Zanzibar 2020 Zanzibar: Hali ilivyo mapokezi ya Mgombea Urais Kupitia ACT- Wazalendo, Maalim Seif na Bernard Membe. Ni Mafuriko

Huko Zanzibar sasa hivi kuchele, wananchi kwa wingi, kwa utashi wao wanajisogeza bandarini kumpokea Maalim Seif na Membe.

Umma umedamshi kwa nyomi kubwa haijapata kutokea.

Kwa kweli kwa nyomi hii, Hussein Mwinyi (a. k. a pandikizi la Tanganyika) hana chake

Kwa maalim Seif, CCM haina chake labda dhuluma zao kama kawaida.

Unaweza kucheki hili tukio la kihistoria hapa chini au online kwenye channel mbalimbali.

 
Duuu hawaogopi Korona teh teh teh. Go go go Zitto ukikaza unatoboa na kuwa chama kikuu Cha Upinzani na kwa mara ya kwanza 2025 tunaweza kupata uchaguzi unaohusisha vyama viwili ambavyo vina Falsafa zinazoeleweka na vinavyoshindanisha Ilani zenye Contents!
 
Acheni ubanafsi hivi nyie mnajiona keki eti eh! Kwamba Nyinyi ndio mna haki ya kuwa wapinzani, hii ndio Demokrasia kila mtu ashinde mechi zake!
Mkuu kuweni wajanja Kuna uvccm wamemwaga kuchonganisha ACT na CDM hakuna mwana Act au cdm anaeweza kumponda lissu au membe, tutulieni cdm na act wanajua wanachokifanya necccm wanajua wanachopanga hapa Kuna mitego ya kimafia inapangwa na kila team
 
Mkuu kuweni wajanja Kuna uvccm wamemwaga kuchonganisha ACT na CDM hakuna mwana Act au cdm anaeweza kumponda lissu au membe,tutulieni cdm na act wanajua wanachokifanya necccm wanajua wanachopanga hapa Kuna mitego ya kimafia inapangwa na kila team
Mkuu mark my Words Membe, Maalim na Zitto hawatanii Wanaingia full.Membe hajatoka CCM ili asindikize mtu alo.Wakati huo huo CCM hawawezi kufanya kosa la kumuondo mtu kwa sababu uwepo wao unawapa mtelezo. Hapa kila mtu anashinda mechi zake Boss
 
Back
Top Bottom