakukuwa kwa bahati mbaya.True,
Huyu bwana aliacha track zake sana kwenye blogu yake ya rudepichaz, tena kwa initials zake za mplusinde!