Zanzibar 2020 Zanzibar: Hali ilivyo mapokezi ya Mgombea Urais Kupitia ACT- Wazalendo, Maalim Seif na Bernard Membe. Ni Mafuriko

So, Membe na ACT yake wameamua kuendelea na zoezi la kushiriki urais bara? Watu wapo after ruzuku na si vinginevyo
 
Umeanza vizur na umemalizia vizur Lakini umekosea maneno baadhi ya kusema a k a pandikizi la tanganyika kiukweli ujamtendea haki mtajwa hapo juu kama uwongozi (moods) husika unataka haki basi huu uzi ungevutwa na wewe unge pigwa ban ya siku 3
 
1D86BD5D-3011-4C58-A183-FDFCEE959024.jpeg
B778996F-F6E9-4FB5-B8E9-52A94C773907.jpeg
6CAA1907-F345-4377-81C8-BF405D63EFCC.jpeg
EB92C594-6D4F-4BF8-955E-7A1B98A568E6.jpeg

Leo Mgombea Urais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bernard Membe, watapokelewa asubuhi hii na Wazanzibar wa Unguja.

Matukio mbalimbali na picha za mapokezi tutawawekea hapa.View attachment 1531746View attachment 1531747View attachment 1531748View attachment 1531749View attachment 1531917View attachment 1531918
View attachment 1531919
View attachment 1531926

Kwa kweli alipo wapo!

Hapo tume zisilete janja janja.

Hatari kubwa!
 
Sasa sijui muundo wa serikali ijayo itakavyoundwa maana bara tunajua ni lissu zenji tunajua ni maalim, kazi ipo na tujiandae kisaikolojia ya serikali ya mseto
Ndio maana wenye akili tunabaki kucheka tu tunaposikia eti ccm itaangushwa!

Hakuna system mbovu na ya kibwege kugawa nchi vipande vipande namna hiyo
 
Wao wapate wabunge, ila rais awe wa ccm! Kweli wajinga ndio waliwao.
Kwa akili yako ya kukusaidia kuvuka barabara tu, unadhani hata mkurugenzi wa uchaguzi ungekua ni wewe kwa Tanzania hii unadhani lissu atapata kura za kumuwezesha kua rais wa JMT?

Kama tukipiga kura hapa Jf anaweza akashinda kwasababu muna id nyingi. Huko mtaani kwenye mikoa ambayo munaita ni ngome zenu, ccm ina wabunge na madiwani wengi.
 
Leo Mgombea Urais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bernard Membe, watapokelewa asubuhi hii na Wazanzibar wa Unguja.

Matukio mbalimbali na picha za mapokezi tutawawekea hapa.View attachment 1531746View attachment 1531747View attachment 1531748View attachment 1531749View attachment 1531917View attachment 1531918
View attachment 1531919
View attachment 1531926
ACT tunapaswa kuunganisha nguvu na CDM tushinde bila kwa urahisi zaidi, hili ni jambo muhimu kabisa mwaka huu.
 
Back
Top Bottom