Yuko wapi huyu tajiri wa mchongo?

Yuko wapi huyu tajiri wa mchongo?

Aliwaingiza vijana wengi kwenye mkenge wa mafanikio kupitia matarajio hewa
Alitukana kukejeli na kudhihaki watu wasiofanikiwa na wanaojitafuta
Huyu tuliwahi kusema ni mojawapo ya zile project kuelekea uchaguzi mkuu 2025

Uchaguzi wa kiini macho ulipopita naona umepita naye! Zile fujo zake mitandaoni zitakuwa zilipendwa na hamtamuona tena!
Na si ajabu akakumbwa na madeni yasiyolipika

Just like many! Used and dumped!
Chief God love!
It was very open..... Alikuja kimkakkati.... Ni watu nili waambia
 
Dah
 

Attachments

  • Screenshot_20260113-195321.jpg
    Screenshot_20260113-195321.jpg
    45.2 KB · Views: 6
  • Screenshot_20260113-195307.jpg
    Screenshot_20260113-195307.jpg
    78.6 KB · Views: 5
Back
Top Bottom