Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,402
- 54,845
Sema we mshana kumbe mkorofi mkuu...
HakikaMatajiri halisi wanahangaika kuficha utajiri wao, masikini wanahangaika kuonyesha utajiri. 😊
Naona umempania sana mkuu daaa 😂😂😂😂😂🫵Kosa langu ni lipi mkuu wangu🥱
Daaah aiseeee
HapaJicho la TATU limeishia wapi?😀
Niliiona hii mtandaoni tena anajivunia ukileta fyoko nakupasua 😂 😂 😂Yuko shule anajifunza shooting
Alikuwa ni kontenti krietaChef godlove naskia alikua anarusha miziki kwa simu
😂😂😂😂😂 Mshana naona kampania sana jamaaa an haachi apumue aiseeee....Alikuwa ni kontenti krieta
Project za chama chawala kuwaweka watu busy wasifuatilie mambo ya msingiKwahiyo kuna matajiri wanawapa watu magari yao, nyumba na fedha ili wajionyeshe tu? Hao matajiri wanapata nini in return?
Project za chama chawala kuwaweka watu busy wasifuatilie mambo ya msingi
![]()
39M views · 1.1M reactions | 5G network🛜🔥 (Share ur friends🤣) Follow for more videos: @time_ella_ #trending #viral #instagood #comedy #time_ella_ | Mrtime Ella
5G network🛜🔥 (Share ur friends🤣) Follow for more videos: @time_ella_ #trending #viral #instagood #comedy #time_ella_www.facebook.com
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hakuna kitu kinampa furaha maskini kama kusikia tajiri kapata matatizo
Cc Mbaga JrAliwaingiza vijana wengi kwenye mkenge wa mafanikio kupitia matarajio hewa
Alitukana kukejeli na kudhihaki watu wasiofanikiwa na wanaojitafuta
Huyu tuliwahi kusema ni mojawapo ya zile project kuelekea uchaguzi mkuu 2025
Uchaguzi wa kiini macho ulipopita naona umepita naye! Zile fujo zake mitandaoni zitakuwa zilipendwa na hamtamuona tena!
Na si ajabu akakumbwa na madeni yasiyolipika
Just like many! Used and dumped!
Chief God love!
Chai🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣