Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 13,607
- 28,741
Umeshaambiwa ni project ya MO 29
How so? Huyu anaathiri vp maandamano? Outreach yake ni kubwa kiasi gani? Watanganyika ni wajinga kiasi cha kuwa distracted na utajiri wa mtu tu?
Umeshaambiwa ni project ya MO 29
anawalisha kuku mbwa wakat huku kwetu kuku kula xmas labda mkuuYule bwana ndio unaita tajiri kwani kwenu mnalala kwenye ngozi za ng'ombe?
Hawa hapa masikini wamekutwa na Mmasai badala kufanya kazi wanaongelea matajiriHakuna kitu kinampa furaha maskini kama kusikia tajiri kapata matatizo
Yaani hao ambao wanajua ni project ya ccm ndio wako busy kumfuatilia na kuleta thread kwa tusiomjua wala kumfuatilia.How so? Huyu anaathiri vp maandamano? Outreach yake ni kubwa kiasi gani? Watanganyika ni wajinga kiasi cha kuwa distracted na utajiri wa mtu tu?
Labda anaogopeka!mafumbo uzi mzima, nini kimemkuta?
Umbea '5unnah', Nilicheka kisha nikashangaa kauli hii. Watu wamedata sana.Great minds talk about IDEAS,
Yeah uzi uki pop up hapa jf tunausoma. Lakini wengine hatuna access na tiktok au insta kufukua hizi stori. Kama hii ni project ya ccm basi mmeisaidia kuendelea kuwa relevant.Halafu sasa na waliokuwa hawamjui nao wamemjua na kuendelea kuufuatilia uzi😀😀😀
Yeah uzi uki pop up hapa jf tunausoma. Lakini wengine hatuna access na tiktok au insta kufukua hizi stori. Kama hii ni project ya ccm basi mmeisaidia kuendelea kuwa relevant.
Mtu yeyote anaeteswk na watu wanamna hiyo anashida ya akiliAliwaingiza vijana wengi kwenye mkenge wa mafanikio kupitia matarajio hewa
Alitukana kukejeli na kudhihaki watu wasiofanikiwa na wanaojitafuta
Huyu tuliwahi kusema ni mojawapo ya zile project kuelekea uchaguzi mkuu 2025
Uchaguzi wa kiini macho ulipopita naona umepita naye! Zile fujo zake mitandaoni zitakuwa zilipendwa na hamtamuona tena!
Na si ajabu akakumbwa na madeni yasiyolipika
Just like many! Used and dumped!
Chief God love!
Tunao hapa 😀😀😀Mtu yeyote anaeteswk na watu wanamna hiyo anashida ya akili
Kwa hiyo small mind ndio huyo aliyeleta hii mada?Great minds talk about IDEAS,
Average minds talk about EVENTS,
Small MINDS talk about PEOPLE.
Pigia mstari hapo.Kwa hiyo small mind ndio huyo aliyeleta hii mada?
maskini jau sanaHawa hapa masikini wamekutwa na Mmasai badala kufanya kazi wanaongelea matajiri
![]()