ACT Wazalendo
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 610
- 1,540
Kwa taarifa yako afadhali hata huyo kuliko huyo wa kwenu, subiri utaona.Nyie tatizo lenu mnapokea puppet ili Chadema tusiende ikulu ila mjue unafiq utawaponza.
Nyie tatizo lenu mnapokea puppet ili Chadema tusiende ikulu ila mjue unafiq utawaponza.
Washaaaaaa washaaaa act wazalendo. Ndio chama pekee kikubwa cha upinzani ninachokiamini. Kina watu wasomi wenye kuujua uongozi. Watanzania tunawapenda sana act wazalendo. Membe Mungu akubariki uwe rais mupate wabunge wengi sana.
Acheni ubanafsi hivi nyie mnajiona keki eti eh! Kwamba Nyinyi ndio mna haki ya kuwa wapinzani, hii ndio Demokrasia kila mtu ashinde mechi zake!Nyie tatizo lenu mnapokea puppet ili Chadema tusiende ikulu ila mjue unafiq utawaponza.
Act anaweza kua chama kikuu cha upinzani kama akipata wabunge wachache bara na Zanzibar akapata wengi. Chadema kwa Zanzibar hapati hata diwani. Lakini kwa huku bara kumbuka wabunge alionao ilikua ni nguvu kubwaa sana ya lowassa ingawaje nao chadema walikua na vinguvu vyao lakini ile nguvu kubwa ya lowassa na ukawa ndio ilifanya wakawa na wabunge wengi sana.Zanzibar sawa nakunga mkono na kimuombea sana Maalim seif awamu hii aichukue SMZ ila bara lzm waungane atleast na chadema, hacha kujidanganya huku bara bado pagumu ndg yangu
Kuungana Ni mbele siyo wakati huu ili kumhadaa adui huku act kule CDM lazima ccm ing'oke mwaka huuIvi jaman kwa mgawanyiko huu kweli tutaiweza ccm kweli? Wapinzani huwa mnatuangusha sana wananchi au mna ajenda ya makusudi kubuy time ccm akiendelea kutawala?
Wapinzani waungane wasiungane ushindi wa kishindo wa CCM upo pale paleIvi jaman kwa mgawanyiko huu kweli tutaiweza ccm kweli? Wapinzani huwa mnatuangusha sana wananchi au mna ajenda ya makusudi kubuy time ccm akiendelea kutawala?...
Itabidi Tundu Lisu ampishe Membe awe mgombea urais wa Upinzani!
Huyo mpinga muungano mkuu uraisi wa Zanzibar asahauMaalim seif awamu hii aichukue SMZ