Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu Kariakoo na maeneo mengine nchini yuko nyuma ya nani?

LDA COMPANY

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
303
571
Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu K/koo na maeneo mengine nchin yuko nyuma ya nan?

Wanabodi kama uzi ulivyokaa hapo juu huyu ni mfanyabiashara wa vitengee Karikoo lkn speed yake ya kuwafua watu nyumba K/Koo inatisha yuko nyuma ya nani?

Kwasasa anamiliki zaidi ghorofa 10 Karikoo na nyumba za chini za kumwaga hapa miezi miwili iliyopita Maulid Kitenge alirusha habar mzee mmoja wa K/Koo akilalamika kutapeliwa ghorofa yenye floor 7 mtaa wa Nyamwezi na Narungombe je ni haki mtu kuchukua ghorofa K/Koo kwa deni la billion 1 je, Mushi yuko juu ya sheria?

Je, nyumba alochukua Kipata na Congo ni haki embu jamani tuangalie sisi wanyonge twende wapi
 
Dawa ya deni ni kulipa tuu, hakuna janja janja wala kulia lia. Kama 1bilion ni ndogo si angemlipa mangi deni lake? Au angeuza mwenyewe hilo ghorofa akatoa hapo deni la watu akabakiwa na chenji ?
 
TAJIRI WA KARIAKOO AJULIKANAYE KAMA PRIMI MUSHI KUNUNUA NA KUTAPELI NYUMBA ZA WATU K/KOO NA MAENEO MENGINE NCHIN YUKO NYUMA YA NAN?
Wanabodi kama uzi ulivyokaa hapo juu huyu ni mfanyabiashara wa vitengee karikoo lkn speedd yake ya kuwafua watu nyumba k/koo inatisha yuko nyuma ya nani ?kwasasa anamiliki zaidi gorofa 10 karikoo na nyumba za chin za kumwaga hapa miezi miwili iliyopita maulid kitenge alirusha habar mzee mmoja wa k/koo akilalamika kutapeliwa gorrofa yenye floor 7 mtaa wa nyamwezi na narungombe je ni haki mtu kuchukua gorofa k/koo kwa deni la billion 1 je mushi yuko juu ya sheria? je nyumba alochukua kipata na congo ni haki embu jamani tuangalie sis wanyonge twende wap
Daah polee
Wa kukusaidia wapo bize na tozo.

Next time usimpe kura yako anayefuga wezi
 
TAJIRI WA KARIAKOO AJULIKANAYE KAMA PRIMI MUSHI KUNUNUA NA KUTAPELI NYUMBA ZA WATU K/KOO NA MAENEO MENGINE NCHIN YUKO NYUMA YA NAN?
Wanabodi kama uzi ulivyokaa hapo juu huyu ni mfanyabiashara wa vitengee karikoo lkn speedd yake ya kuwafua watu nyumba k/koo inatisha yuko nyuma ya nani ?kwasasa anamiliki zaidi gorofa 10 karikoo na nyumba za chin za kumwaga hapa miezi miwili iliyopita maulid kitenge alirusha habar mzee mmoja wa k/koo akilalamika kutapeliwa gorrofa yenye floor 7 mtaa wa nyamwezi na narungombe je ni haki mtu kuchukua gorofa k/koo kwa deni la billion 1 je mushi yuko juu ya sheria? je nyumba alochukua kipata na congo ni haki embu jamani tuangalie sis wanyonge twende wap
ushaona ubini wa Mushi. Kaa kwa kutulia
 
ushaona ubini wa Mushi. Kaa kwa kutulia
alikuwepo kuringe, morio na macha ndio wachagga wamenunua nyumba nyingi kariakoo na kujengesha kwa mikataba ya kitapeli wazair simba wa viwanda na biashara katuita wazawa k/koo diamond jublee kututaka tusiuze nyumba zetu lkn ndugu zangu wazaromo hawakusikia sasa kuna mitaa inaitwa kibosho kariakoo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom