Yuko wapi huyu tajiri wa mchongo?

Yuko wapi huyu tajiri wa mchongo?

Ila kikowa cha wapuuzi kina burudani za kipekee sana! Kwa ufinyu wa akili wamejikuta wamekusanyana na kula matapishi yao wenyewe!
Walisema akili ndogo hujadili watu! Very well said. Japo kiingereza kilikuwa kimelemewa.. Hiyo tuachane nayo

Sasa baada ya kukusanyana wamegeukia kumjadili mtoa mada.. 😀 matapishi haya wameyamba..
SMALL MINDS DISCUSS PEOPLE
Nimeweka link za kubalance story wakaruka nayo! Si kwa kuijadili bali kumjadili mtoa mada
Nimeendelea kuweka link zaidi kuonesha wengine wanawaza nini kuhusiana na sakata zima

Wiki iloyopita na hii task force za TRA zinapita kwenye biasharq mbalimbali kufanya ukaguzi
Utajiri na kumiliki mali ni jambo jema na wengi wanalitamani.. Lakini utajiri halisi ni ule ulio hai na endelevu
Mimi kumuita mhusika tajiri wa mchongo sikumaanisha kumuonea wivu la hasha kwakuwa utajiri wake ni wa magumashi na sio endelevu
Zaidi ya maisha ya mitandaoni na kuonesha nagari ya "gharama" sijawahi kumuona akionesha biashara yoyote halali ama uwekezaji endelevu wenye kutoa ajira, vipato na kulipa kodi za serikali.. Vitu vya kupost mitandaoni na kujisifia utajiri hicho ndio tunakiita utajiri wa mchongo
Bahati mbaya sana kina wapuuzi wenye akili finyu kama matako ya bata wanamuona mhusika kama role model sao
PESA HAITAKI KELELE na MAFANIKIO HAYATANGAZWI bali hujitangaza

Tuna matajiri wengi vijana lakini hawana kelele kabisa mitandaoni kwakuwa huo muda hawana. Hawa wamewekeza kwenye
Teknolojia
Viwanda
Ardhi (kilimo)
Uvuvi
Sekta za fedha
Sekta za usafiri
Real estates
Nknk
Hawa unawaona kabisa utajiri wao ukiwa hai endelevu na wenye tija kwa jamii na taifa

Tuko JF tukijulikana kama GREAT THINKERS hivyo tutumie medulla zetu vizuri kusoma vitu na kuvielewa
Kama ukisoma kitu hujakielewa na kukimbilia kumshambulia mtoa mada ama kumjadili wewe ni mpuuzi fulani tu na GREAT SINKER!
 
Huyu jamaa nilikuwa namuona mstaarabu sana, kumbe mswahili kupitiliza.
Hakuna mstaarabu hapo,huyo jamaa ukitaka kumjua jaribu kumpiga swali kwenye mada zake au kumpinga,ataanza kukutumia vipicha vya mipasho badala ya kujibu hoja,hua hana akili ya kujibu hoja wala swali,

Aliwahi tu kuwashika masikio wana jf wengi humu kwa zile mada zake za kujifanya mshirikina,alitumia weakness ya wabongo wengi kuamini mambo yakufikirika,jamaa anaonekana age go ila akili bado za kitoto.
 
Naomba tujadili kwa weledi ili tuweze kuelimika
1.Je unajua kwanini zilibwebwa kwenye breakdown all the way to Kenya? Kumbuka gari ya breakdown ni sawa na ambulance gari la kubebea wagonjwa.. Breakdown ni ambulance ya Magari mabovu( yanayoumwa)
Japo hawezi kukubali huu ukweli hayo yamepekwa hospital Nairobi kwakuwa wenzetu wanetuacha mbali kidogo
2. Unajua ni kwanini zimepigwa picha juu ya ambulance zikiwa zimewashwa double hazard? Hi yo ni kwa ajili ya kuonesha kwamba zinawaka.. Lakini kiuhalisia zinaumwq hazitembei mwendo mrefu
3. Hizo gari kuzitembeza Tz mpaka Kenya kwenye breakdown tena ya wazi zimeongezewa tatizo maanq zimekula vumbi la kutosha na jua na mvua.. Ziko highly sensitive na vumbi kwenye sensor zake

4. Unajua kwanini hajapendq kukodi madereva waziendeshe?
Tuchukulie hazina shida. Lakini zisingefika Kenya zikiwa hai kutokana na miundombinu na mafuta yetu
Kingine no kuogopa kilometers.. Hata kama mafuta yangekuwa sawa lakini zingekula kilometers za kutosha na service yake asingemudu asilani ama hakuna wataalam wa service zake

5. Vipi kuhusu gharama? Kawalisha watu matango pori kwamba katumia zaidi ya usd 20,000 kuzipeleka huko Kenya! Huu ni uongo uliopitiliza
Ukweli ni kwamba alikosa pesa za kukodi container moja ya forty feet ama 2 za twenty feet akazipakia humo ambapo zingekuwa salama zaidi na zingefika kama zilivyo bila kuchafuka na vumbi la njia nzima ama la angezikodia ndege ya mizigo
Container moja forty feet Dar to Nairobi haizidi usd 4000.. Kale ka breakdown kakubebea nagari magonjwa hakazidi usd 2000

6. Mzee Ruge na Davis Mosha waliwahi kuagiza Rolls roys ambazo zilikuja na cargo plane .. Raha yake ni kwamba zinapofika hupigwa picha na kuchukuliwa video zikifunguliwa na kuendeshwa kutoka kwenye ndege.. Hata wanaolipia Container maalum kwa gari zao watu huziona zikitolewa kisha kuendeshwa mpaka kwenye parking huku zikiwa zimewashwa taa zote ama double hazard
Hizi zinazigojeka tumeziona zikiwa juu ya ambulance halafu tukapakiwa kejeli matusi na kashfa za kutosha
Hatutaziona zikishushwa kwakuwa si vizuri kumpiga picha mgonjaa anayepelekwa wodini toka kwenye ambulance
7. Hizo gari zina engine kubwa sana nadhani ni V8 na V12 na ni petrol.. Na ni gari za kuchomoka hazitaki slow speed. Hizo hazinywi mafuta bali zinabwia. Kwa barabara zetu hizi za vibao vya 50 na 120 sijui zingekula full tank ngapi

Kiuhalisia hizo gari ni mzigo usiobebeka na bei anazotaja si halisi maana kanunua mitumba.
Zina spare zake maalum
Zina mafuta yake maalum
Zina lubricants zake maalum
Na zinachagua sana njia
Kama Range rover ya 2015 service ya kawaida inaenda mpaka usd 3000 hayo madude je?

Kuna sababu nyingi za kumfanya mtu asafiri nje ya nchi na mojawapo ni ugonjwa na maradhi.. Usiondoke na ambulance halafu useme unaenda vacation!

LA mwisho mshaurini mwana.. Pesa hazitaki kelele wala kubwatukabatuka.. Ndio maana wenye hela zao huwa na timu professionals za
Wasemaji
Mavazi
Vyakula
Afya
Ulinzi nknk
 
Walisema akili ndogo hujadili watu!
Tuko JF tukijulikana kama GREAT THINKERS hivyo tutumie medulla zetu vizuri kusoma vitu na kuvielewa
Kama ukisoma kitu hujakielewa na kukimbilia kumshambulia mtoa mada ama kumjadili wewe ni mpuuzi fulani
Ila ww mzee ni ndezi sijapata kuona, Hii mada tayari unamjadili mtu afu ww ulivyo punguani hutaki tukujadili.

Kwan ww n nani, c mpuuzi mmoja tuu.
 
Kajamaa kanaona aibu kwa huu upupu wa huu uzi wake,ndio maana unaona kanavyohangaika kujisafisha,it's too late,

Afuate tu ushauri wangu,apunguze ukimbelembele na kutaka kukurupukia kila kitu,hii mada ingeanzishwa na kijana wa Gen Z ingeonekana ni jambo la kawaida ila sio hili zee.
 
Tuko JF tukijulikana kama GREAT THINKERS hivyo tutumie medulla zetu vizuri kusoma vitu na kuvielewa
Kama ukisoma kitu hujakielewa na kukimbilia kumshambulia mtoa mada ama kumjadili wewe ni mpuuzi fulani tu na GREAT SINKER!
Wewe king'asti hapa leo huchomoki
Wewe ng'weng'we ulishazoea kuwapelemba walugaluga humu wanakuona mtoto wa mjini sana kumbe mpiga punyeto fulani chumbani kutwa kuleta vimada vyako vya kipuuzi, na sasa umeanza umbea kama mdada fulani
 
Naomba tujadili kwa weledi ili tuweze kuelimika
1.Je unajua kwanini zilibwebwa kwenye breakdown all the way to Kenya? Kumbuka gari ya breakdown ni sawa na ambulance gari la kubebea wagonjwa.. Breakdown ni ambulance ya Magari mabovu( yanayoumwa)
Japo hawezi kukubali huu ukweli hayo yamepekwa hospital Nairobi kwakuwa wenzetu wanetuacha mbali kidogo
2. Unajua ni kwanini zimepigwa picha juu ya ambulance zikiwa zimewashwa double hazard? Hi yo ni kwa ajili ya kuonesha kwamba zinawaka.. Lakini kiuhalisia zinaumwq hazitembei mwendo mrefu
3. Hizo gari kuzitembeza Tz mpaka Kenya kwenye breakdown tena ya wazi zimeongezewa tatizo maanq zimekula vumbi la kutosha na jua na mvua.. Ziko highly sensitive na vumbi kwenye sensor zake

4. Unajua kwanini hajapendq kukodi madereva waziendeshe?
Tuchukulie hazina shida. Lakini zisingefika Kenya zikiwa hai kutokana na miundombinu na mafuta yetu
Kingine no kuogopa kilometers.. Hata kama mafuta yangekuwa sawa lakini zingekula kilometers za kutosha na service yake asingemudu asilani ama hakuna wataalam wa service zake

5. Vipi kuhusu gharama? Kawalisha watu matango pori kwamba katumia zaidi ya usd 20,000 kuzipeleka huko Kenya! Huu ni uongo uliopitiliza
Ukweli ni kwamba alikosa pesa za kukodi container moja ya forty feet ama 2 za twenty feet akazipakia humo ambapo zingekuwa salama zaidi na zingefika kama zilivyo bila kuchafuka na vumbi la njia nzima ama la angezikodia ndege ya mizigo
Container moja forty feet Dar to Nairobi haizidi usd 4000.. Kale ka breakdown kakubebea nagari magonjwa hakazidi usd 2000

6. Mzee Ruge na Davis Mosha waliwahi kuagiza Rolls roys ambazo zilikuja na cargo plane .. Raha yake ni kwamba zinapofika hupigwa picha na kuchukuliwa video zikifunguliwa na kuendeshwa kutoka kwenye ndege.. Hata wanaolipia Container maalum kwa gari zao watu huziona zikitolewa kisha kuendeshwa mpaka kwenye parking huku zikiwa zimewashwa taa zote ama double hazard
Hizi zinazigojeka tumeziona zikiwa juu ya ambulance halafu tukapakiwa kejeli matusi na kashfa za kutosha
Hatutaziona zikishushwa kwakuwa si vizuri kumpiga picha mgonjaa anayepelekwa wodini toka kwenye ambulance
7. Hizo gari zina engine kubwa sana nadhani ni V8 na V12 na ni petrol.. Na ni gari za kuchomoka hazitaki slow speed. Hizo hazinywi mafuta bali zinabwia. Kwa barabara zetu hizi za vibao vya 50 na 120 sijui zingekula full tank ngapi

Kiuhalisia hizo gari ni mzigo usiobebeka na bei anazotaja si halisi maana kanunua mitumba.
Zina spare zake maalum
Zina mafuta yake maalum
Zina lubricants zake maalum
Na zinachagua sana njia
Kama Range rover ya 2015 service ya kawaida inaenda mpaka usd 3000 hayo madude je?

Kuna sababu nyingi za kumfanya mtu asafiri nje ya nchi na mojawapo ni ugonjwa na maradhi.. Usiondoke na ambulance halafu useme unaenda vacation!

LA mwisho mshaurini mwana.. Pesa hazitaki kelele wala kubwatukabatuka.. Ndio maana wenye hela zao huwa na timu professionals za
Wasemaji
Mavazi
Vyakula
Afya
Ulinzi nknk
Wewe ni mtu mjinga sana hapa Jf,ni mtu flani ambaye unajifanya unajua kila kitu kumbe hamna chochote!
Nyuzi zako za utabiri karibia zote zimefeli wewe achana na utabiri uchwara bora uje huku kijijini tuendeshe boda boda..!
 
Duhh🥵
Asante kwa taarifa!
 
People are people😷. Siku zote huamini vyakuambiwa kuliko uhalisia ila muda ndo huamua hatma ya kila jambo kwa wakati wake ngoja tuendelee kuwa watazamaji.
 
Back
Top Bottom